panther

9.1K posts

panther

panther

@AMusaii

“Parents wonder why streams are bitter when they themselves have poisoned the fountain”..John Locke / Choleric pure//Logistics and Transportation Management//🏀

Katılım Ekim 2019
331 Takip Edilen486 Takipçiler
The Kenya Times
The Kenya Times@thekenyatimes·
George Njoroge questions why highly educated people tend to stay away from the church
The Kenya Times tweet media
English
96
31
397
87.6K
panther
panther@AMusaii·
@Adventure_36 Kuna mwaka nilipanda bus la VIP la Geita huko kuja Dar, wakawa wanaokota raia njian…
Indonesia
0
0
0
74
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Niliwahi kuandika humu kama kuna uwezekano LATRA watoe kibali kuwe na daladala maalum zenye hadhi ya VIP mtu analipia nauli hata 2000 lakin unasafiri kwa starehe tu sio mbaya. Nimeona wamefanyia kazi, na humu pia nimeona watu wanatangaza mchongo kama huo Kila la heri kwenu 🔥🫡
Filipino
27
69
862
31.3K
Big_Nicky01✊️
Big_Nicky01✊️@Nicky__001·
Kwangu huyu ndo character wa kisenge kuwahi kumuona kwenye movie 😃 Huyu dogo ni mshenzi sana 🙌🏾🚮.
Big_Nicky01✊️ tweet media
Filipino
36
11
175
17.5K
panther
panther@AMusaii·
@chapo255 Ukute waliokua wanawakataa mitume, walikua wanawaona kam hiv sisi tunavyowaona hawa kina zumaridi sasa hiv.
हिन्दी
0
0
0
12
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Wait… Mna uhakika gani kama hao mitume kweli walikuwepo? Kama ni watu tu walikaa na kutunga stori? Nawaza kuwa Mwenyezi Mungu amuumbe binadamu dhaifu kwa makusudi alafu mwisho wa siku amchome moto? Unatengenezaje kitu unachokipenda kisha ukiangamize? Kwanini Shetani ni mmoja?
Filipino
153
64
616
48.8K
panther
panther@AMusaii·
@BarakaMaviatu Ile ya “just make me a leader there” nitakufarahisha😀
English
0
0
0
4
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
Kinachotokea Iran kitatokea popote pale mtapoanza kukaza kuhusu rasilimali zenu. Huku ukiwacheka Iran huku ukitamani viongozi wako wakaze kwenye mikataba ya rasilimali. Na wanasiasa wanaogopa hakuna mtu anataka kuja kunyakuliwa au kufanyiwa figisu aporwe madaraka.
Indonesia
31
37
230
11K
panther
panther@AMusaii·
@INFLUENCERjr Au ukiambiwa “Waelimishe na wanaume wenzio wajifunze”…
0
0
2
120
panther
panther@AMusaii·
@TitoMagoti Kuna ajira chache ambazo hazina makonakona, wana bold pale GPA ya 3.8 Haya unakuta mtu aliambiwa gpa kubwa sio kufanikiwa maisha akawa anazurula kariakoo, kitambaa, kulala hostel akapata 2.1
Filipino
1
0
3
554
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Mjadala wa GPA? GPA ni kwaajili yako. Sio kwaajili tu ya ajira ya BoT au big entities. Good score will open plenty of doors for you. Kama bado uko shule, tafadhali usicheze, faulu vizuri. Usisubiri upitwe na fursa kwakukosa sifa za kitaaluma. Mengine - bahati na kudra, ni ziada!
Indonesia
70
294
1.5K
73.2K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Dar es salaam bajaji ni nyingi sana aisee kila sehemu unakopita zipo kama Buku. Pamoja na wingi wa Bajaji, daladala nazo zipo, Bodaboda nazo zipo lakini bado usafiri ni changamoto. Huu mji una watu sana sio mchezo
Indonesia
27
44
447
25.4K
panther
panther@AMusaii·
@chapo255 Oyaa madem kibao wanakula kaya aisee😃
Filipino
0
0
0
365
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Bro to bro Usiiseme vibaya bangi mbele ya demu wako, shauri yako!
Indonesia
30
62
701
27.8K
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
@_zolendronic Binadamu wengi hua tunajisahau kua sisi ni wanyama kama wengine tuu. Mtu unaua kwa sababu za kipuuzi. Mwingine aliua mke kisa kaunguza nyama. Ujinga ujinga.
Indonesia
6
0
27
1.1K
D A L A L I
D A L A L I@_zolendronic·
Instagram inafanya unamuua mtu? Kwa nini usimpe talaka sheikh?
D A L A L I tweet media
Indonesia
27
5
126
9.3K
panther
panther@AMusaii·
@BarakaMaviatu Sikushtuka sana, Nadhan ni defense mechanism ya kuavoid deported
Indonesia
0
0
0
4
panther
panther@AMusaii·
@DullahTheking2 Na hapo ndio miyeyusho ya hizi imani inaanzia hapo!! Yan kwamba wew huwez kuwa na imani yako, mungu wako kimya kimya, huu uspecial wanaoutak watu ni upi!??
Filipino
1
1
2
206
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
Hii mijadala yenu ya kidini inayoendelea inakata sana. Maana mingi ipo kwajili ya kudhihaki imani za watu. Mnazingua wanetu
Indonesia
20
29
217
5.9K
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Sema hizi dini ukiangalia kwa Umakini unahisi kabisa hazikuja kwaajili yetu. Imagine vitabu vinazungumzia Punda, farasi na ngamia ambao hujawai hata kuwaona au kuwaendesha sanasana uliishia kupiga nao picha! Kifupi vitu vingi havitoki kwenye jamii uliyotokea//uliyopo.
Indonesia
61
25
443
28.5K
panther
panther@AMusaii·
@DaimuManafi mawazo mazuri, ila luna mtu mmoja aliwah kusema “unadhan hakuna watu washawaza hiki kitu!? siku moja tembelea karikaoo pale china plaza, boma au vituo tu vya daladala ile saa 18:00PM uone watoto wa shule wanavyonyanyaswa kweny magar, tena boma pale ni mbele ya ofisi ya RC
Indonesia
0
0
1
32
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Piga marufuku bajaji na boda boda kuingia katikati ya jiji, jenga mfumo wa treni za mjini (Metro) zichukue watu kila pembe ya jiji na kuwamwaga katikati. Funga CCTV cameras kila eneo, weka dustbins kila eneo, sambaza law enforcement officers kukamata wanaochafua jiji. Ondoa wasafisha barabara kwa mikono, tumia magari ya kisasa kuondoa vumbi na uchafu barabarani, baada ya mwaka mmoja tupime matokeo.
Indonesia
88
36
469
34.3K
panther
panther@AMusaii·
@BarakaMaviatu Sidhani kam ipo! Maana hata hayo mafuta yanayosemwa binafs sijawah kukutananayo kokote. Ila pia kam hakuna bidhaa inayozalishwa na korosho, Korosho yenyew si inakuwa final product!?
Indonesia
1
0
1
6
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒@BarakaMaviatu·
Hichi kidole tukikikalia miaka ya 90 kutoka ulaya na America awamu hii tutajikalia kwa mchina tena. Wachina wanajua hatuna bidhaa yoyote ya maana ya kupeleka kwa hivyo hawatishiki na lolote. Haoa sasa wao watakuja kuzoa mali ghafi kama wamechanganyikiwa.
Current Report@Currentreport1

BREAKING: China has announced it will remove all tariffs on goods imported from the 53 African countries it has diplomatic relations with, allowing those products to enter China without import taxes, and the policy will take effect on May 2026.

Indonesia
34
17
142
12.2K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Wakati Wafanyabiashara wa nchi zingine wakiutumia Mwezi wa Ramadhan kupandisha bidhaa, Wenzao wa Falme za Kiarabu wao wanautumia Mwezi wa Ramadhan kuitafuta Pepo kwa kushusha maradufu bei za Bidhaa. #KitengeUpdates
Indonesia
14
5
125
10.9K
panther
panther@AMusaii·
@Kicheche_jr Programmed Which make sense kwamba religions wasnt our nature,
English
0
0
1
79
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
"Nipe mwanao hadi umri wa miaka 6, naye atakuwa mkatoliki miaka yote". Hii ndio kauli za baadhi ya mapadri na masista wa katoliki. Unadhani kwanini miaka 6?
Indonesia
9
19
432
35K
panther
panther@AMusaii·
@rayasel94 Alafu kam dini yako inakukataza kitu usifanye ndio, kukataza watu wengine wasifanye huwa ni ubinafsi na wivu. Si kila mtu atahukumiwa kwa mzigo wake lakin
Indonesia
0
0
0
3