Sabitlenmiş Tweet
Dibro 379
894 posts


@Sativa2555 Sure @Sativa255 .
South wabaguzi sana na wana roho mbaya hawa jamaa kuliko kawaida
Indonesia

@MashakaAyo41927 @taifa_mbunge Itoshe kusema hii Familia ni 🔥 Mkubwa 🔥 mdogo 🔥
Filipino


@taifa_mbunge Muda umekaribia wataacha kuongea kwa mafumbo na kuanza kutajana
Indonesia

"Yani katika akili yake amejitengeneza kwamba yeye ni Mungu mtu, Tabia ya Kijinga Kabisa" Balozi Nchimbi
#Tutakuwepo
Indonesia

@EsirEid Mabinti wengi siku izi wanatumia sana dildo kubwa kujiridhisha wao wenyewe,kitu ambacho kina waharibu sana sehemu zao za siri
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Hivi Kwa haraka haraka unahisi Nini kimesababisha STRAIT OF HORMUZ ya Huyu binti kuwa DEEP and WIDE vile???

हिन्दी

@TruthWatchDogTZ Usikute anaomba usiku na mchana wamshike began.kwa maana hana matumiz nayo
Indonesia

@KumbushoDawson Nikukumbuka miaka ya nyuma huko tulikusanywa Vijana wa shule mbalimbali wilaya 1 pale Dodoma tukawa katika halaiki tukafanya mazoezi mwezi mzima kwa ajili ya Mapokezi ya PM tukaahidiwa kupewa 50k siku ya ujio wa PM tukaishia kupewa Pilau na Soda Ila hawa jamaa wa nyundo na Jembe
Indonesia

@itango_emmanuel @FKihamu Mi naelewa unachokisema ni wa kawaida kweli ila anakamaiaga game za simba na young.na ndoo maana alikua anakaa mkeka kwa Bajana. Na hata wakti mwingine kwenye 8 Yahya zaid akiwa mzima alikua anaanza benchi James
Filipino

@itango_emmanuel @FKihamu Binafsi baadhi ya match ambazo nimeitazam azam na timu nyingine tofauti na Simba na Yanga James hua anacheza mpira wa kawaida na ndoo maana watu hua wanadiriki kusema hua anakamia kuzishawishi hizi timu. Akicheza na wakubwa anaubonda mno mpka hua tunataman kuona muendelezo wake
Indonesia

@ArobogastMrosso @RevocatusMagum1 Yuko vizuri.kuna muda nina Muangalia Dogo Sele anavyorukaruka pale harafu nikimfikiria Dogo Mashaka daah Kuna mahala kunapwaya kwenye maamuz y viongoz
Filipino

MPAKA DAKIKA YA 63 NAMUNGO WALIKUWA MBELE DHIDI YA CHAMA LANGU LA MKOPO JKT TANZANIA 😂
Ila VALENTINO MASHAKA na SALEHE KARABAKA kutoka Simba walitupa alama Moja ugenini aisee 🔥
Vita ya top four bado mbichi,Hatutakubali wazawa asilimia 💯.
SEMA VALENTINO NA KARABAKA KWENDA KWA MKOPO JKT TANZANIA KUMEWAIMARISHA SANA.
Hii ni faida kwa Simba kwa sababu wote hawa wanapata game time ya kutosha tena chini ya Mwalimu wa viwango AHMAD ALLY.
Wadogo zangu wote ambao hampati nafasi kwenye timu zenu kubwa, Ombeni mtoke kwa mkopo.

Indonesia

@JabbarXCVII @Elsukay0 Ataruka ruka kumpa Okwi namba 10 ila kiuhalisia Okwi ni Winger tena anazicheza zote 2 ya kushoto na kulia.namba 10 ilikua ni nyongeza ya uwezo wake uwanjan na mahitaji ta mwalimu.Asimkingie kifua Mrisho kwa kigezo cha Okwi kupangwa 10
Filipino

@ArobogastMrosso @RevocatusMagum1 Mashaka analijua goli kuliko Dogo Sele anajua kukaa kwenye nafasi na anajua kuzitumia nafasi tofauti na sele.Binafsi nnamkubali pia Valentino
Indonesia

@RevocatusMagum1 Mashaka ni zaid ya mwalimu. Tulishindwa tu kumuamini. Mm binafs namuamin
Indonesia

@iamkizzyh Ndumila kuwili.miaka ya nyuma Dodoma walikua wengi sana
Indonesia






















