mz_h²
3.4K posts


@brain_midbrain @iHaiasm @DEJEKHUZAH @BillyTronix1 Fungeni kwa kuuwona Mwezi au Fungeni kwa kumalisha masiku na Fungueni kwa kuona mwezi au Fungueni kwa kumalisha masiku ndo kwa Tanzania Hatujauwona sasa Tunakamilisha Masiku
Indonesia

Ni mihemuko ya watu ila mara nyingi Bakwata ndio wapo right kwenye haya mambo ya kufunga na kufungua.
Sean 🦩@iboysean
BAKWATA safari hii wanatema bungo kesho tunakula siku kuu
Indonesia

@iHaiasm @DEJEKHUZAH @BillyTronix1 Enh nakuuliza we si umesema hadithi inasema ni kufunga na kufungua kwa kukuona mwezi.
Indonesia

@iHaiasm @DEJEKHUZAH @BillyTronix1 Ukimwambia akafungua
anakua amefungua kwa Kukuona ama kuonekana??
Indonesia

@brain_midbrain @DEJEKHUZAH @BillyTronix1 Kuonekana kwa Mwezi Mwandamo "Ndio Kuona"
Mfano; Mimi nimeuona Mwezi na Yeye ni Kipofu haoni Kitu chochote "Nitamwambia kuwa Mwezi umeandama"
Je! Nikimwambia halafu akakataa
HT

@iHaiasm @DEJEKHUZAH @BillyTronix1 Si ndo hapo kakuuliza kwahio kipofu yeye afanyaje ikiwa ni kufunga na kufungua kwa kukuuona??
Indonesia

@DEJEKHUZAH @BillyTronix1 Eh! sasa mimi hapo nilichokosea nini?
Niliposema "Kuona"
Filipino

@iHaiasm @BillyTronix1 Kwahio kipofu hapaswi atakua anatimiza 30 kila mara😀
Filipino

@BillyTronix1 Wanafuata "Hadithi Sahihi" ya Mtume Muhammad "Funga Swaum kwa Kuona Mwezi Muandamo na kama haujauona Fika hadi 30 Shaaban' na Fuguo Swaum kwa Kuona Mwezi "Either 29 kama hujaona Fika hadi 30 Ramadan"
—Ukweli ni kwamba, kinachofanyika hufanya kitu Sahihi kabisa"
Indonesia

@dancho_2004 @ThomzJoseph Sasa ilikuaje ubingwa ukaamuliwa na mechi ya mwisho.?
Filipino

@brain_midbrain @ThomzJoseph Msimu uliopita was easy coz team yenu ilikuwa bora sana wapinzani wa karibu ilikuwa na asilimia 90 kuwapiga nje ndani but now? Unaliona hilo
Filipino

Hii kuwa vizur kwa YANGA Priva nakukatalia hasa msimu huu Lkn nakuelewa kulingana position uliyopo hapo. Tunaoshindana nao pia wameshindwa kuongeza viwango vyao
Nilikubali hii toka tulivyotolewa kwenye CAF ukikubaliana na hili huwezi kuumia ukiwa unaangalia mechi zetu msimu huu.
Privaldinho@privaldinho
Tupo vizuri kaka. Ni suala la muda tu. Kwa bahati mbaya sana tunaoshindana nao hawapo uwanjani. Tunacheza mechi mbili kwa wakati mmoja. Tunakwamishwa kaka. Tutatafuta njia mbadala muhimu wasilalame
Indonesia

@dancho_2004 @ThomzJoseph Hata last season ilikua ivo ivo sielew kwann watu mnasema msimu huu tu as if msimu ulopita yanga ilichukua kirahisi
Indonesia

@ThomzJoseph Haipo ila huu msimu kubeba ubingwa not easy kwenye kutatetea mataji yote nayo ndio ngumu zaidi
Filipino

Dodoma wapi kuna urojo!? Hii mimba itatoka sasa😂 @AmourGingi okoa jahazi!
Indonesia

@brain_midbrain @thisistemidayo We jamaa utakua shoga, "waja" ni maneno ya wanawake
Indonesia

@choya_h @thisistemidayo Sikua najua mkuu mwenye upendo mkubwa wa jesus.
Filipino

@_iamgodie @ThomzJoseph Pacome kacheza sana tu ule upande muulize Zimbwe.
Filipino

@brain_midbrain @ThomzJoseph Nitajie natural winger ambaye yupo Yanga anayecheza ule upande wa Kibabage?? Nitajie tu
Filipino

Depu alianza kutuliza mpira kwa mkono na kufunga mwenyewe bila mtu mwingine kuugusa mpira. Handball.
Wachezaji wawili akiwemo mmoja wa Yanga waliucheza baada ya Selemani Mwalimu kuugusa kwa mkono. Yanga walipata umiliki wa mpira na kuupoteza kisha Mwalimu akafunga. No Handball.
CLARA🖤@ClaraFundi
@MichaelMwebe 😹🤣 kwa picha za marudio alishika kama selemani mwalimu
Indonesia


@brain_midbrain @moshijnr Kifupi ukiwa na fursa ya kufanya clearance IFAB wana conclude una control of the ball.

English





