
@EduTalkTz Mbunge mil 500 anafikaje? Hata kma analipwa 20 M kwa mwez basi hyo pesa haifik kwa mwaka
Indonesia
Mbaruk Hamad
9.4K posts

@muniydrik
BMT with COC class iii ( officer in charge of navigation watch)


Tanzania ina shule za msingi 20,889 zenye wanafunzi 11,428,424. Kati ya hizo, 18,158, sawa na 93.7% zinamilikiwa na serikali na kuhudumia wanafunzi 10,709,153. 23% ya hizi shule za umma, mwalimu mmoja anahudumia wanafunzi zaidi ya 100. 49.9% ya hizi shule, mwalimu mmoja anahudumia zaidi ya wanafunzi 50. Hizi hapa ni baadhi ya shule tu. Swali kidogo, KUNA MTOTO WA KIONGOZI YEYOTE ANAYESOMA KWENYE HIZI SHULE??🤔🤔 #MamaMwenyeUpendo

























