09Vato

3.6K posts

09Vato banner
09Vato

09Vato

@09Vato

Dar es Salaam Katılım Ekim 2011
121 Takip Edilen251 Takipçiler
BIGV 🎩
BIGV 🎩@vistovic17·
🚨🗣️Mudathir Yahya kuhusu simu anayopiga wakati wa kushangilia baada ya kufunga goli: “Style yangu ya kushangilia huwa nampigia mke wangu, namkumbusha kuwa niko kazini namwaga jasho, asinicheat. Si unajua mapenzi haya chagui mtu yanamliza yoyote.”
BIGV 🎩 tweet mediaBIGV 🎩 tweet media
Indonesia
14
20
500
28.2K
Membe S K
Membe S K@membe_stephen·
@zittokabwe @Semkae Import substitution requires hard cash and hard cash requires affordable energy prices. We are in a catch 22 situation.
English
2
0
1
99
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Tanzania is being hit hard by this war by US and Israel against Iran. Fuel prices have already surged over 30% as shipping disruptions in the Strait of Hormuz drive up costs for imported refined petroleum. This triggers higher transport & food inflation, fertilizer shortages, meat export drops, pressure on the shilling and tourism decline. Time to see the issue as an emergency, accelerate transioning to CNG and import substitution measures in many things. Growth is being eroded!
The Chanzo@TheChanzo

The Only Adult in the Room? China’s Posture as Global Powers Drift Toward Confrontation | Opinion thechanzo.com/2026/04/01/the…

English
8
7
32
15.2K
09Vato
09Vato@09Vato·
@KennedyMmari @Ngailo @maxannania Watu hawaijui Marekani. Marekani ni Empire iliyoundwa kulinda interests za wenye mali - Bourgeoisies & Corporations. Interests za empire yoyote ni ku maintain hegemony, sio ku promote Welfare. Kumaintain Hegemony kuna husisha kunyonya, kuua, kuiba, kukalia kimabavu.
Indonesia
1
2
4
50
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Since the end of World War II, America has killed over 20,000,000 people by waging illegal wars and invading sovereign countries, economic strangulation and occupation. It is as recent as this year that American bombs have killed nearly 100,000 in Gaza. Stop with this nonsense.
Pope Mwita I@EJ_Mwita

Wakati Dunia ikistaajabu maamuzi ya raisi wa Marekani @realDonaldTrump kutumia zaidi ya $600m sawa na TZS Trilioni 1.5+ ili kumuokoa askari na raia wake mmoja alietunguliwa na kombora la IRAN, Inatufundisha namna ambavyo nchi za wenzetu wanathamini UHAI WA MTU.

English
19
4
40
5K
09Vato
09Vato@09Vato·
@EJ_Mwita @realDonaldTrump Kuna marekani za Aina 2. Ya CNN na BBC na Marekani halisi. Kuijua Marekani halisi Tafuta Documentary ya the Requiem for American Dream ya Chomsky. Tafuta Documentary inaitwa 13th. Hizi docs zinazungumzia uhalisia wa maisha ya wamarekani kijamii na kisiasa behind the camera.
Indonesia
0
0
0
10
Pope Mwita I
Pope Mwita I@EJ_Mwita·
Wakati Dunia ikistaajabu maamuzi ya raisi wa Marekani @realDonaldTrump kutumia zaidi ya $600m sawa na TZS Trilioni 1.5+ ili kumuokoa askari na raia wake mmoja alietunguliwa na kombora la IRAN, Inatufundisha namna ambavyo nchi za wenzetu wanathamini UHAI WA MTU.
Indonesia
42
23
281
14.3K
Aruatani✨
Aruatani✨@Aruatani·
Mahuni ya CCM yakiamua kukuharibia hayabahatishi ni either yakuweke wewe karibu au Mke wako kisha yabutuweee... 😂🚮
Aruatani✨ tweet mediaAruatani✨ tweet media
Indonesia
25
31
552
81.9K
09Vato
09Vato@09Vato·
@ufntc Kama ana capacity ya kutosheleza mahitaji aachiwe route afanye biashara. Kama tunajali ajira za 5/5 then tusingeanzisha BRT on 1st place coz BRT na 5/5 haviwezi ku coexist, maboresho ya urban transport eventually lazima yahusishe ku-phaseout 5/5. #Regulation #Efficiency
Indonesia
0
0
0
7
sp
sp@ufntc·
Hawa wapuuzi mofat audacity wanaitoa wapi hii ? Wanataka monopoly over the whole route(mind you ,ni private sector ambao inabidi waheshimu "the market ",wanataka abiria basi washushe nauli zao ziwe chini ya bajaji na daladala watapata wateja" invisible hand innit? )
sp tweet media
Filipino
5
1
1
1.1K
09Vato
09Vato@09Vato·
@chief_mpyana @ayubu_madenge China ni muumini na balozi mzuri wa sera ya non interference. Na hilo limeiepusha dunia na matatizo makubwa. Sio udhaifu, ana practice kinachoitwa Restraint..
Filipino
0
0
0
18
CHIEF MPYANA
CHIEF MPYANA@chief_mpyana·
@ayubu_madenge Shida yao hao jamaa hawawezi kumlinda mshirika wake hasa kwenye mambo ya ulinzi.
Indonesia
3
0
0
271
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mwanadiplomasia wa juu zaidi wa China ambaye pia ndiye Waziri wa mambo ya nje yaani Wang Yi ameianza rasmi ziara yake ya mwaka ya kimkakati ya barani Afrika. Mwaka huu Waziri huyo atatembelea Tanzania, Ethiopia, Somalia na Lesotho. Lengo ni kuimarisha ushawishi wa China Afrika.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
12
19
353
8.6K
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Bombing other countries is part of the US modus operandi. It functions as a business model for powerful corporations, not a popular mandate. I think it’s more driven by corporate interests rather than public consent. So it will never end until revolution against corporations happens.
Jason Smith - 上官杰文@ShangguanJiewen

The US spent 2025 bombing multiple countries around the world. China spent 2025 building a better country for its people. Let's learn from China's model.

English
3
0
8
2.2K
09Vato
09Vato@09Vato·
@SnakeWaBarca @bonifacejoseph_ @Eric__Bernard Umenena vema. Kama Uhai ni muhimu kuliko mali auze mali zake akachangie matibabu ya wagonjwa Muhimbili aokoe maisha. Kwa mtu maskini, asiyejua uchungu wa mali lazima atamchukia mwenye nacho na kufurahia akipatwa ma madhila. Kwasababu faraja ya maskini ni kuona kila mtu ni maskini
Indonesia
0
0
1
27
SnakeboyWaBarca
SnakeboyWaBarca@SnakeWaBarca·
@bonifacejoseph_ @Eric__Bernard Kaka @bonifacejoseph_ ,uhai ni thamani kwa ndugu,jamaa na rafiki zako tu! Kama unabisha nenda benki pale jaribu kuiba mali za watu uone kitakachokukuta,au kua mwizi hapo kariakoo uone nn kitakukuta ukikamatwa! Cheza mbali na mali za watu utauwawa na hakuna kitu utafanya!
Indonesia
1
0
1
178
09Vato
09Vato@09Vato·
@bonifacejoseph_ @Eric__Bernard Kituo cha mafuta, majengo, magari na mali nyinginezo hazina thamani sawa na uhai wa binadamu. Lakini huwezi kutumia hoja hiyo kuhalalisha uharibifu wa mali. Kila kitu kina nafasi yake na umuhimu wake.
Filipino
1
0
0
101
Bony 📚
Bony 📚@bonifacejoseph_·
@Eric__Bernard Kwahiyo vituo vya mafuta vina thamani kuliko uhai wa binadamu?
हिन्दी
6
0
14
2.7K
09Vato
09Vato@09Vato·
@22yuzarsif @MafundaLewa @Eric__Bernard @HecheJohn Wewe ni mfano halisi wa vijana wanaosema wameamka wako mstari wa mbele wanataka kubadilisha mustakabali wa nchi - zana wanayotumia? Matusi na Kebehi, sio nguvu ya hoja. Mabadiliko yanataka nidhamu. Kitu pekee kinachoyapa uhalali na utimilifu mabadiliko ni nidhamu ya washiriki.
Indonesia
0
0
0
12
09Vato
09Vato@09Vato·
@lukalijr @LushingeJnr @Mwitah_tz Kilichotokea October 29 sio demonstration ya Will of the people. Ingekuwa demonstration ya will then same thing would have happened on D9 & 25. WILL indicates a tipping point, a point of no return, ambapo watu wamechoka kiasi kwamba hawaogopi risasi au mabomu.
English
0
1
1
47
Ticha LK
Ticha LK@lukalijr·
@LushingeJnr @Mwitah_tz Nini kimeongezeka kwenye aspect ya activism compared to previous years!!?wanaharakati were there since back in the days but will to stand against oppression raise now because kiwango Cha kupuuzwa wananchi kimefika kwenye threshold level mwaka huu
English
2
0
0
26
Mwita C. Mwita
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz·
Mambo kadhaa wanaharakati wanaweza jifunza sasa; 1. Mitaani kila mtu ni balozi wa mwenzie kuhusu amani kwa sasa. What happened 29 October ni nightmare ambayo kila mtu anasema that should NEVER EVER HAPPEN AGAIN 2. Elimu kwamba watu hulipwa billions of money kufanya harakati against the state, kwamba wanakaa sehemu kwenye viyoyozi nje ya Nchi, full protected na kwao kila number ya casualties means HELA imefika hadi kwa watu ambao maybe hawakuwahi kufahamu hizi patterns 3. Mitaani watu wanataka their casual unapologetic life, bila sababu wala haja ya kuwa tokens za kifedha za kundi dogo la watu covered katika jina la harakati. Na what happened on 29 October gave them back a sense ya kuheshimu “maisha ya kitanzania” 4. Mngeshauriwa sawa sawa, mnge stick na outcomes za 29 October ku push narratives zenu maana zilikua zinabeba credibility kwa upande wenu ila kwa sababu ya tamaa na haraka mka jump into a fool/shaddy 09 December plans na leo D25 ambazo kwa vyovyote vile zimewapa matokea ya aibu na ziada ya; a) Kuwalazimisha kutumia uongo ili ku justify UONGO (ikiwemo kupost picha/video fakes) b) Uongo ambao pia unatoa justifications 3 muhumu sana; -Ninyi ni waongo na si wa kuaminika kwa lolote -Ninyi ni wanufaika wa machafuko Tanzania na ndo sababu mpo tayari kwa lolote hata kuongopa ili ku justify baadhi ya mambo -Huenda hata numbers/data mnazosema kuhusu Oktoba 29 ziko fabricated kwa sababu una nia ovu fulani. As of the latest briefings, Tanzania ni salama, maandamano ya kubumba mlotaka ili ku justify some of your payments yamefeli, yamepuuzwa, na yanefungua ukurasa mpya wa namna watu wetu wanawatazama, wanawaskiiza, wanafikiri kuwahusu.
Filipino
64
25
73
10.5K
09Vato
09Vato@09Vato·
@lukalijr @LushingeJnr @Mwitah_tz Kilichoongezeka ni kwamba; Harakati zimegeuka kuwa biashara. Primary motive ni ku-push narratives zinazolenga maslahi ya mabeberuy. Wanaharakati wanatumia local agenda but in a grand scheme of things lengo ni ku pave way ya ku advance na kulinda maslahi ya mabeberu.
Indonesia
0
1
1
43
09Vato
09Vato@09Vato·
@tazamaMbali @Gogoryoking Moja kati ya mataifa yaliyopiga kura ya Tanzania kuchukuliwa hatua ni Belgium. Btn 1880s & 1900s Wabelgiji waliua Waarika 10m pale Congo. Hutu & tutsi waliuana kwasab ya Mbelgiji. Huo ni Mfano wa taifa moja. Wazungu wote wamejaa damu za waafrika mikononi mwao.
Indonesia
0
0
0
62
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
@09Vato @Gogoryoking Na wale ambao miaka nenda rudi wamepokea misaada na kuishukuru Ulaya, ila baada ya kunyimwa misaada kwa sababu rais anaua wananchi wake basi wanaanza kuporomosha matusi
Indonesia
2
0
0
20
Joffrey Baratheon, NDC
Joffrey Baratheon, NDC@Baratheonze·
EU waliingilia masuala ya TZ wakishirki njama za kutaka tusiwe stable, tukamuachia MUNGU. Now on same courses walikua wanapush agenda zao (uhuru, democracy n.k) nao wapo ON A HOT CHAIR. Dunia nzima inasema EU ni kikundi cha wahuni na kivunjwe! Tanzania ni Taifa la MUNGU
Indonesia
53
28
118
15.3K
09Vato
09Vato@09Vato·
@tazamaMbali @Gogoryoking Tutashukuru yeyote anayetupa msaada so long as anaheshimu uhuru na haki yetu ya kujitawala. Hakuna any Western Power ambayo ina moral legitimacy ya kutufundisha kuhusu haki za binadamu unless wao waombe msamaha kwanza kwa unyonyaji na mauaji wanayofanya kila kona ya dunia.
Indonesia
0
0
0
12
09Vato
09Vato@09Vato·
@tazamaMbali @Gogoryoking Wanaofanya Afrika ionekane Shithole ni wale wanaoamini kwamba EU inaingilia yanayoendelea kwenye siasa zetu kwasababu inawajali Watanzania na sio kwasababu inata ku secure Maslahi yake ya kiuchumi ya muda mrefu kupitia access na udhibiti wa rasilimali.
Indonesia
1
0
0
24
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
@Gogoryoking Nyie ndo mnafanya waafrika waonekane shithole. Mnadhani Ulaya ni kama Tanzania? Wale wapo level nyingine, kujidanganya hakutasaidia. Ujerumani kwa mfano, mkata nyasi analipwa si chini ya laki 1 kwa siku, alafu wewe ambaye hauna hata balance ya 200k unasema Ulaya nyonyonyo!
Indonesia
4
2
15
648
09Vato
09Vato@09Vato·
@NTAKULOGA @belindaPINDA04 Wewe ndio Gen Z haswa sasa, kundi la vjana wajinga ambao hawawezi kufikiria umbali wa zaidi ya pua zao, wasioweza kujenga hoja, wasio na maadili; vijana ambao lugha wanaoijua wao ni Kulalamika, Kulaumu na Matusi. Gen Z are not born, you are excreted. Kama wewe tu.
Indonesia
1
0
0
9
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Kama kweli ulisema utatoka alafu now umekatalia ndani tambua huo ni umasikini na ukuma Nafsi yako ya uongo itakutesa siku zote Tokeni magetoni now...
Indonesia
36
73
493
22.3K