CACTi

28.5K posts

CACTi banner
CACTi

CACTi

@111cacti

Tryna make my life easy. @SimbaScTanzania @Fcbarcelona

Tanzania Katılım Nisan 2023
1.5K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
CACTi
CACTi@111cacti·
Kuna ngoma ya dizasta vina aliimba kuhusiana na mapenzi yaani mchizi anampa dem kila anachotaka ili baadae aje kumpiga tukio. Nimeisahau jina naomba mnikumbushe
Indonesia
33
25
386
38.3K
Muuza Nguo kariakoo.
Muuza Nguo kariakoo.@LikudaMana21233·
@moshijnr Daah hii la kocha hapana asee huyo jamaa mbona yupo vizurii simba next season hawana haha ya kusajili sana toa naby camara leta kiungo mwingine toa sowah leta mshambuliaji toa kassali rudisha camara golini basi
Indonesia
1
0
2
264
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
🚨Uongozi wa klabu ya Simba SC unafikiria kuachana nae au kumtoa kwa mkopo kiungo Allasane Kante katika dirisha kubwa lijalo la uhamisho Uamuzi huu baada ya kocha Steve Barker kutoridhishwa na kiwango chake na akitaka Viongozi wamsajili kiungo mwenye kasi na kiwango bora zaidi
Indonesia
10
7
186
5.3K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Majengo _ mwanza Majengo _ Dodoma Majengo _ songea Majengo ipi nyingine unayo ifahamu wewe..?
Indonesia
137
41
243
19.4K
CACTi
CACTi@111cacti·
@scout_viral Bro 💯 Huwa upo mwaka wa mbele mara zote. Sema hao lille iyo scout yao sio poa 😄😄 Scout inapigwa toka 2024 - 2026🔥
Filipino
1
0
0
24
BARÇAGUY
BARÇAGUY@blackculer·
Mwisho wa kuagiza viatu kutoka nje ya nchi ni leo 😭
BARÇAGUY tweet media
Indonesia
17
11
75
3.2K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
Bado hatujawa tayari kuwa na ligi yenye mkusanyo wa wazawa wengi ili kushindana kwenye top level Kukabiliana na Hilo nadhani tunalazimika kuondoa ukomo wa Wachezaji wa kigeni Kila timu isajili kulingana na uwezo wake Licha ya 12 kuonekana wengi ila hawakidhi mahitaji yetu
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
18
5
120
4.6K
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
@iamkizzyh Unaweza Kuwa Na Kikosi Kikubwa Ila Uwezo Mdogo Pia Uwezo Mkubwa Ila Kikosi Kidogo. Yote Yanawezekana Muhimu Hakikisha Una Internet Yenye Kasi Na Simu Iliyo Na Uwezo Mkubwa Pia
Filipino
2
0
4
361
MUITALIANO 
MUITALIANO @iamkizzyh·
Nimecheza Dls, Fc mobile na Efootball Ni efootball pekee ukiwa na kikosi kidogo unaweza ku-compete na mwenye kikosi kikubwa 😃😃 hayo mengine hutoboi labda mtandao ukubebe
Filipino
10
13
154
8.3K
CACTi
CACTi@111cacti·
@INFLUENCERjr Reply za 1d. Au wana mwaka wao kivyao vyao!!!
Indonesia
0
0
0
36
Balyx
Balyx@Balyx_·
Mwanamke anayecheza boli Ulaya, ili aone amefanikiwa kimpira Kwa Ufaransa, acheze Lyon Kwa Ujerumani, acheze Wolfsburg Kwa Spain, acheze BARCA Kwa England, acheze Chelsea Kwa Tz, acheze JKT Queens
Polski
10
11
274
8.9K
CACTi
CACTi@111cacti·
@tagatojtagato Atasugua mbao ndefu mpaka anyooshe mikono juu
Indonesia
0
0
0
197
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
🚨UPDATES, SIMBA-SOWAH Baada ya vikao kadhaa kujadili sakata la Jonathan Sowah na utovu wa nidhamu dhidi ya benchi la Ufundi ❌Uongozi kwasasa umekula BUYU, Sowah hafanyi mazoezi na kikosi cha Simba na huo ni msimamo wa Kocha Steve Barker Hali ya Simba-Sowah imefikia hapa!
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
3
2
208
7.1K
Big_Nicky01✊️
Big_Nicky01✊️@Nicky__001·
Jamaa anachambua kila kitu 👇🏾 1. Biblia yupo 2. Electronics ndo kabisaaa humwambii kitu 3. Vita sijui mabomu yupo 4. Mademu kuongelea malaya yupo 5. Quran yupo 6. Mipira yupo 7. Mziki yupo kmmk🙌🏾 Huyu Msenge atengwe kmmmmk 🙌🏾 😂😂.
Big_Nicky01✊️ tweet media
Filipino
41
36
344
33.3K
AM💡
AM💡@TonnyUnfiltered·
Hii imemtokea mwanangu tumemaliza chuo vizuri tumeingia mtaani kupambana lakini cha kushangazaa jamaa kashindwa kukaza kabisa now wanamchakata.💔
Indonesia
43
47
380
31.4K
NOED.
NOED.@Noedson_tz·
Mimi hata kama ni ishu ya biashara wewe jua tu, HATUWEZI KUONANA. !!
Indonesia
33
33
203
9.5K
BAJABER _ a real baller⚽️🔥🦁
Tactico ushabiki pembeni hebu nambieni ubora wa huyu jamaa upo wapi? kila kitu anachokifanya jamaa uwanjani ni mid huyu ni mchezaji level ya namungo na pamba jiji Bora uwe na sopu kuliko huyu jamaa🚮
BAJABER _ a real baller⚽️🔥🦁 tweet media
Indonesia
4
3
10
298
CACTi
CACTi@111cacti·
@NJENJE_255 Ndo unapiga hiyo mama? Anyway hapo ni stand mpya.
Filipino
0
0
1
24
MZALENDO TZ 👑🇹🇿
Nyie wakali wa LOCATION na Wazururaji hii ni stand ya Mkoa gani.?
MZALENDO TZ 👑🇹🇿 tweet media
Indonesia
172
44
429
34.4K
CACTi retweetledi
888
888@444holywitch·
I am nothing to anyone, and that's my greatest freedom.
English
3
13
55
1.5K
CACTi retweetledi
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
wanawake wanakuaga na shida gani mnaweza mkawa mmelala usiku anaamka usiku wa manane anaanza kukumulika torch usoni😁
Indonesia
59
53
551
38.2K
♟️
♟️@iamFallacy·
Olise, suala la muda tu!!
Português
6
2
111
3.5K