Afrika Jana na Leo

4.2K posts

Afrika Jana na Leo banner
Afrika Jana na Leo

Afrika Jana na Leo

@AFRIKA_JANA

Unbiased outlet | Make true Info. Available | Entertainment

Mtwara, Tanzania Katılım Nisan 2025
207 Takip Edilen575 Takipçiler
Afrika Jana na Leo
Afrika Jana na Leo@AFRIKA_JANA·
PRESS ZERO: KILICHOFANYWA NA JOHN HECHE LEO NI AIBU YA MWAKA, CHADEMA HAWAJUI SABABU YA KUPANDA BEI YA MAFUTA? Na Nulphin Charles, Serengeti Pata picha watu wanasubiri PRESS ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa tokea saa nane anakuja kuzungumza saa kumi akiwa hana hoja kabisa katika kipindi ambacho chama chetu kilitakiwa kuonyesha umahiri wa kufikiri na kujenga hoja. Badala ya kutoa hoja kwa namna gani nchi yetu inaweza kupata mbadala wa nishati kama CNG wewe unatuambia Kenya wananua mafuta kwa bei ya Shilingi 3700 na Tanzania tunanunua mafuta kwa Shilingi 3800, hivi hii ni akili au matope?Ndio hiyo hoja uliyoita watu tuje kukusikiliza? Hiki chama hakina hata wachumi? Leo hii Heche unatuambia huoni vita ya mashariki ya kati kama chanzo cha kupanda kwa bei ya mafuta? Seriously, hii ni kali ya mwaka. Hata Marekani tu, mafuta yamepanda katika kipindi hiki licha ya kuwa na akiba kubwa ya mafuta, ina maana huelewi ni kwanini? OK, tuache hilo. Eti umekuja kutueleza kuwa ipo kampuni inafanya biashara ya mafuta ba usikia tetesi wamiliki wake wanamahusiano na watumishi wa umma? Hata jina la kampuni husika hutaji, ina maana hujui taratibu za uagizaji wa mafuta Bulk procurement? Pamoja na kwamba nafikiria kuhama chama hiki kutokana na kuongozwa na watu wasio na uelewa kama John Heche nitasubiri kidogo kwasababu bado ninalojukumu la kuhamasisha wanachama wote kuhama hiki chama maana tunaongozwa na wendawazimu. John Heche itisha Press pale unapokuwa na kitu cha kusema sio kuitisha press kisha unatema pumba kama mlevi. Naanza kuelewa kwanini Kamanda wa Anga hakuwahi kukuona ukienea katika nafasi ya umakamu Mwenyekiti, such an incompetent idiot.
Afrika Jana na Leo tweet media
Indonesia
3
6
6
330
Afrika Jana na Leo retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
CHADEMA: We Have Greatly Wronged Tanzanians Over the October 2025 Unrest By Nulphin Charles, Retired Secretary, Serengeti District To date, CHADEMA remains the only party that has refused to provide a statement or submit to any questioning by the commission investigating the unrest during the October 2025 General Election. Why did our leaders refuse? From where I stand, the answer is clear: it is because of direct involvement in inciting the unrest, with the aim of preventing the election from taking place. The intention may have been to undermine CCM, but the consequences were far-reaching, and as a nation we have all witnessed the damage that followed. As a member of CHADEMA and a retired district-level leader, I believe our leadership must now come forward and publicly apologize to Tanzanians. The unrest resulted from poor decisions by some of our senior leaders, including the chairman, who openly vowed that the election would not proceed. We made mistakes, but acknowledging them is the first step toward accountability. The situation worsened when some within our leadership began receiving funds and direction from activists based in Kenya. There have also been claims surrounding two million US dollars reportedly brought into the country by the Ford Foundation, funds allegedly used to fuel the unrest and attempts to destabilize the government. Many young people were misled, some reportedly paid, and drawn into criminal activities, damaging property, stealing, and engaging in acts they believed were justified under the direction they were given. Not all of us within CHADEMA supported those actions. But with our leadership so deeply involved, this is a moment that calls for responsibility. It is time for us to acknowledge what happened and ask the Tanzanian people for forgiveness. +255764947409 NulphCharles@gmail.com
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
English
4
14
15
372

𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
8
11
14
1.3K
Afrika Jana na Leo retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·

Godfather fan tweet media
Godfather fan tweet mediaGodfather fan tweet media
English
4
13
14
205
Afrika Jana na Leo retweetledi
Lembrus Mchome
Lembrus Mchome@LembrusMchome·
Ni dhahiri kwamba report ya tume ya Jaji Chande itakua ya kitaalamu sana na iliyojaa weledi mkubwa katika kung'amua kilichotokea 29 oct. Itakuja na ushahidi usio nashaka, lakin pia itakuja na suluhisho zuri ni vip tutaenda mbele kama taifa na kurejea pamoja. Hongera tume
Lembrus Mchome tweet media
Indonesia
44
10
21
2.4K
Alsina
Alsina@M0r0B0y·
@AFRIKA_JANA Ukisoma koment za wana CDM humu kuna kitu utagundua aisee ni wahuni wahuni tu yan🤣🤣🤣🤣
Indonesia
1
0
1
10
Afrika Jana na Leo
Afrika Jana na Leo@AFRIKA_JANA·
CHADEMA TUMEWAKOSEA SANA WATANZANIA, TUOMBE RADHI: VURUGU ZA OKTOBA 2025 Na Nulphin Charles, Katibu Mstaafu wa Wilaya ya Serengeti Mfungo wa Ramadhani umeisha, Kwaresma nayo imeisha; sasa ni wakati wa kuanza upya. Mpaka sasa, ni CHADEMA pekee iliyokataa kutoa maoni wala kuhojiwa kwa namna yoyote na Tume iliyokuwa inachunguza vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Je, unajua kwa nini viongozi wetu walikataa? Iko wazi kabisa kuwa ni kutokana na kushiriki moja kwa moja kuhamasisha vurugu kwa malengo ya kuzuia uchaguzi usifanyike. Malengo yakiwa ni kuikomoa CCM, lakini sote ni mashuhuda wa madhara yaliyotokea. Kama mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kiongozi mstaafu katika ngazi ya wilaya, nawaomba viongozi wetu watoke hadharani kuomba radhi Watanzania kwa madhira makubwa yaliyosababishwa na maamuzi ya baadhi ya viongozi wetu, akiwemo Mwenyekiti aliyejiapiza kuwa atahakikisha uchaguzi haufanyiki. Kujikwaa si kuanguka, tubebe msalaba huu. Hali ilianza kuwa mbaya zaidi baada ya viongozi wa chama kuanza kupokea fedha na maelekezo kutoka kwa wanaharakati wenye makao makuu yao huko Nairobi, nchini Kenya. Sote tunajua hata ile dola milioni mbili iliyoelezwa kuletwa nchini na Ford Foundation iliwafikia vigogo wa chama ili kutekeleza vurugu ile na hatimaye kupindua serikali. Nadharia ya mapinduzi si falsafa ya chama, ilikuwa hadaa iliyostawishwa na tamaa ya wachache. Vijana wengi walilipwa na kudanganywa ili wafanye uhalifu, kuharibu mali za watu, na hata kukata watu vidole eti kwa kisa cha kupiga kura. Wapo walioiba na kufanya kila aina ya uhalifu wakiamini kuwa njia iliyokuwa inaelekezwa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA ilikuwa sahihi. Ndani ya CHADEMA, si wote tuliunga mkono ujinga ule, lakini kwa kuwa viongozi wetu walishiriki kwa asilimia 100, hatuwezi kukwepa lawama. Wakati umefika tuombe radhi Watanzania kwa maamuzi na nia ovu iliyoonyeshwa na baadhi ya viongozi wetu ili tuanze mwanzo mpya. Karibuni Serengeti +255764947409 NulphCharles@gmail.com
Afrika Jana na Leo tweet mediaAfrika Jana na Leo tweet mediaAfrika Jana na Leo tweet media
Filipino
26
13
19
2.3K
Afrika Jana na Leo retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
PRESS ZERO: KILICHOFANYWA NA JOHN HECHE LEO NI AIBU YA MWAKA, CHADEMA HAWAJUI SABABU YA KUPANDA BEI YA MAFUTA? Na Nulphin Charles, Serengeti Pata picha watu wanasubiri PRESS ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Taifa tokea saa nane anakuja kuzungumza saa kumi akiwa hana hoja kabisa katika kipindi ambacho chama chetu kilitakiwa kuonyesha umahiri wa kufikiri na kujenga hoja. Badala ya kutoa hoja kwa namna gani nchi yetu inaweza kupata mbadala wa nishati kama CNG wewe unatuambia Kenya wananua mafuta kwa bei ya Shilingi 3700 na Tanzania tunanunua mafuta kwa Shilingi 3800, hivi hii ni akili au matope?Ndio hiyo hoja uliyoita watu tuje kukusikiliza? Hiki chama hakina hata wachumi? Leo hii Heche unatuambia huoni vita ya mashariki ya kati kama chanzo cha kupanda kwa bei ya mafuta? Seriously, hii ni kali ya mwaka. Hata Marekani tu, mafuta yamepanda katika kipindi hiki licha ya kuwa na akiba kubwa ya mafuta, ina maana huelewi ni kwanini? OK, tuache hilo. Eti umekuja kutueleza kuwa ipo kampuni inafanya biashara ya mafuta ba usikia tetesi wamiliki wake wanamahusiano na watumishi wa umma? Hata jina la kampuni husika hutaji, ina maana hujui taratibu za uagizaji wa mafuta Bulk procurement? Pamoja na kwamba nafikiria kuhama chama hiki kutokana na kuongozwa na watu wasio na uelewa kama John Heche nitasubiri kidogo kwasababu bado ninalojukumu la kuhamasisha wanachama wote kuhama hiki chama maana tunaongozwa na wendawazimu. John Heche itisha Press pale unapokuwa na kitu cha kusema sio kuitisha press kisha unatema pumba kama mlevi. Naanza kuelewa kwanini Kamanda wa Anga hakuwahi kukuona ukienea katika nafasi ya umakamu Mwenyekiti, such an incompetent idiot.
Godfather fan tweet media
Indonesia
1
11
13
414
Afrika Jana na Leo
Afrika Jana na Leo@AFRIKA_JANA·
CHADEMA: We Have Greatly Wronged Tanzanians Over the October 2025 Unrest By Nulphin Charles, Retired Secretary, Serengeti District To date, CHADEMA remains the only party that has refused to provide a statement or submit to any questioning by the commission investigating the unrest during the October 2025 General Election. Why did our leaders refuse? From where I stand, the answer is clear: it is because of direct involvement in inciting the unrest, with the aim of preventing the election from taking place. The intention may have been to undermine CCM, but the consequences were far-reaching, and as a nation we have all witnessed the damage that followed. As a member of CHADEMA and a retired district-level leader, I believe our leadership must now come forward and publicly apologize to Tanzanians. The unrest resulted from poor decisions by some of our senior leaders, including the chairman, who openly vowed that the election would not proceed. We made mistakes, but acknowledging them is the first step toward accountability. The situation worsened when some within our leadership began receiving funds and direction from activists based in Kenya. There have also been claims surrounding two million US dollars reportedly brought into the country by the Ford Foundation, funds allegedly used to fuel the unrest and attempts to destabilize the government. Many young people were misled, some reportedly paid, and drawn into criminal activities, damaging property, stealing, and engaging in acts they believed were justified under the direction they were given. Not all of us within CHADEMA supported those actions. But with our leadership so deeply involved, this is a moment that calls for responsibility. It is time for us to acknowledge what happened and ask the Tanzanian people for forgiveness. +255764947409 NulphCharles@gmail.com
Afrika Jana na Leo tweet mediaAfrika Jana na Leo tweet mediaAfrika Jana na Leo tweet media
English
1
6
6
163
Afrika Jana na Leo retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
RAIS SAMIA AWAPUNGUZIA KODI WAFANYABIASHARA SOKO KUU LA KARIAKOO Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa punguzo la kodi kwa wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo ambapo kwa wafanyabiashara wa vizimba wamepata punguzo la asilimia 17 huku wale wa biashara nyingine kama maduka wamepata punguzo la asilimia 10 hadi 16. Uamuzi huo wa Rais Samia umetangazwa kwa waandishi wa habari na Meneja Mkuu wa Shirika la Masoko ya Kariakoo CPA. Ashraph Abdulkarim ambapo ameongeza kuwa pamoja na punguzo hilo la kodi Mhe. Rais ametoa msamaha wa kodi ya mwezi mmoja tangu alipofungua soko hilo Februari 8,2026 hadi Machi 8, 2026.
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
9
13
298
Afrika Jana na Leo retweetledi
Joedzy
Joedzy@talawa69948·
@AFRIKA_JANA Wawajibishwe hawa ndo wauwaji
Indonesia
0
1
0
19
The Wolf
The Wolf@gambasaidi·
@AFRIKA_JANA Emagine majibu yote humu ni matusi😂😂😂 watu wanapigania haki na uhuru wa maoni
Indonesia
1
0
1
23
Odoyo
Odoyo@Odoyo06849275·
@AFRIKA_JANA Kila mtu hapo Serengeti anajua kuwa wewe ni BARADHULI na BWEGE, tena ni mtoto wa Msimbe aliyebakwa vichochoroni kisha ukazaliwa mitaroni! Lini uliona Msimbe akimfundisha mtoto wake maadili mema?! Hana huo muda!
Indonesia
1
0
0
37
Afrika Jana na Leo retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
CHADEMA TUMEWAKOSEA SANA WATANZANIA, TUOMBE RADHI: VURUGU ZA OKTOBA 2025 Na Nulphin Charles, Katibu Mstaafu wa Wilaya ya Serengeti Mfungo wa Ramadhani umeisha, Kwaresma nayo imeisha; sasa ni wakati wa kuanza upya. Mpaka sasa, ni CHADEMA pekee iliyokataa kutoa maoni wala kuhojiwa kwa namna yoyote na Tume iliyokuwa inachunguza vurugu zilizojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Je, unajua kwa nini viongozi wetu walikataa? Iko wazi kabisa kuwa ni kutokana na kushiriki moja kwa moja kuhamasisha vurugu kwa malengo ya kuzuia uchaguzi usifanyike. Malengo yakiwa ni kuikomoa CCM, lakini sote ni mashuhuda wa madhara yaliyotokea. Kama mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kiongozi mstaafu katika ngazi ya wilaya, nawaomba viongozi wetu watoke hadharani kuomba radhi Watanzania kwa madhira makubwa yaliyosababishwa na maamuzi ya baadhi ya viongozi wetu, akiwemo Mwenyekiti aliyejiapiza kuwa atahakikisha uchaguzi haufanyiki. Kujikwaa si kuanguka, tubebe msalaba huu. Hali ilianza kuwa mbaya zaidi baada ya viongozi wa chama kuanza kupokea fedha na maelekezo kutoka kwa wanaharakati wenye makao makuu yao huko Nairobi, nchini Kenya. Sote tunajua hata ile dola milioni mbili iliyoelezwa kuletwa nchini na Ford Foundation iliwafikia vigogo wa chama ili kutekeleza vurugu ile na hatimaye kupindua serikali. Nadharia ya mapinduzi si falsafa ya chama, ilikuwa hadaa iliyostawishwa na tamaa ya wachache. Vijana wengi walilipwa na kudanganywa ili wafanye uhalifu, kuharibu mali za watu, na hata kukata watu vidole eti kwa kisa cha kupiga kura. Wapo walioiba na kufanya kila aina ya uhalifu wakiamini kuwa njia iliyokuwa inaelekezwa na baadhi ya viongozi wa CHADEMA ilikuwa sahihi. Ndani ya CHADEMA, si wote tuliunga mkono ujinga ule, lakini kwa kuwa viongozi wetu walishiriki kwa asilimia 100, hatuwezi kukwepa lawama. Wakati umefika tuombe radhi Watanzania kwa maamuzi na nia ovu iliyoonyeshwa na baadhi ya viongozi wetu ili tuanze mwanzo mpya. Karibuni Tarime +255764947409 NulphCharles@gmail.com
Godfather fan tweet media
Filipino
1
18
18
329