The apptech retweetledi
The apptech
22 posts


@realDonaldTrump
Dear Mr. President,
My name is Mange Kimambi, and I am a Tanzanian pro-democracy activist who has been living in the United States since 2012. I am writing to bring to your attention what I believe to be a grave injustice committed against the people of Tanzania and myself by Meta, and to respectfully request your support in defending democratic activism and freedom of expression online.
Recently, my Meta accounts — including Instagram (@mangekimambi80), Instagram News media page owned by me (@wananchiforum), and my WhatsApp number (+1 424-537-3057) — were deactivated after I raised awareness about a series of severe abuses and horrific events occurring in Tanzania. These include, the kidnappings of regular citizens and kidnappings, killings and imprisonment of opposition leaders on fabricated treason charges, the barring of opposition parties from participating in the general election, widespread corruption, misuse of public funds, and the large-scale looting and exploitation of Tanzania’s natural resources by foreign governments such as the UAE, China, Oman, and most recently Russia, which is currently seeking access to Tanzania’s significant uranium deposits. Despite the country’s natural wealth, millions of Tanzanians continue to live in extreme poverty and lack even basic necessities — including clean drinking water — due to systemic corruption.
For months, I used my platforms to highlight these issues and consistently encouraged PEACEFUL protests, as many Tanzanians feel there is no safe alternative for expressing dissent. The government has been widely accused of kidnapping, torturing, or killing individuals who speak out against injustice, which makes digital communication one of the only remaining tools for civic engagement. Every post I made emphasized peaceful, non violent protests.
On October 29 2025— the day of the general election — protests led largely by Gen Z erupted across the country. These demonstrations were met with extreme state violence. Thousands of young Tanzanians were killed and many more injured as security forces responded with lethal force. The African Union, SADC, and the EU Parliament have all publicly condemned the compromised electoral process and the deadly violence that followed. Most Tanzanians view the President, Samia Suluhu Hassan — who claimed 97% of the vote — as an illegitimate president who chose to kill thousands of Tanzanian youth instead of stepping down from power. Numerous photos and videos documenting these horrific events and deaths remain visible on my X account (@mangekimambi).
My social-media platforms were essential tools for communicating with supporters, organizing peaceful civic action, and documenting human-rights abuses in real time. Their removal has severely hindered the ability of Tanzanians to access truthful information and to organize safely. Traditional media inside Tanzania has been effectively silenced; journalists who speak out risk being kidnapped, disappeared, or killed. This leaves social-media platforms run by diaspora activists like myself as one of the last remaining channels for Tanzanians to document and expose abuses.
I respectfully ask that you publicly urge Meta to reinstate my accounts without delay. I also request that you encourage Congress to consider legislation that grants activists and individuals with significant public platforms meaningful legal recourse when their accounts are removed without transparency, due process, or a clear path to appeal. Millions of people around the world — especially those advocating for democracy and human rights — depend on platforms such as Instagram, Facebook, X and TikTok to have their voices heard. In today’s world, where civic freedoms and personal safety often depend on digital communication, these companies must be held accountable.
On the same day my accounts were removed, another prominent Tanzanian activist, Maria Sarungi @MariaSTsehai saw her Instagram page
English

"Ninawasisitiza madereva kuendelea kuwa makini na kuzingatia sheria za usalama barabarani. Nimeliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kusimamia kikamilifu sheria za usalama barabarani, na pia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala ya Barabara Vijijini na Mijini (TARURA) kuendelea kuboresha hali ya barabara zetu, hasa maeneo yenye changamoto kubwa zaidi, kwa usalama wa watumiaji wote wa barabara." - Rais Samia Suluhu

Indonesia

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema Rais Samia Suluhu Hassan anakwenda kuufungua mkoa wa Arusha kwa ujenzi wa barabara ambazo zitasaidia kuimarisha shughuli za kiuchumi zikiwemo za kilimo na utalii katika Mkoa huo.
Makonda ameeleza hayo leo Juni 8, wakati akizungumza na Wananchi katika eneo la Usa River Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha, wakati Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla akihitimisha ziara yake mkoani humo akielekea Kilimanjaro.
Akizungumza Makonda Amesema changamoto iliyopo kwa kiasi kikubwa kwa Wananchi wa Arumeru ni Barabara na kuongeza kuwa Serikali katika kulitambua hilo imeweka mikakati kutatua changamoto hiyo na kuainisha Barabara zinazotarajiwa kujengwa Arumeru na Mkoa wa Arusha kwa ujumla.
Makonda amesema Mkoa wao ni wa uchumi wa utalii na kilimo cha mazao ambayo ni chachu katika sekta ya utalii.
Makonda amesema katika Barabara ya kutoka Tengeru hadi Usa River tayari Mkandarasi ameshapatikani kwa ajili ya ujenzi wa Barabara ya njia nne kwa takribani kilometa 11.3.
Pia amesema walikaa katika kikao cha bodi ya Barabara ya mkoa katika kutafuta utatuzi wa changamoto wa kimkakati na si kwa kupiga kelele alimuomba Waziri wa Ujenzi kufika akiwa na Katibu Mkuu wa Wizara, Waziri wa fedha, Mkurugenzi Mkuu wa Tanroad na mtubwa ukarabati.
“Matokeo ta mkutano huo ukazalisha kuanzia pale USA River tunakwenda kujenga njia nne urefu wa Kilometa 28 mpaka Uwanaj wa Ndege wa Kilimanjaro na hivi ninavyoongea mheshimiwa mwenezi atayari Rais ameshatuma timu na usanifu wa ujenzi umekamilia,” amesema Makonda.
Ameongeza kukamilika kwa barabara hiyo kutasaidia watu watatoka uwanja wa ndege wa KIA na kufika moja kwa moja Arusha, pia amesema kuna barabara ya kutoka Tengeru hadi Mirerani yenye urefu wa kilometa 28
Pia kutoka Mirerani hadi Kilimajaro imeingizwa kwenye mpango wa ilani ya CCM usanifu wake umekamilika na kuingizwa kwenye bajeti ya mwaka 2025/2026 na inakwenda kujengwa kwa kiwango cha lami.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) pamoja na viongozi wa Klabu ya Yanga wamekutana kujadili mustakabali wa mchezo dhidi ya Simba SC (Derby ya Kariakoo) iliyopangwa Juni 15, 2025.
Yanga SC ilitangaza kutocheza mchezo huo kwa kile inachodai kuwa bodi haikutoa uamuzi wa haki baada ya mchezo huo kutochezwa Machi 8 mwaka huu.

Indonesia

#TajiriLaKihaya
Saafi hii mtu Hakatai wito…
Anakataa aitiwalo…
HATUCHEZI DERBY ndio MSIMAMO WETU!
Indonesia

@millardayo NO REFORM NO ELECTION
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORM NO ELECTION
English

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo tarehe 19 Juni, 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Abdallah Ulega (MB) Waziri wa Ujenzi wakati akizungumza na waandishi wa habari katika hafla iliyofanyika katikati ya daraja hilo alipokua akielezea kazi zilizotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka minne ya uongozi wa serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amebainisha kuwa Serikali chini ya Wizara ya Ujenzi imefanikiwa sana kwenye ujenzi wa madaraja, barabara, vivuko na kurahisisha utoaji wa huduma kwa jamii pamoja na kukuza uchumi wa watanzania.
Ulega amesema pamoja na kukamilika kwa daraja hilo lililogharimu Bilioni 716, serikali ya awamu ya sita imejenga madaraja mengine mengi kama Tanzanite (KM 1) juu ya bahari, Wami (Mita 510), Kitengule (140 Mita), Msingi- Singida (Mita 100).
Amesema, daraja la Kigongo Busisi limejengwa na kampuni ya CCECC kwa kushirikiana na wataalamu wazawa ambao ni wabobevu kwenye kazi hizo na kwamba nchi za jirani wajiandae kwa neema ya barabara hiyo.
Aidha, amebainisha kuwa daraja hilo lina uwezo wa kupitisha magari zaidi ya elfu 20 kwa siku na kwa dakika 3 hadi 5 tu gari itakua imeshavuka kutoka upande mmoja na mwingine.
Vilevile, amefafanua kuwa kwa umahiri wa Rais Samia amefanisha kukamilisha daraja hilo ambalo wakati anaingia madarakani lilikua limejengwa kwa asilimia 25 tu lakini serikali yake imekamilisha asilimia 75 zilizobaki kwa kulipa zaidi ya Bilioni 500.
Vilevile Waziri Ulega amebainisha uwezo wa daraja hilo kuwa lina uwezo wa kubeba gari zenye uzito usiozidi tani 160 kwa wakati mmoja sawa na magari manne yenye tani zaidi ya 45 na amewataka wananchi kulinda rasilimali za daraja hilo na miundombinu mingine kwa manufaa ya watanzania wote.
Sambamba na madaraja amefafanua kuwa mtandao wa barabara umeongezeka kutoka Kilomita elfu 36 hadi 37. 4 kutokana na kupandishwa kwa hadhi ya barabara kutoka wilaya kwenda kuwa za mikoa huku akizitaja barabara za Mbambabay (KM 66), Kigoma-Kasulu (KM) 100.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

@ccm_tanzania NO REFORM NO ELECTION
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORM NO ELECTION
NO REFORM NO ELECTION
English

MAKALA: KAULI YA NO REFORMS HAZIZUII WALA KUHAIRISHA UCHAGUZI MKUU
MOSHI:Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadu Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla amesema uchaguzi utafanyika kwa mujubu wa katiba na sheria kama ilivyopangwa, hivyo hata wakichapisha na kutuma ‘No Reform No Election’ mara milioni haisaidii.
Pia amesema kinachoweza kusababisha uchaguzi kuahirishwa au kusogezwa mbele ni vita lakini Tanzania hakuna vita, hivyo maneno hayo yanayochapishwa kwenye mitandao hayasaidii uchaguzi upo palepale.
Makalla ameeleza hayo Juni 8,2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja Manyema Wilaya ya Moshi Mjini Mkoani Moshi akiendelea na ziara yake ya mikoa mitatu ya Kanda ya Kaskazini ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara.
Akizungumza kujibu sekeseke linaloendelea katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita Makalla amesema machapisho yanayochapishwa yakiandikwa ‘No reform no election’ hayana maana yoyote na haiwezi kuwa sababu ya kuahirishwa kwa uchaguzi.
Amesema sabbau kubwa inayopelekea uchaguzi kuahirishwa au kusogezwa mbele ni kuwa na vita lakini Tanzani ahakuna vita na ni nchi ya amani akiwasisitiza wananchi kuitunza amani hiyo iliyopo sasa, wakati na hata baada ya uchaguzi.
“Kwahiyo hata yale yanayoendela kwenye mitandao hata wakichapisha machapisho mamilioni na mamilioni ya ‘No Reform no election’ uchaguzi upo pale pale haisaidii we njoo tu weka pale chapisho haisaidii, hiyo ni nadharia kujifurahisha Uchaguzi upo palepale,”
Makalla amesema mabadiliko lukuki yamefanyika katika sheria ya uchaguzi kwa kupatikana kwa tume huru ya uchaguzi, lakini mabadiliko ya katiba nzima yanahusisha makundi mbalimbali.
Makalla amesema katiba kwa ujumla inahusisha makundi mbalimbali kwa sababu ni jambo kubwa kwani inahusu haki za kina mama, watoto, wafanyakazi na makundi mengine lakini wao wanajali mambo yatakayowaingia madarakani tu.




Indonesia

@MsigwaPeter NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
NO REFORMS NO ELECTION🇹🇿
English

@Roma_Mkatoliki Umelipa TZS2,000 kwenda 0759787828 EMMANUEL ELIBARICK MUNIS.Makato Tsh 45.00( Ada Tsh 45.00 + Tozo Tsh
0.00). Salio Tsh1,692.00.
Indonesia

#OnyeshaUpendo
#Mchangie_Nay_Wa_Mitego
Wakipatikana watanzania laki moja tu, hata kila mmoja akitoa buku (1,000/=)
Itapatikana Milioni 100!!
Wakipatikana watanzania elfu kumi tu, na kila mmoja akitoa Tsh. 5,000/= Itapatikana Milioni 50.
Toa kadri utakavyoguswa, kutoa ni moyo na sio utajiri!!
INAWEZEKANA, NA HII NI NGUVU YA UMA.
Tumtie moyo NAY kwa ujasiri wake wa kupaza sauti yake na kusimama na wananchi katika kipindi hiki ambacho taifa linapitia changamoto nyingi, na wasanii wengi wapo kimya, lakini yeye ameonyesha upendo mkubwa na uzalendo kwa kusimama na kuwasemea raia kupitia muziki wake.
Nakuwekea namba na akaunti za kuchangia hapa chini👇🏻
Voda +255 759 787 828
Tigo +255 712 572 970
Bank -140209007915
TCB Bank (Tanzania Commercial Bank)
Kote Jina linasoma Emanuel Elibariki Munis.

Indonesia

@Twaha_Mwaipaya @Eng_Matarra Nashauri tuanzishe mfuko maalumu at least Kila mtz ambaye Yuko willing kutoa 5k Kwa mwezi.Tukipata watu 10000×5000= 50,000,000 Itawezesha kuwa na lawyers wanaoweza kuzunguka Kila Kona kusaidia ndgu zetu wenye changamoto za kisheria. @Twaha_Mwaipaya @IAMartin_ @MariaSTsehai
Indonesia

Habari
Nimeona maoni mengi sana kuhusu ndugu yetu @Eng_Matarra binafsi nilitoa taarifa ya kufungwa kwake hapa, ila kesho kuna watu wataenda Gerezani kuzungumza nae na tutapata utaratibu wa kuhakikisha anakua huru, tuweni wavumilivu hakuna mtu tutamucha njiani. Ahsante.

Indonesia

@__abdulazack Je chama kingekuwa na ofisi ndiyo ungeshika Mimba..?
Filipino

Unaju hicho ni nini?
Mzigo umefika salama Lusaka- Zambia. Follow @MalemboGlobal , Kipepe achana na Mambo ya kutembeza CV mjini njoo @MalemboFarm tuanze kilimo na mifugo.



Filipino













