Apty
3.5K posts

Apty retweetledi
Apty retweetledi
Apty retweetledi

DUNIANI KUNA NCHI 39 AMBAZO HAZINA MTANDAO WA RELI WA RELI UNAOFANYA KAZI.
Nchi hizi Arobaini ni zile ambazo ziliwahi kuwa na reli lakini kwa sasa hazitumiki au Ziliharibiwa (Countries without active/Defunct railway network)
1. Antigua AND BARBUDA 🇦🇬
2. Bahamas 🇧🇸
3. Barbados 🇧🇧 - Nchi Hii mwaka 2019 walifungua reli yenye Kilomita Tatu ambayo ilikua kwa ajili ya eneo la utalii tu.
4. Belize 🇧🇿 - Nchi hii iliwahi kuwa na reli binafsi iliyomilikiwa na Mtu na ikaharibiwa.
5. Brunei 🇧🇳
6. Burundi 🇧🇮 - Iliwahi kuwa na Reli ambayo ilikuwa ikitumiwa na Bandari, Kwa sasa haitumiki tena.
7. Cape Verde 🇨🇻
8. Central African Republic 🇨🇫
9. Comoros 🇰🇲
10. Cyprus 🇨🇾 - Nchi Hii iliwahi kuwa na reli ambayo ilimilikiwa na Serikali, ilifunguliwa mwaka 1905 na Kufa mwaka 1951.
11. Dominica 🇩🇴
12. Equatorial Guinea 🇬🇶
13. Gambia 🇬🇲
14. Grenada 🇬🇩
15. Guinea-Bissau 🇬🇼
16. Guyana 🇬🇾 - Hii nchi pia iliwahi kuwa na mtandao wa Reli ambao ulikufa rasmi mwaka 2007.
17. Haiti 🇭🇹- Nchi Hii inareli nyingi ambazo zinatoka Viwandani na mashambani mpaka Bandarini lakini hazitumiki toka mwaka 1970.
18. Iceland 🇮🇸 - Nchi Hii iliwahi kuwa reli za Viwandani tu.
19. Jordan 🇯🇴 - Waliwahi kuwa na reli za Abiria tu.
20. Kiribati 🇰🇮
21. Lebanon 🇱🇧 - Waliwahi kuwa na reli ambayo ilifanya kwazi mwaka 1890 mpaka mwaka 1970, Na kwa sasa wamepanga kujenga reli kwenda mji wa Tripoli
22. Libya 🇱🇾 - Shirika la Reli la Libwa lilianza kujenga reli mwaka 1912 na kufikia mwaka 1965 walikua wamejenga tayari kilomita 399 na ujenzi ulisimama, Mwaka 2008 ujenzi uliendelea, Kisha kusimama tena mwaka 2011 na haujawahi kuendelea mpaka leo.
23. Malta 🇲🇹
24. Federated States of Micronesia 🇫🇲
25. Nicaragua 🇳🇮
26. Palau 🇵🇼
27. Papua New Guinea 🇵🇬
28. Rwanda 🇷🇼
29. Saint Lucia 🇱🇨
30. Samoa 🇼🇸
31. San Marino 🇸🇲
32. São Tomé and Príncipe 🇸🇹
33. Solomon Islands 🇸🇧
34. Somalia 🇸🇴 - Waliwahi kuwa na reli iliyoitwa Mogadishu–Villabruzzi Railway ilianza kufanya kazi mwaka 1914 na kisitishwa kazi mwaka 1941.
35. Suriname 🇸🇷
36. Tonga 🇹🇴
37. Trinidad and Tobago 🇹🇹 - Waliwahi kuwa na reli iliyomilikiwa na serikali kuanzia mwaka 1876 mpaka mwaka 1968, Waliwahi kupanga ujenzi wa reli iliyoitwa Trinidad Rapid Railway na mpango huo ukasitishwa.
38. Vanuatu 🇻🇺
39. Yemen 🇾🇪 - Waliwahi kiwa na reli iliyotola Mlima wa Aden na Al Hudaydah zote zilifungwa mwaka 1929.

Filipino

@eastafricatv Viongozi wa Iran wamejaliwa kubwabwaja tu lkn vitendo kwa ni sifuri !.
Indonesia

#HABARI Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, amesema kuwa juhudi zozote za kuilazimisha Iran kujisalimisha ni “ndoto ya mchana,” akisisitiza kuwa taifa hilo halitakubali shinikizo kutoka kwa mataifa ya kigeni.
Kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao wa kijamii wa X, kiongozi huyo alisema Iran imeendelea kushikamana na ahadi zake za kimataifa huku ikitumia njia zote za kidiplomasia kuzuia kuzuka kwa vita katika eneo la Mashariki ya Kati.
Pezeshkian alieleza kuwa suluhisho la kudumu linapaswa kujengwa katika misingi ya heshima na mazungumzo ya kweli badala ya vitisho vya kijeshi.
Katika ujumbe huo, Pezeshkian alisisitiza kuwa serikali ya Iran imekuwa ikifanya jitihada kubwa kuhakikisha hali ya usalama na utulivu inadumishwa, licha ya kuendelea kuwepo kwa mvutano kati yake na Marekani.
Aliongeza kuwa diplomasia ndiyo njia pekee inayoweza kuleta amani ya kudumu, huku akionya kuwa matumizi ya nguvu hayatasaidia kumaliza mgogoro uliopo. Kauli hiyo imepokelewa kama ujumbe wa wazi kwa mataifa yanayoendelea kuishinikiza Tehran kuhusu mpango wake wa nyuklia na masuala ya usalama wa kikanda.
Kauli ya Rais Pezeshkian imekuja wakati Rais wa Marekani, Donald Trump, akidokeza kuwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran yanaelekea katika hatua za mwisho.
Trump alionya kuwa Marekani inaweza kuongeza mashambulizi ikiwa Iran haitakubali kufikia makubaliano mapya. Kauli hizo kutoka kwa viongozi hao wawili zimeongeza taharuki ya kisiasa duniani.
#EastAfricaTV

Indonesia
Apty retweetledi
Apty retweetledi

[Baada Ya Muda Mfupi Ardhi Ndio Kaburi Lako]
Anasema Al-Hasan Al-Baswrī [Allah Amrehem]
يا ابنَ آدمَ! ضَع قَدَمَكَ على أَرْضِكَ ، واعلم أَنَّها بعدَ قليلٍ قَبرُكَ
Ewe! Mwana Wa Adamu; Weka Mguu Wako Juu Ya Ardhi Yako, Na Tambua Ardhi Hiyo Baada Ya Muda Mfupi Ndio Kaburi Lako
[صحيح]
[كتاب الزهد للإمام أحمد بن حنبل (٥٥)]
Català
Apty retweetledi
Apty retweetledi

@Mwinshehe07 @cleansheet_1 Kaka nipo kwenye pikipiki nimembeba mteja
HT
Apty retweetledi

Sahihi Bukhari:1549
Amepokea `Abdullah bin `Umar(Allah amridhie)
Talbiya ya Mtume ﷺ ilikuwa:
Labbaika Allāhumma labbaik, Labbaika lā sharīka laka labbaik, innal-ḥamda wan-ni‘mata laka wal-mulk, lā sharīka lak.
“Nimeitika mwito Wako, Ewe Mwenyezi Mungu, nimeitika. Nimeitika, huna mshirika, nimeitika. Hakika sifa zote, neema zote na ufalme ni Vyako. Huna mshirika.”
Català
Apty retweetledi
Apty retweetledi
Apty retweetledi
Apty retweetledi
Apty retweetledi

Sheikh Kassim Mafuta(Allah amuhifadhi)
“ ..Na pengine jambo ulilopewa wewe ni kubwa zaidi kuliko la mwenzako wewe hulijui tuu…lakini uhasidi umekukalia mbele ya macho yako kuona la mwenzako ni kubwa zaidi kumbe lako ni zuri zaidi na likubwa..”
youtu.be/VWt2FJ-Zfuw?si…

YouTube
Filipino
Apty retweetledi

Tanzania inapopoteza zaidi ya Sh182 bilioni kutokana na upotevu wa maji, tatizo sio uhaba wa maji pekee bali ni mifumo mibovu, miundombinu chakavu na wizi wa maji.
Kila tone linalopotea ni fedha ya umma inayeyuka.
Uwajibikaji na teknolojia haviwezi kusubiri tena.
#RaiaMakini
Indonesia












