Camel

20K posts

Camel

Camel

@2020Election_Tz

Liberalist and Justice Claimer

Dar-es-salaam Katılım Mart 2016
624 Takip Edilen685 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Camel
Camel@2020Election_Tz·
It takes water and sun for flowers to grow and nourish, and the same way a single word can build trust to people or can destroy it. I said it before opt to be right even if the government is wrong,just be you, and don't be wrong to embrace impunities. Good morning
English
0
3
2
771
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nduli Idd Amin Mama si alisema kwamba wamekubaliana na Ruto Kuwa Ruto atawashughulikia Wanaharakati wa Tanzania waliopo Kenya. Halafu Idd Amin Mama yeye atawashughulikia Wanaharakati wa Wakenya wakija Tanzania sasa imekuaje tena leo Ruto kampa za uso Idd Amin Mama tena kwenye uwanja wake wa nyumbani? Kitaalam hii inatwaje?😂😂😂
Hilda Newton tweet media
Filipino
27
75
570
22.6K
Camel
Camel@2020Election_Tz·
@Thommunkondya Kujifunza ni kubadilika pia mitazamo na mazoea. Yaani huwezi jifunza halafu matendo na fikra ni zile zile.
0
0
1
13
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Jioni ya leo nilipata heshima ya kualikwa na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mheshimiwa Charlotta Ozaki Macias, katika makazi yake ya Masaki jijini Dar es salaam. Niliudhuria hafla iliyoandaliwa na ubalozi huo iliyojikita katika majadiliano kuhusu siasa na biashara kati ya Sweden na nchi mbalimbali duniani. Hafla hiyo ilihudhuriwa na mabalozi pamoja na wadau kutoka sehemu tofauti duniani. Ilikuwa ni fursa adhimu kwangu kama mwanasiasa kijana na mjasiriamali kujifunza, kubadilishana mawazo, na kupanua mtazamo kuhusu ushirikiano wa kimataifa katika nyanja za siasa na biashara.
Thom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet mediaThom Mnkondya tweet media
Indonesia
15
9
60
4K
Camel
Camel@2020Election_Tz·
@Royal_Tv_Tz Watanzania hawataacha kutukana kwa mambo kama haya
Indonesia
0
1
1
5
Camel
Camel@2020Election_Tz·
@chapo255 @kipepe123 Hakuna hata siku moja nitashawishiwa na hizi sarakasi za mitandaoni kwa ajili ya kusaka utajiri. Hao walioleta mifumo hii wengine nimekaa nao na kufanya nao kazi wanakwambia ule ni utapeli kama utapeli mwingine tuu. Kuna siku lazima uweke mikono kichwani. Kweli wengi wamelia
Indonesia
1
1
1
581
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Betting naiamini ila Forex hapana, ina ujanja ujanja mwingi sana🚮 Kuna kwanangu aliachaga hadi chuo akachukua appartment Masaki kwa kipindi kile ilikuwa inamlipa sana ila now amerudi zake home aanza upya!
SANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
38
31
439
21.6K
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
“Wizara imeendelea kuwekeza katika miundombinu himilivu inayoweza kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kujenga miundombinu ya uvunaji maji ya mvua ikiwemo mabwawa ili kuimarisha mifumo ya udhibiti wa mafuriko na ukame. Zifuatazo ni baadhi ya kazi za uendelezaji wa rasilimali za maji zinazofanyika:Ujenzi wa Bwawa la Kidunda kwa gharama ya Shilingi bilioni 329.47 kwa ajili ya kuboresha huduma ya maji kwa Jiji la Dar es Salaam, Mkoa wa Pwani na Morogoro ambapo utekelezaji umefikia asilimia 47. Mheshimiwa Spika, Waswahili husema; “kula uhondo kwataka matendo, pasi matendo, utakula uvundo.” Ukisoma taarifa ya Serikali ya Mkoloni ya mwaka 1954, bwawa la Kidunda linatajwa kuwa ndio mwarobaini wa shida ya maji Dar es Salaam; taarifa ya Shirika la Kilimo na Chakula ya mwaka 1961 bwawa la Kidunda linatajwa; taarifa ya Shirika la Maendeleo la Ufaransa ya mwaka 1962, taarifa ya Shirika la Maendeleo ya Japan ya mwaka 1964, na taarifa ya Shirika la Norway 2005 zote zimethibitisha umuhimu wa bwawa la Kidunda. Usanifu ulipokamilika mwaka 2014 bado ujenzi haukuanza. “Mheshimiwa Spika, maelezo haya maana yake ni kuwa wakati wazo la kujenga bwawa la Kidunda linatolewa, Mheshimiwa Rais Samia alikuwa hajazaliwa, miaka 68 baadaye Rais Samia anajenga Bwawa la Kidunda tena kwa fedha za ndani na kuwa suluhu ya maji Dar es Salaam na Pwani katika majimbo 18 ya Ilala, Segerea, Ukonga, Kivule, Temeke, Mbagala, Chamazi, Kigamboni, Ubungo, Kibamba, Kinondoni, Kawe, Mkuranga, Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini, Kisarawe, Chalinze na Bagamoyo na Maeneo ya Mkoa wa Morogoro. Rais Samia ni Daktari wa kutekeleza mipango iliyokwama. Mheshimiwa Rais, ametutoa mbali sana. Mama apewe maua yake”, - Aweso. Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso akiwasilisha akiwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2026/2027
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
2
0
6
477
Camel
Camel@2020Election_Tz·
Imagine State leaders wa nchi nyingine wanatangaza kuwa na refinary plant kwenye nchi nyingine wakati wao hawajui wala hawajashiriki.I smell something evil and its because we don't have automy & power in leadership. @WilliamsRuto focus on building Kenya, we have unfished business
English
0
2
2
15
Camel
Camel@2020Election_Tz·
@Royal_Tv_Tz Nahisi hawa wana provoke watu ili wawatukane
Indonesia
0
1
1
4
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
“Tanzania ina vijiji 12,333. Kati ya vijiji hivyo, vijiji 10,758 vina huduma ya maji, hivyo bado vijiji 1,575. Pamoja na mafanikio hayo makubwa, vijiji 1,575 vilivyobaki vinaonekana kama doa kwenye shati jeupe. Hivyo, Wizara imetangaza vita vya kuhakikisha kuwa vijiji vyote 1,575 vinapata maji kabla ya mwaka 2030. Kama alivyosema Mwalimu Nyerere wakati akitangaza vita ya kumung’oa Nduli Amini; ninaomba kunukuu; “Tunayo kazi moja, ni kumpiga. Uwezo wa kumpiga tunao; sababu ya kumpiga tunayo; na nia ya kumpiga tunayo”, mwisho wa kunukuu. Hivyo, na sisi Wizara ya Maji, uwezo wa kuvimaliza vijiji 1,575 tunao; sababu ya kuvimaliza vijiji hivyo tunayo; na nia ya kuvipatia vijiji hivyo maji tunayo. Katika mwaka 2026/27, Wizara itapeleka maji katika vijiji 314 ambavyo ni sehemu ya vijiji 1,575. Waheshimiwa Wabunge, naomba muanzishe Kampeni na Ligi mbalimbali za kumaliza vijiji hivi katika maeneo yenu. Kaulimbiu yetu ni 1 5 7 5, Tuko Site Kikazi Zaidi. Ninawaalika Wadau mbalimbali kama vile, NGOs, CSOs na Sekta Binafsi kushiriki katika kazi hii ya kupeleka huduma ya maji kwenye vijiji vilivyobaki”. “Naomba nieleze mambo mawili; mosi, mitambo iliyonunuliwa na Mheshimiwa Daktari Samia, Rais wetu mpendwa iko site, na kwa ajili ya kuongeza ufanisi, sasa mitambo hiyo inasimamiwa na Bodi za Maji za Mabonde ambazo zitatafuta chanzo cha maji, zitachimba kisima, zitakiendeleza na zitamkabidhi RUWASA au Mamlaka kujenga miundombinu ya kusambaza maji. Jambo la pili, ninamwelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Maji kufanya tathmini na kupitia upya bei elekezi za uchimbaji wa visima kwa kutumia mitambo hiyo ili kuhakikisha mitambo hiyo inatumika kwa ufanisi. Kazi ya mitambo hiyo ni kumtua mama ndoo kichwani, na kuweka tabasamu katika nyuso za wananchi. Tunataka gharama zipungue ili Waheshimiwa Wabunge hata kupitia Mfuko wa Jimbo wasaidie kufikisha huduma ya maji kwa wapiga kura wao”- Aweso Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso akiwasilisha leo bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2026/2027.
ROYAL TELEVISION tweet media
HT
1
0
12
464
Camel
Camel@2020Election_Tz·
Imagine President publicly confess she has no idea for the joint refinery plan shared by @WilliamsRuto to be constructed in Tanzania. I also wonder
English
0
2
2
13
Camel
Camel@2020Election_Tz·
@Royal_Tv_Tz Mnataka watu waandike matusi hapa ili mseme mnatukanwa ?
Indonesia
0
0
0
8
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
“Mheshimiwa Spika, naomba nitumie fursa hii kumpongeza Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuaminiwa na kuchaguliwa kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kwa uongozi wake thabiti unaoendelea kuleta mageuzi makubwa katika sekta ya maji. Sisi Wizara ya Maji, katika siku 100 za kwanza za Mheshimiwa Rais ofisini tumepata mafanikio makubwa kama vile kusainiwa kwa mikataba ya miradi sita (6) mipya ya maji kwa ajili ya utekelezaji ukiwemo Mradi wa kuboresha Huduma ya Maji na Usafi wa Mazingira Morogoro wenye thamani ya Shilingi Bilioni 220; kufanyika kwa malipo ya awali ya Shilingi Bilioni 4.5 ya mradi wa Vwawa-Mlowo kwa kutumia chanzo cha Mto Momba; kupanuliwa kwa chujio la maji la Kapripointi na mradi wa usambazaji maji jijini Mwanza; pamoja na kufungwa kwa Dira za Maji za Malipo ya kabla. Kweli nyota njema huonekana asubuhi, na nyota hiyo ni Mama Samia”. “Vilevile, ninapenda kumpongeza na Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanuel John Nchimbi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuhakikisha azma ya Serikali ya Awamu ya Sita ya kuwaletea wananchi maendeleo. Mheshimiwa Makamu wa Rais ameiongoza Sekta ya Maji katika kuadhimisha Siku ya Maji duniani”, - Aweso Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso akiwasilisha akiwasilisha bungeni Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Maji kwa Mwaka 2026/2027
ROYAL TELEVISION tweet media
Filipino
3
0
4
877
Camel
Camel@2020Election_Tz·
Tanzania haitakaa ipate maendeleo kama tutaendelea na mfumo huu na akili kama hizi. Lazima tutoke hapa mapema sana bila hivyo ngoma ni ngumu sana. @lifeofmshaba
Filipino
0
6
10
598
Camel
Camel@2020Election_Tz·
@MutembeiTV @Rickmsodoki Kajenge hata wapi hayatuhusu nyie ni uongozi mbovu kupitiliza. Yaani nchi tatu mnakosa bajeti ya kujenga refinery mpaka mtafute mwekezaji ? Nyie ni uongozi wa ajabu sana
Indonesia
0
0
0
167
Mutembei TV
Mutembei TV@MutembeiTV·
Ruto to Suluhu : Kama Ningejua Ningejenga Refinery Mombasa instead of Tanga!!
Indonesia
85
129
864
54.2K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Sifa ya kuwa Waziri au Naibu Waziri ni kuwa Mbunge, Na sifa ya kuwa Mbunge ni Kujua Kusoma na Kuandika kiswahili au kiingereza tu, Huo ndio msimamo wa katiba na Sheria. Lakini maranyingi wasifu za wabunge zinazowekwa kwenye tovuti ya bunge zinaweza zisiwe halisia sana, Watu wengi wanaficha utambulisho wao halisi kwa sababu zao… Na katika hilo, Nafikiri hakuna sheria inayowalazimisha sana kuweka wasifu huo, Wabunge na Bunge lenyewe wanategemea zaidi takwa la kikatiba na kisheria kwamba Sifa ya kuwa Mbunge ni lazima tu ajue kusoma na kuandika. Tupiganie mabadiliko tuache lawama Rais @SuluhuSamia anapotekeleza takwa la Kisheria na Kikatiba.
Brenda Rupia Jonas@BrendaRupia

Enzi za serikali halali ya Mwl JKN, kuteuliwa uwaziri zilihitajika sifa haswaa ulizozionyesha katika utendaji kazi na uongozi wako wa awali!. Sasa tupo kwenye enzi za serikali haramu, kigezo kikubwa cha uteuzi ni UCHAWA. Nimeona uteuzi wa mtu aliyesema uchaguzi wa 2025 polisi walikuwa rafiki zetu wakati ndio uchaguzi pekee tulipoteza ndugu zetu wengi haijawahi kutokea tangu taifa letu liundwe. Ina maana hakuitambua hata hotuba ya tume ya jaji Chande iliyoundwa na raisi wake kuwahadaa waTanganyika. Something is wrong somewhere,ebu fikiria kwenye nchi yenye watu 68,000,000 ambao zaidi ya nusu ni Vijana,tena Vijana walioenda shule with degrees and masters mpaka wengine wanaokota makopo na masters zao.Tunaletewa Naibu Waziri mwenye form 4 tu! Sio fair yaani si haki kwa WaTanzania,mimi nilisema zile teuzi zilikuwa na nia ovu na wananchi waliowengi walikubaliana na mimi.@ccm_tanzania tuwakumbushe tu kwamba hii nchi ni yetu sote.Hakuna aliealikwa kwenye hii nchi,we are here by birth right. Tuendelee kukichangia chama chetu ili mapambano ya kutafuta haki yaendelee ndugu zangu namba ni :0744 446969 Jina ni CHADEMA HQ

Indonesia
41
1
19
10.5K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Leo Tanzania na Kenya wameingia makubaliano ya usaidizi wa kisheria katika maeneo ya jinai. Ukitazama kwa juu juu unaeza hisi huu ni mkataba wa kawaida BUT ni kwa lugha nyingine ni kwamba EXTRADITION treaty imeimarishwa. Tanzania na Kenya sasa wanamaanisha wana namna iliyoboreshwa katika ku deal na uhalifu wa aina yoyote kutoka miongoni mwa mataifa haya mawili. Asante. NB: Uongo wa hilda tarehe 29.10.2025 - nakumbusha tu.
Johari Mshana tweet media
Indonesia
7
13
44
20.6K
Camel retweetledi
Camel
Camel@2020Election_Tz·
Whatever the circumstance there will no reconciallition at all #Stringly no Maridhiano
English
0
1
1
4