M@triiks

181 posts

M@triiks

M@triiks

@Abou_04_

lab scientist

Katılım Ekim 2023
253 Takip Edilen18 Takipçiler
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@Mwenyekit_i Kuna mwanangu alizama pia kwa mjasriamali had meseji za biashara alizion na bado alkwama kla ushaur wetu wana ulfeli kuna wana wakala na akajua na bado hakumuacha😁😁
Indonesia
0
0
2
46
TRUST ME BRO
TRUST ME BRO@Mwenyekit_i·
Hamuwezi kumuelewa jamaa lakini mimi namuelewa sana, Niliwahi kuzama kwa mjasiriamali wa kimataifa ni kama wana madawa hakuna story utaletewa kuhusu yeye na uielewe nafikri ni maombi ya mama yalinisaidia😀.
TRUST ME BRO tweet media
Indonesia
57
28
374
33.8K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@EsirEid @Makaveli_255 Nje ya mada kidogo hvi huu mkopo wa elimu yajuu ambao una riba ndani yake si ni haramu, na tunautumia kupata hyo elimu je hlo halisabbish na elimu tulyoipata kupitia huo mkopo nayo kuwa haramu??
Indonesia
2
0
4
456
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
Misingi ya insurance imejengwa katika uharamu hivyo kuifanya kuwa haramu katika sheria yetu ya Kiislamu. Insurance ni bahati nasibu na kwa ajili ya kutaka kupata faida nyingi huwa hawakubali mtu ambaye ana ugonjwa wa kudumu kujiandikisha. Uharamu wake ni kuwa ndani yake kuna Gharar (uongo), riba, Qimaar (kamari) na kuuza deni kwa deni. Moja tu kati ya hizi zikipatikana katika kitu chochote hukifanya kuwa haramu. Na katika bima nukta hizi nne zinapatikana. Insurance ni bahati nasibu, kwa kuwa unaweza usiwe mgonjwa kwa mwaka mzima hivyo kufanya pesa zako ziwe zimepotea bila huduma ya aina yote. Uislamu haufanyi kazi aina hiyo, unataka mtu atoe pesa na apate huduma kutoka kwa shirika au kampuni au idara nyingine yoyote. Kisha pia katika insurance huwa kuna riba ndani yake na udanganyifu ambao umekatazwa na Uislamu. Na Allaah Anajua zaidi
Indonesia
65
24
250
26.2K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@officialshakuu Upo chuo umepata mimba inakuzuia vp kuendelea kusoma??
Slovenščina
1
0
1
1.4K
𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥𝐬𝐡𝐚𝐤𝐮𝐮🍂🍁
🚨Daaah 💔😭 hii INAUMIZA Sana kwa wazazi wanao LIPA ADA. Chuo ukiendekeza Tama na maisha ya bata haya ndio matokeo yake aisee ila pole Sana piga moyo KONDE 🙌🏿🚮 📌𝑶𝑷𝑬𝑵 𝑻𝑯𝑹𝑬𝑨𝑫 & 𝑨𝑫𝑽𝑰𝑺𝑬 𝑯𝑬𝑹 No. 1/3👇🏿🍂
𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥𝐬𝐡𝐚𝐤𝐮𝐮🍂🍁 tweet media𝐎𝐟𝐟𝐢𝐜𝐢𝐚𝐥𝐬𝐡𝐚𝐤𝐮𝐮🍂🍁 tweet media
Filipino
76
23
213
36K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@goligani Ankula 52 pesa utopoloni sasa😂😂
Indonesia
0
0
0
170
goligani
goligani@goligani·
Ila mjomba CHAMA huko aliko duah 😂😂😂😂😂😂
goligani tweet media
Filipino
28
27
1K
42.1K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@Fikra_pevu Ukitaka kujua madhara ya chips yai katafute ktu kinaitwa "trans fats" mafuta yanayorundika kwny vtu vlvokaangwa
Indonesia
0
1
8
428
Nathan Paul Jr
Nathan Paul Jr@Fikra_pevu·
Chips Yai, ni combination ya Carbohydrate na Protein. Shida iaanzia wapi? Tuongee kisomi na kitaalamu tafadhali. Na tunaambiwa viazi mviringo ni chanzo cha Carbohydrate, Vitamins na madini kama zinc, mg... hapo hapo mayai yana protein. Shida ya nguvu za kiume itatoka wapi?
Filipino
103
48
812
87.1K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@kocha540 @TOTTechs Shida n chrome yenyew wala haihusiani na extension. Ukirun Chrome inachukua nafas kubwa ya Ram na Cpu inafny kaz zaid ht ukfungua tab moja sasa zfungue tab zaid ndo unaichemsha kabisa
Indonesia
1
0
1
111
Alpha dev
Alpha dev@kocha540·
@TOTTechs Sidhani kama shida ni chrome labda extension mtu alilozijaza na aina ya Site mtu amefungua kwenye izo Tab, kama ni torrents,Yt, netflix lazima CPU ionje joto la Kwa Mkapa..Extension za chrome ni auto-run vilevile unakuta mtu hajaclear cache miezi zaidi ya 4,5,6..
3
1
15
1.6K
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Sema ni kwa sababu watu wengi hawana option au wanapenda Chrome ila ukifungua multiple Google Chrome applications/tabs, it slows down your computer and generates excess heat that reduces the PC's lifespan. Computer zinachemka balaa.
English
41
23
351
27.3K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@SaumuYanga @abaanzinza Huku zenji hata ukiend kuposa na wazaz wakakutaa ukiendelea kumng'ang'ania bint yao unakula kesi tu😁😁
Indonesia
2
0
4
699
Saumu Yanga
Saumu Yanga@SaumuYanga·
@abaanzinza Huku zanzibar hizo kesi za namna hio ni kila baada yamasaa 72 ..ubakaji umepitiliza na sometimes ni wanabambikiwa tu wala sio kweli
Filipino
7
1
63
7.2K
Brother Mkama
Brother Mkama@abaanzinza·
Unapishana kauli na mtu kwenye manbo ya kawaida tu na unachukulia kawaida. After 2 days watoto wake wanakuja kwako kuangalia Ottoman. Unakaa wiki unaletewa pira una kesi ya ubakaji na ulawiti. Kama mnashangaa, haya mambo ni very common huku uswahilini.
Indonesia
47
77
1.1K
90K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@Ladylyd9632611 @MsomiKhan18 Activated charcoal inafany meno kuwa meupe kwa kukwangua layer ya juu ya meno (enamel) ko meno yatkua meupe mwanzo ila unavozd kuitmia meno yataanz kuw ya njano kw sabb layer inayofuat ya meno ina unjano inaitw dentine ko itakuw hujafny cha maan na ushahrb meno
Indonesia
0
0
1
79
Msomi Khan
Msomi Khan@MsomiKhan18·
Dawa gani ya meno ni Bora hapa? 1. Colgate 2. Whitedent 3. Sensodyne 4. Vigor Doctor Nasoma Comments Wanangu?
Filipino
207
50
974
149.7K
Ladylydia
Ladylydia@Ladylyd9632611·
@MsomiKhan18 Dabur Herbal Activated Charcoal Toothpaste,non fluoride .
Ladylydia tweet media
English
6
3
43
7.7K
ARSENAL ARSENAL ❤️
ARSENAL ARSENAL ❤️@no_Icant_Let_Go·
Biashara ni kitu unpredictable sana imagine mtu aliyekuwa anamuuzia Nkunku zile Balloons kashapoteza mteja 😂
Indonesia
43
31
483
22.7K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@1960Remija Mtandao jau huu nkaukimbia mwaka 2017 mpk leo situmii...walinpa gb 4 km offa nkatumia kb 20 t hata status za whatsapp hazfunguki 😅😅
Indonesia
1
0
1
166
DJIGUI DIARRA 🐐
DJIGUI DIARRA 🐐@1960Remija·
Kwa Tanzania hakuna mtandao wa simu unaotoa huduma mbovu ya mawasiliano/intaneti na wenye huduma mbovu kwa wateja kama Airtel. Ningekuwa na nguvu za kimamlaka hawa ningewaondoa Tanzania.
Indonesia
16
9
117
3.6K
Kars
Kars@KarseeFJ·
@UTDTrey Ngl you guys need to step in next season. Oh wait a minute… you’re 14?😭
English
3
1
233
13.9K
(fan) Trey
(fan) Trey@UTDTrey·
The premier League’s last hope for the Champions League lies with Arsenal & Aston Villa😭😭😭
English
318
862
18.3K
568.7K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@MarekaMalili Kuna watu hata ukijbu status zao hawakujbu lakn wanapata audacity ya kuja kuomba mchango wa sherehe zao😅😅....m nazingalia tu text zao za kuomba michango
0
0
1
87
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Watu wakishamaliza shida zao ghafla, msg hawaoni, simu hawaoni 😆 Same same people ambao wakati wana shida wanakua available mpaka unashangaa.
Indonesia
41
68
773
36.4K
Vee Kimwanya
Vee Kimwanya@VeronicaEvord1·
Taja movie Ambayo Unaweza Kuangalia Tena na Tena Bila Kuichoka.....👇
Indonesia
264
50
800
111.2K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@kalage_jr Kiwanda cha kibiriti Kasuku kipo zakhem nyuma nyuma kule eneo la viwanda ukienda pale nje utakuta pipo kibao tu😁😁
Indonesia
1
0
9
1.3K
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Mambo mengine ni adimu hata kusikia, Mfano ushawahi sikia mtu anafanya kazi kiwanda cha vibiriti hapa Tanzania.😀😀
Indonesia
54
57
1K
62.7K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@Njamasi__ Nlkutana na mwanamke wa aina hii ila sku nliyompa pesa nyingi tu( kwa kumuazima) ndo mahusiano yamekufa😂😂
Indonesia
0
0
0
40
𝐈́𝐦𝐦𝐚𝐧𝐮𝐞𝐥
Binafsi huwa namuogopa sana mwanamke ambae haombi hela, huwa simuelewi anataka nini sababu najua akisema anataka mapenzi tuu ni uongo, Ni sawa na shetani akwambie bwana yesu asifiwe, Unashindwa kuelewa uitikie ameni au ukemee 😂😂
Indonesia
59
100
440
25.6K
M@triiks
M@triiks@Abou_04_·
@Mkushiiii Kaniacha vibaya sana mana nlmuazma 150k baada ya hapo n kuzimiwa smu tu😂😂.....
Indonesia
0
0
0
30