Mr power plug 💪🏻
16.9K posts


@e50232511 @Dr_Thadeus_19 Alikuwa na mapungufu yake !! Compared na Hawa wengine naona yeye at least
Filipino

@Rusco93 @Dr_Thadeus_19 Magufuli huyo huyo alie fanya wapinzani kukumbia nchi kama sio wazaliwa wa hapa?
Magufuli huyo huyo aliejaza bunge kuwa 100% CCM ?
Magufuli huyo huyo alie vunja Katiba ya nchi bila kupepesa macho ?
Indonesia
Mr power plug 💪🏻 retweetledi
Mr power plug 💪🏻 retweetledi

Mwenye taarifa ya @WemaKako Beberu atujuze Yuko salama kwel tangu July mwaka jana haonekan huku

Indonesia

@trinnie_love Kwa hali ilivyo sasa hata ukamataji wangeachana nao mpaka pale itakapo kuwa lazima sana au kwa mtu anaekamatwa kwenye scene moja kwa moja, ila watumie njia ya wito tu. Mtuhumiwa apigiwe simu aende kituo flan. Otherwise Kuna siku kama taifa tutagawana fito
Filipino

Mwili wa mtu mmoja aliyekufa umekutwa kwenye daraja salender mchana huu.
Tayari Kikosi cha Jeshi la Uokoaji Zimamoto limeshafika eneo la tukio.
#KitengeUpdates
Indonesia
































