A⁴th retweetledi
A⁴th
18.4K posts

A⁴th
@AEdward_17
Human rights//Democracy //Rule of Law//Truth//Accountability/🫡🫡
Province of Belgorod, Russia Katılım Ekim 2017
1.8K Takip Edilen1.4K Takipçiler
A⁴th retweetledi

Kuna watu wana kipaji cha hali ya juu kabisa cha kujitoa ufahamu, kuongea upupu mchana kweupe kwa kujiamini asilimia mia moja, wakidhani Watanzania wote ni mbumbumbu wa kuamini kila wanachosema. Ni mchanganyiko wa ubinafsi, majivuno na ego uliopitiliza unaowasukuma kupuuza ukweli, kujiona wao pekee ndio wenye akili na maarifa, na kudharau uwezo wa Watanzania wa kuchambua na kutambua ukweli. Bahati mbaya kwao, kujiamini kupita kiasi hakubadilishi uongo kuwa ukweli, wala hakuwafanyi wengine kuwa wajinga.
Indonesia
A⁴th retweetledi

Kauli ya Chatanda yaiponza CCM, Msajili ailima barua mwananchi.co.tz/mw/habari/sias…
Indonesia
A⁴th retweetledi
A⁴th retweetledi
A⁴th retweetledi
A⁴th retweetledi
A⁴th retweetledi

@Advocate_Jebra Sio hereni tu ukitizama vizuri huyu unaona ana nywele nyingi mnoo kichwani sema tu zimefunikwa na kifuniko kichwani😂😂😂
Slovenščina
A⁴th retweetledi
A⁴th retweetledi
A⁴th retweetledi
A⁴th retweetledi






















