Aididi
5.4K posts

Aididi retweetledi

@iamthatfemale Mimi nipe milioni 1 tu itanitosha kuanza kununua mazao
Indonesia
Aididi retweetledi

Black and white thread Drop it.
NB: Naipiga na sawabu napata 😂

RaHeeM@Cowwbama
Black and white thread Drop it
Zanzibar West, Tanzania 🇹🇿 Filipino

@JimmyMtanzania @nonstopfrale Oya nilikutananae masjid pale mum mguuni ana yebo yebo
Filipino

@nonstopfrale Sio mambo yake, sio mtu wa anasa anasa. Akiwa UD alikuwa anakuja na Range tena ni miaka hiyo ya kitambo kabla hajawa CAG.
Ameshika dini sana, akiwa CAG anakuja masjid magomeni pale hana makuu wala huwezi mjua.
Indonesia

Sema kuna namna hapa vitu haviko sawa, either alikua anatoa sana misaada au gari sio mambo yake ukute yeye ame invest kwenye majumba, maana mshahara wa prof miaka yote hiyo na mshahara wa CAG miaka yote hawezi kukosa hela za kua na li V8 flani kali bila hata ya ufisadi
M A G I R I@Kiganyi_
Nimekutana na CAG Prof Assad na ile gari yake maarufu, Toyota IST nyekundu, mzee mnyenyekevu sana aisee. Na ina namba nyeupe, sijui anaitumia kuingiza hela au? Tukiwa na watumishi wa umma kama prof Assad nchi itafika mbali sana.
Indonesia




















