Abuu Muslim

1.5K posts

Abuu Muslim banner
Abuu Muslim

Abuu Muslim

@AbuuMuslim5

Islamic knowledge, Martial arts skills and Love

Florida, USA Katılım Haziran 2020
290 Takip Edilen149 Takipçiler
Zwangendaba.
Zwangendaba.@Pius_thoma·
@zoetjesheeftX Iyo inaitwa Werner syndrome mtu anakuwa na premature aging na sio kwa sababu ya vipodozi 😅😅 Ngoja niwape shule sasa Yani hiyo kuna kuwa na mutation kwenye WRN gene Ambayo hiyo WRN gene Masada kwenye DNA repair, replication na chromosome Maintenance ( shortly AR disorder)
Filipino
2
0
0
664
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Daktari aliye mfanyia vipimo huyu binti Kwa mara ya kwanza amethibitisha kuwa, Sababu inayo semwa kuwa huyu binti kazeeka ghafla baada ya kufanya mapenzi na raia Wa Kigeni siyo kweli, Dakika anasema, kwanza huyu binti hajazeeka ghafla ni hali iliyo anza taratibu, na walicho kuja kubaini ni kuwa binti Kuna vipodozi alitumia kwenye ngozi yake ndo vilivyo leta pingamizi kwenye seli zake za mwili wake hivyo ikapelekea kupata mabadiliko haya ya kimwili. Dakitari ameongezea Kwa kusema, huyu binti mabadiliko yalianza kutokea kwake mwaka 2020 ndo walifika hospitalini hapo akiwa na mama yake mzazi, na kipindi hicho alikuwa hajazeeka sana kama ilivyo Sasa Bali yalikuwa ni mabadiliko tu madogo.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
13
7
109
24.3K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
@WideEdson Sasa Angeitwa Nani? Hata World Cup Ya 2010 Ambayo Spain Waliibuka Washindi Asilimia 90 Kikosi Cha Spain Kilikua Na Wachezaji Wa BARCELONA
Indonesia
2
0
10
734
MJUKUU (Fan)
MJUKUU (Fan)@WideEdson·
Kikosi chote cha Spaini hamna mchezaji ata mmoja kutokea Real Madrid kweli!!? 🤔😡😡
Suomi
25
23
176
8.4K
Eng.Benjamin
Eng.Benjamin@nyalut23·
Mambo vip maboss. Nani anataka ramani ya 2 Bedroom. Chukua hii hapa toka NDILOLE DESIGN 📲0746122023
Eng.Benjamin tweet media
Filipino
4
17
75
4.4K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Daah! Wa Depo umeju kuniliza😭😭 Romeo India Papaa
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
34
15
388
56.5K
Truth WatchDog🇹🇿
Truth WatchDog🇹🇿@TruthWatchDogTZ·
Tunaisubiri hii Connection kwa Hamu, maana wazungu sio shida zao kuachia mambo hadharani
Truth WatchDog🇹🇿 tweet media
Indonesia
10
20
139
24.3K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Arnold Schwarzenegger alikataa kupokea mshahara wake wakati wote alipokuwa Gavana wa Jimbo la California kuanzia mwaka 2003–2011. Schwarzenegger alieleza kuwa hakuhitaji mshahara huo kwa sababu alikuwa na utajiri mkubwa kutokana na kazi yake ya uigizaji. Aliutaja mshahara wa gavana, uliokuwa kati ya $187,000 na $206,500 kwa mwaka, kama (fedha ndogo) ikilinganishwa na mapato yake kwenye filamu. Badala yake aliuzawadia mshahara huo kwa mashirika mbalimbali ya misaada.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
1
2
63
7.9K
Mr power plug 💪🏻
Mr power plug 💪🏻@Rusco93·
@Sativa255 Pengine wewe unaona watu wanaongelea njaa, ila ni zaid ya njaa !! Kuna siku yeye na boss wake wanaweza kutumika kukufikia wewe au watu wa aina yako either kwa kujua au kutokujua kama wanatumika. It's just a reminder Wala sio kwamba njaa ndio inayoongelewa hapa .
Indonesia
2
1
6
492
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kuna jamaa kasema “Njaana misimamo havikai pamoja” akimaanisha TAIVINA ana njaa. Ni kweli Mwanangu ana njaa ila njaa yake ni Njaa ya kuipambania KAMARI kuwa hapa ilipo sasa inaongelewa nchi nzima. Ila NJAA ya kwamba hana Hela hilo nakataa, kesi ya MILIONI 100 mwanangu humfungi.
Indonesia
62
74
916
23.9K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Culture zinatofautiana sana hasa kwenye vyakula. Kuna watu huku wakiona napika zege (kyepe yai) wananishangaa sana. Yani kwao hai-make sense kuona nachanganya viazi na mayai kwa pamoja!! How!!!!? Tena anakwambia kabisa mimi yangu niwekee separate, yai kaanga kivyake na viazi kivyake usimix😁 Na hata ukiwapa zege linawashinda kabisa kula…..Nawashangaa sana! Kuna wazungu maharage ukiyaunga na nazi tu….hawali yanawashinda! Weird sana. Sasa siku nikiwapikia Makande hawa, si wanaweza kuni Deport kabisa
Indonesia
67
74
1.1K
51.6K
Shruti Codes
Shruti Codes@Shruti_0810·
You can make $3,400 per week, If you have: 1. Internet 2. Mobile 3. 1 hour everyday I have prepared a guide for this. It's absolutely FREE: Like & reply “Guide” and I’ll DM you the document. (Must follow me to receive it)
Shruti Codes tweet media
English
3.4K
237
2.5K
273.5K
Andrew Bolis
Andrew Bolis@AndrewBolis·
ChatGPT + laptop + internet connection + 60 minutes a day = $359 per day. Usually, I'd charge $87 for this killer guide, but today I'm giving it away 100% FREE. Like + comment 'AI' and I'll send you my in-depth guide for FREE. Must follow me to get DM. FREE for 48 hours.
Andrew Bolis tweet media
English
7.1K
520
7K
1.1M
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ukiona hii nani anakujia kichwani wa kwanza..?
kasesco☆ tweet media
Indonesia
126
36
278
12.6K
Abuu Muslim
Abuu Muslim@AbuuMuslim5·
@fumbokhanJr Iran kuna wasaliti wengi,Mmarekani anamwaga pesa za kutosha kwa mashushu
Filipino
2
0
2
744
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
I’m speechless Kwanini Israel wana wamaliza viongozi wa Iran kirahisi sana, IRAN wanakwama wapi kufanya hivyo kwa Israel.
Indonesia
44
8
141
11.8K
Abuu Muslim
Abuu Muslim@AbuuMuslim5·
@Enemy_19 Watu mnajikaririsha eti usikimbilie kujenga,kila mtu aishi kwa imani yake
Indonesia
0
0
2
289
Maverick
Maverick@Enemy_19·
Ukiwa na 50M usikimbilie kujenga wala kunua gari, Funguna biashara hakikisha imesimama haina kona kona, Baada ya mwaka kachukue mkopo bank wa 100M 30M ongeza ukubwa wa biashara, 50M vuta gari yako ya kawaida. Achana na kujenga kwanza. Baada ya miaka miwili mbeleni .... 👇👇
Indonesia
45
40
473
45.1K
👽𝕄𝔹𝕎𝔸 𝕄ℤ𝔼𝔼
Group la kwanza la kuinua wapwa limejaa, naunda jingine. Comment “add” nikuunge, hakikisha umenifollow nikuone✊🏾👋🙏🏾
👽𝕄𝔹𝕎𝔸 𝕄ℤ𝔼𝔼 tweet media
Filipino
253
44
382
12.7K
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Kwa mujibu wa taarifa za vyombo vya habari kuhusu tukio la Kuawa wanajeshi wa Marekani nchini Iraq. Wanajeshi wa Marekani waliokufa walikuwa ndani ya ndege ya kijeshi ya kujaza mafuta angani aina ya KC‑135 Stratotanker iliyo Pigwa Kombora wakati wa operesheni ya kijeshi. Hadi sasa majina yaliyothibitishwa hadharani ni haya yafuatayo👇 1👉 Tyler Simmons Cheo👉 Technical Sergeant (TSgt) Kitengo👉 121st Air Refueling Wing (Air National Guard) Kazi👉 Boom Operator Yani mtaalamu wa kujaza mafuta angani. 2👉 Alex Klinner Cheo👉 Major (Meja) Jeshi👉 U.S. Air Force Alikuwa mmoja wa wafanyakazi wa ndege hiyo. Kumbuka kuwa Jumla ya wanajeshi 6 wa Marekani waliuawa katika shambulizi hilo. Pentagon bado haijatoa majina ya wanajeshi wengine 4 wakati taarifa hizi zilipotoka kwa sababu taratibu za kuwajulisha familia zao kwanza zilikuwa zinaendelea. Ifahamike kua Wanajeshi wote hao hakuna mwili hata mmoja uliopatikana wote waliishia angani Kwa hiyo familia zao zitapelekewa Nguo zao au bendera ya Nchi yao kama ishara ya uzalendo wa kupambania Taifa. Mpaka sasa Takribani wanajeshi 13 wa ngazi za juu wa Marekani wamepoteza maisha yao katika Mzozo unao endelea kati ya Marekani na Iran, Tambua kua Hao ndio walio tangazwa hadharani na Pentagon. Upande wa pili ule wa Taifa la Mungu 😁 wao wanajeshi wao ni vyuma hawafi, kwa ufupi hajafa hata mmoja katika Mzozo huu sasa Basi usistaajabu ndivyo walivyo wale. Ukifuzu vita huko Ghuba basi unarejea Nyumbani ukiwa komando, kule unaambiwa Iran haicheki na kima.
Indonesia
1
1
30
2.8K
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Wa kwanza kuweka Handle hapa chini nitamtag na kumuinua kwenye space ya wanaija .🍿🍿🇹🇿
Filipino
38
13
59
1.2K
Levant Wire
Levant Wire@LevantWire·
Is your account under 10k say Hi we follow you..👍
English
1.3K
256
2.3K
71.1K