All is Well

1.1K posts

All is Well

All is Well

@Alliswell2080

Katılım Mart 2025
272 Takip Edilen27 Takipçiler
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Chadema hawatakiwi kuwa na amani nchi hii katika maisha yao yote,wamesabanisha watz 518 wameuawa kwa jaribio la la Mapinduzi la kijinga kabisa, Damu hii itawalilia siku zote na mimi nitazitetea damu hizi kwakuhakisha chadema hawana amani popote walipo
Indonesia
225
9
74
20.1K
Kenan
Kenan@KenanJMligo·
Nadhan Chakula Pekee kilichobaki organic bila kuchakachuliwa ni Maziwa ya kukamuliwa tu.
Indonesia
37
5
250
17.6K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Iran ni wapuuzi sana sasa UAE unapiga wa nini sasa ngoja waoneshwe kazi hatutaki lawama
हिन्दी
31
6
162
14.5K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Jeshi la Polisi limesema limewakamata watu watatu wanaodaiwa kutumia mitandao ya kijamii kuwatusi wengine wakiwemo wajumbe wa Tume ya Uchunguzi wa Ghasia za Oktoba 2025. Polisi wamesema watuhumiwa hao wamekamatwa mikoa ya Arusha, Iringa na Mbeya, huku msako wa kuwakamata wengine ukiendelea.
Swahili Times tweet media
Indonesia
56
12
331
38.6K
All is Well retweetledi
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Tumshike mkono Dj Choka 🙏🏼
WHYMYCATISSAD tweet media
Filipino
53
126
680
60.8K
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Ukiona hii picha ya Mheshimiwa Sugu nini kinakujia kichwani 🤣🤣🤣
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
63
28
185
8.5K
All is Well retweetledi
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Tukubali "ghasia" zilipangwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa. Tukubali watu 518 tu ndio waliouwawa, 758 wamepotea na 448 hawajulikani walipo ( 518+758+448=1,724! Namba 8 imependwa sana na Tume). Jumla watu 1,724 HAWAPO kama matokeo ya hicho kilichopngwa, kuratibiwa, kufadhiliwa na kutekelezwa; - Mkuu Usalama wa Taifa (DGIS) bado yupo ofisini - Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) bado yupo ofisini - Wakuu wa Mikoa na Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa yote husika wapo ofisini - Wakuu wa Wilaya na Kamati za Ulinzi na Usalama za Wilaya zote husika wapo ofisini Hakuna kuwajibika wala kuwajibishwa, halafu Umma ukubali kuwa hii haikuwa kazi ya dola yenyewe kujiandaa kuua watu wake?
Filipino
101
291
1.5K
68.5K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema suala la upoteaji wa Watu linaendelea kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za Kijamii zinazolikumba Taifa pamoja na Dunia kwa ujumla akisisitiza kuwa uzito wa tatizo hilo ndiyo sababu limepewa kipaumbele maalum katika uchunguzi wa Tume hiyo. Jaji Chande ameeleza kuwa takwimu za Kimataifa zinaonesha ukubwa wa tatizo hilo ambapo mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani umebainisha kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024 zaidi ya Watu 284,000 wameripotiwa kupotea Duniani kote hali inayodhihirisha kuwa suala hilo si la Nchi moja pekee bali ni la Kimataifa Aidha, ameongeza kuwa hata katika Nchi zilizoendelea Barani Ulaya pamoja na Marekani bado matukio ya Watu kupotea yanaendelea kuripotiwa akitaja mifano ya Nchi kama Ubelgiji na Uholanzi, huku akibainisha kuwa sababu za upoteaji hutofautiana kulingana na mazingira ya kila Nchi jambo linalohitaji uchambuzi wa kina kabla ya kufikia hitimisho. Akizungumza Aprili 28, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC), Jaji Chande amesema "suala la upoteaji linatukera sana, ndiyo maana tumeweka kama moja ya vyanzo vya masuala ya Kijamii, pia ni changamoto Duniani kote, Mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani unasema kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024, zaidi ya watu 284,000 waliripotiwa kupotea Duniani, hata Ulaya, Watu wanapotea, Ubelgiji, Marekani, Uholanzi na Nchi nyingin, sababu zinatofautiana, hivyo kila Nchi ina vyanzo vyake, kuna viashiria takribani 74 vya aina ya Watu wanaopotea Duniani, hivyo ukitaka kuelewa kwa undani lazima ubainishe chanzo cha kila tukio.” Jaji Chande. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
184
5
211
48.1K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Bohari Kuu ya Dawa Tanzania (MSD) imesema ipo mbioni kuleta dawa ya kusaidia kuacha pombe, ili kusaidia wenye changamoto ya uraibu wa pombe. Meneja wa MSD Kanda ya Dodoma, Mwanashehe Jumaa amesema dawa hizo zitatibu uraibu wa pombe na si sigara.
Swahili Times tweet media
Indonesia
8
3
86
15.6K
All is Well retweetledi
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Ule utaratibu wa kutowaachia wazee Siti kwenye Dalaldala tunaendelea Tulipoishia wakuu,Itoshe kuseme hili Taifa Wazee hawastaili heshima kutoka kwetu ..🤝
Indonesia
44
167
1.1K
19.2K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Mapendekezo ya tume ya Jaji Chande inasema; -Tupate Katiba Mpya, -Utekaji ukomeshwe, -Kuwe na watumishi wa tume ya Uchaguzi mpaka ngazi ya chini, -Ajira na maisha bora kwa vijana, -Utitiri wa kodi kwa wafanyabiashara uondolewe, Halafu unawasikia Chadema wanasema hawatambui Tume na ripoti hawaitaki wakati ndio hoja zao miaka yote...! Madai yote ya msingi ambayo ndio agenda ya upinzani kwa miaka yote yamejibiwa na tume na kupewa kipaumbele kama chanzo cha matatizo na mapendekezo makuu. Nafikiri Watanzania sasa mtawaelewa hawa Chadema wanalitakia nini taifa letu.
Indonesia
175
10
76
20.8K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Jaji Chande ameliheshimisha Taifa, wale waliofikiri tunahitaji usaidizi toka nje wajue kwamba tunaweza maliza changamoto zetu wenyewe!! Kikubwa tuendelee kuungana kama Taifa, huu si wakati wa kunyosheana mikono, ni wakati wa kuungana na kuliponya Taifa letu,!
Indonesia
92
11
91
14K
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
UTAONDOKA NANANI HAPA !! Ukiambiwa leo uchaguzi ni wa haki na huru upige kura A = Samia Suluhu B = Tundu Lissu C = Dorothy Semu Jibu na herufi au jina na piga kura ktk poll 👇🏾 hapo next tweet
NKENJA_7 tweet media
Indonesia
236
15
201
17.7K
Ibwe Salim Thekiete
Ibwe Salim Thekiete@SalimuIbwe·
Kwanini Stendi za Mabasi tunalipia huduma za Vyoo? 1. Ukienda Airport na Stesheni za SGR huduma za Vyoo ni Bure. 2. Ukienda Bar na Hotelini huduma za Vyoo ni Bure. Sisi ni wateja wao, hawapaswi kutuzuia huduma mbili kwa wakati mmoja.. Huduma ya choo ni sehemu ya sio biashara
Indonesia
53
60
630
34.1K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Wapenda amani na kuitakia mema nchi wanaongea na kutoa ushauri Kwa serikali! Jana niliuliza, Walikuwa wapi chadema kukemea wakati vijana wanachoma miundombinu ya mafuta? Nikasema ushauri tunachukua lakini sio nyie wa kuja front kujifanya mnajali. Nikasema watuachie wapenda amani ambao tumepambana wakati nchi inataka kuchomwa na vijana. Heko, Kenani Chapa ilale na Mwenyekiti oyeeee.
Johari Mshana tweet media
Indonesia
5
11
18
2.8K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Kama mafuta ni muhimu kiasi hiki leo, ulikuwa wapi kukemea uharibifu wa miundombinu ya mafuta wakati wa machafuko ya tarehe 29 Oktoba?
Johari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet media
Filipino
26
17
36
6K