Alpha dev
4.7K posts


@FaradayMtz01 Huna unachokijua AI, ML, LLM ipo pengine kabla hata ujavunja ungo
Indonesia

Mchekeshaji Jol Master ameshindwa jizuia ameamua kumpa maua yake live mtayarishaji wa mziki wa bongo fleva S2kizzy.
''Leo naomba nimuongelee huyu jamaa , brother of mine @s2kizzy Huyu ni moja ya binadamu wenye moyo na roho nzuri sana sana sana 🫡 MAUA TUTOE MTU AKIWA HAI 💪 Kuna kipindi nilikuaga napitia situation ya kimiyeyusho sana financially ila mwamba alikua ananifata kila siku makongojuu CCM ananichukua ananiambia utakuja ujinyonge mbwa ww 😂😂 Tunazurura tunaenda studio kwake Anawarecodia wasanii mimi niko pale Najikuta najifunza vitu vingi then baadae ananirudisha Ananiachia 50k kila siku. 🫡 NIKAWA NAANDAA SHOW YANGU YA KWANZA MLIMANICITY AKAWAAMBIA WASANII WOTE A LIST WAFANYE PROMO YANGU YA SHOW , Haikutosha Mwamba hajawahi kosa show yangu hata moja''Ameandika- Jol Master

Filipino

@british77boe Bora ukamatwe na Madawa ya Kulevya ila sio Camera pale Valvet huyu Malaya akikuona unarecord utajuta kuzaliwa
Filipino

@mTusiOriginal TikTok ambayo hata Beki tatu anaweza kupata followaz Mlima ??
Indonesia

@MkulimaKante Tajiri kachachuka huyu sema anajua Mitandao kuna wapuuzi wengi kante, sukununu n.k watam-bully Mke wake na Mtoto wake wakike
Siba Guvu Moya
By MO

Filipino

Swali la kizushi pamoja na kuwa bilionea kijana Afrika kupenda kushare picha zake mara kwa mara.
Kwanini huwa hapendi kumuweka mke wake hadharani maana najua hakuna mtu wa kumuiba mke wa tajiri maana pesa ipo.
Nataka nijifunze kitu ili siku nikitajirika nipite njia zake huenda kuna jambo la muhimu sana hapa🙏

Indonesia

@AlexSamoja Kosa sio Bonge, kosa ni Nyerere kuwazoesha mfumo wa Ujamaa kwamba kila kitu ni bure Aliwalemaza sana,Ubepari ndio unaongoza dunia, Kwenye Capitalism kila kitu ni hela, Andrew Tate anauza kozi kila siku ila hamumuoni kwasababu ni mzungu?Ukitaka kufundishwa Toa hela kama huna tulia
Indonesia

Yule Baraka mashavu baada ya miaka mi5 mbele atakuwa na kesi zaidi ya 100 za uhujumu, mtu hawezi kutoa 150k afu miezi imepita hajapata hyo 100m, Akamuulize Sir Jeff na Yule Magnetics wale wanashitakiwa na watu waliotoa hela afu hawakupata kitu.
Save, bookmark and screenshot for the records 📌

Indonesia

@MangiwaKwanza1 Kale katapeli Ex-Waziri wa Ujenzi anaedaiwa Fidia ya 2B na Mahakama kametumikia jimbo zaidi ya Miaka 10+ ila Barabara ni mbovu hazitamaniki wakati watu wanashusha mijengo kule Mwanaghati kama Capetown ijayo
Indonesia

@millardayo Vita dhidi ya kumkandamiza kijana Inazidi kupamba Moto kama Kijana bado hujaamka basi jitathmini sana kamari ni kamari hata ipambwe vipi baada ya Miaka kadhaa wagonjwa wa akili, Hypertension (Moyo) watakua wengi mnoo
Indonesia

Vunjabei Group chini ya Mtendaji Mkuu wake Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei, leo imezindua rasmi jukwaa jipya la michezo ya kubahatisha lijulikanalo kama Vunjabei Bet, likianza operesheni zake hapa Nchini Tanzania, huku likiwa na mpango wa kupanuka katika Nchi saba za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati
Akizungumza katika uzinduzi huo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Robert Mbwasi, aliyemwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga, amempongeza Fred Vunjabei kwa jitihada zake za kutafuta fursa za Kimataifa na kuwekeza Nchini, akibainisha kuwa Sekta ya Ubashiri imeendelea kuwa na mchango mkubwa kiuchumi ambapo kwa mwaka 2024/2025 pekee imeingiza takribani Shilingi bilioni 260.
Jukwaa hilo jipya linatarajiwa kutoa huduma si tu ndani ya Tanzania bali pia kuvuka mipaka na kuhudumia masoko ya Nchi saba jirani, hatua inayolenga kuongeza ushindani wa kibiashara na kuboresha huduma katika sekta ya ubashiri wa michezo
Katika kufanikisha mradi huo, Vunjabei Group imeingia ubia na kampuni ya Kimataifa kutoka Nchini Italy iliyowekeza katika teknolojia ya uendeshaji wa mfumo huo, huku Kampuni hiyo ya ndani ikichukua jukumu la kuwekeza katika miundombinu, usimamizi na masoko katika Nchi zote zitakazofikiwa
Ukuaji wa sekta ya ubashiri umeendelea kuwa kichocheo muhimu cha maendeleo ya michezo Nchini, ambapo kupitia udhamini wa Ligi, Vilabu na matukio mbalimbali, Kampuni za kubashiri zimechangia kukuza Vipaji vya Vijana na kuimarisha tasnia ya michezo, huku uzinduzi wa Vunjabei Bet ukitarajiwa kuongeza ajira, fursa za uwekezaji na ushindani katika Soko la burudani Nchini na Ukanda mzima. #MilladAyoUPDATES

Indonesia

@ayubu_madenge Tena WC2024 walicheza na USA ilikua mtaftano japo walikandwa
Indonesia

Hii itakufaa ina Aura
💻 HP Dragonfly G2 – Premium Business Laptop. Ni 360 ina touch screen
⚡ Intel Core i5 (11th Gen)
🧠 16GB RAM
💾 256GB SSD
🪶 Ultra-light | 🔐 Secure | 💼 Business-class
📌 Inafaa kwa: Business, Office work, Coding, Remote work
💰 Price: 1,100,000 TZS
➠ 📍Dubai
➠ Express Delivery: 1–7 Days
➠ shipping fee 20$ per kg
➠ Pay-on-Delivery hatufanyi❌, kama hutuamini Bora BIASHARA ife.
DM us now +255 694 579 000
Kama Budget tight chukua hii chini👇🏾👇🏾

Dada Kucha💅🏽@GraceNguo
I really need a laptop mambo ni mengi 🤦🏽♀️
English

Kuna na imani, show up no matter what, hapo nilikua nimechezeshwa mzigo wangu so nilitakiwa kuanza moja ndo kipindi nywele zilipotea hadi leo nanyoa kipara sababu ya mawazo🤣
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 @Makaveli_255
We are open jamani mali nitapata tu😂😂
Filipino

@Roma_Mkatoliki Unaambiwa Kura zilikuwa zaidi ya 20M yaliongeza namba. ila idadi ya Vifo yanakomaa kuishusha Hawa wazee ukitoa urafi wa Madaraka ni kama wamepata Trauma inawatesa kila uchwao
Indonesia

Bus linapata ajali wanakufa abiria 50, ila Gavoo ikija kutoa habari lazima wapunguze idadi ya vifo, watasema wamekufa abiria 7 na majeruhi 12 tu!!
Na hiyo ni ajali ya Bus tu ambalo hata hawajahusika nalo.
Sasa ndio ije kuwa haya mauaji ya halaiki ambayo wamehusika kwa asilimia 💯
Lazima tu wapunguze numbers kupunguza chaos!!
Indonesia

@Tweener003 Wametoa filamu nyingi sana labda umewajua juzi, kuliko kutoa filamu na kuishia kuwanufaisha wauza Movie Bora atoe clip hivyohvyo apate maokoto ya Meta& YouTube na Matangazo.
kaangalie Movie:
>Agent Bavo
>Nyampara Bondia
>Bodyguard
>Vipofu wawili
Indonesia

@fintanjr_ Izo porojo tu ulipewa na Saidoa Fundi , Soko la ubungo walisema hivyohvyo saivi Frame kama zote zipo wazi sasa Masaki na Ubungo wapi panafikika kiurahisi?
Indonesia

Jana Latto alipost kuhusu hii project, ambayo ni moja ya Big fish investments, ipo pembeni ya bahari pale masaki,. Siku moja nilienda kiofisi(Winga), nlipata wasaha wa kuzungumza na moja ya project manager, akasema ujenzi ndio upo 50% lakini tayari kila mahali pameshachukuliwa na advance payment imeshafanyika.
Inamilikiwa na moja ya mmiliki wa moja petrol stations kubwa nchini.
hapa kutakuwa na malls, hotels, shops and offices... wenye hela ndio wanapata hela🙌.

Filipino

@MarekaMalili Kikwete ndo alikomaa na barabara 2010 tu hapo ilikua kipengele, Dar-Mwanza ilikua vipande kama vyote Singida-sekenke hakuna Mkeka ni majaruba tu na enzi izo hakuna speed limit basi Mabasi yamekula sana roho za watu enzi izo kuliko hta VVU, Ally's ilikua ibakula mzinga kila uchwao
Indonesia

MaCCM yana upuuzi mwingi, ila Barabara yamejitahidi, kama ni mtu wa safari utakubaliana nami
Swahili Times@swahilitimes
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema mtandao wa barabara za lami Tanzania ni kilomita 16,170, hivyo takwimu za kuidogosha Tanzania si sahihi.
Indonesia

@ayubu_madenge Huyu kazaliwa Mara ni mkuria amesoma na Bwege secondary
Filipino














