Anonymous
2K posts

Anonymous
@Anonymus_tz
God fearing, Man U fan, Enterpreneur, Formula 1 - Redbull fan
Dar es Salaam Katılım Mayıs 2020
260 Takip Edilen73 Takipçiler

@avohcuddle A wiseman once told me "mpumbavu" na "mwerevu" wote hawawezi jificha, ila the former (akawa anasikitika huku anatingisha kichwa), kupitia huyu mwamba nimeelewa.
Indonesia

@avohcuddle How do you beleieve is this, and when its come to God inakuwa debate 😀
English

@MarekaMalili Hivi hospitali kubwa Tz inaweza beba wagonjwa wangapi at Max Capacity?
Indonesia


@MarekaMalili Son of the soil alifnya kazi yake kubwa sana ila pia tusisahau jitihada za Daughter of the soil kafnya kazi kubwa sna kuhakikisha ndoto za Son of the soil zinatimia ata kma haypo mana alikua na uwezo wa kusema huu mrad sio kipaumbele kwasasa na ukaachwa
Indonesia

Hapo Mwishoni hawatapenda, Ila Son of the soil aliupiga mwingi sana hapa.
Uncle Fafi@Tanganyikan
Hii ni kubwa sana. Nakumbuka shule ikifungwa boarding tulikuwa tunatoka kumi usiku kwenda stand kupanda bus linalowahi foleni Busisi kivuko kinachoanza safari 6am. Rafiki yangu alimpoteza baba yake wakati wanasubiria kivuko kumuwahisha Bugando. Asante John Pombe Joseph Magufuli🙏
Filipino

@Nevada_255 @counselordvd @Neyzer_255 @AsajileF Kaka mimi namkataa shetani na kazi zake zote, na matendo yake yote, na mambo yake yote, nimemkubali Yesu Kristo, kuwa bwana na Mwokozi wa maisha yangu, sasa hivi nasubiri tu kurudi kwake Bwana, tukamlaki mawinguni.
Indonesia

@GuzmnChapo1 Hii inatuambia zaidi kuhusu umri wako kuliko uwezo wa Benzema
Ila tunaheshimu mawazo yako🤝
Indonesia

@Anonymus_tz Apples and oranges. Unafananisha vitu tofauti. Kusema vibaya serikali sio jambo ambalo unadeal na watu wanaoendeshwa na hisia au wenye ushundani na wewe
Indonesia

Sisupport hili hata kidogo ila jamani, tutumie busara. Kwenda kuuza kitimoto msikitini ni kutafuta watu maneno
Myunani@MaxTz255_
Huu sio Ushabiki , huu ni upuuuzi wapumbavu wakubwa🫵
Filipino







