yessaA rF
101 posts


@okwach545868 @Eng_Matarra Haya ndo yale watz wawekee kwenye maandishi tuu utawashika
हिन्दी

@wanjiiru_ML Acha utan mbona kuna mtu nimwona nacho kwenye gar anatoa nacho uchaf kwenye meno
Indonesia

@UlinyegaMwakat1 @Liberatus80 Kila wakijitahid wanaona mbona tunafuzuga zaid
Indonesia

@Liberatus80 Sura zao hazina furaha, dhamira zao zinawasuta sasa wafanyeje ndiyo hivyo mambo wameharibika.
Indonesia

If it needs explaining, it’s already failed.
#SamiaMustGo #TanzaniaMassacre #AbolishChandeCommission
#FutaTumeYaChande

English

Sisi tulipokea maiti zaidi ya 518. Ila hatuna uwezo wa kuita press conference.
Swahili Times@swahilitimes
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma amesema baada ya kuwasilisha Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Oktoba kwa Rais Samia Suluhu Hassan wamepokea simu za matusi zaidi ya 300.
Indonesia

Omg @LazaroNyalandu So, children had bombs and guns? Women too? Shame on you people you have killed people inside their houses, including children. You'll never get away with it. It's 2026, and all the videos show that no protesters had guns. Your people went door to door and killed innocent citizens.
Sky News@SkyNews
@BarbaraGSerra: "You may call it rescuing the day, but I go back to my question, was the government responsible for the shooting and killing of around 500 protesters?" Ambassador Lazaro Nyalandu, senior advisor to Tanzanian president Samia Suluhu Hassa, responds to claims security forces killed hundreds of people following Tanzania's widely disputed election in 2025. 🌍 trib.al/zff6Z7W
English

@HildaNewton21 @Sir_Shuma Nimeondoka na point ya kwamba Ety Dar wamefariki watu 182 only 🫵🫵🫵🫵
This is so sad
English

@Gweani24 @HildaNewton21 Mbona hamna kiti kingine apo which means akuna kit kwa ajil yake
Indonesia

@HildaNewton21 Hadithi ya baba, punda na mwanawe. Yawezekana kapenda mwenyewe kukaa chini na kula kwenye sufuria. Wapo wadada wanaojipa uhuru wao na wanaishi vizuri tu. Picha haiwezi kuleta kilichopo ktk familia hii.
Indonesia

@Emmanue23344815 @Mwinshehe07 @Adv_innocent We jamaa mjinga kwel yaan nimecheka kwa nguvu mpka watu wakanishangaa 🤣🤣🤣
Indonesia

@Mwinshehe07 @Adv_innocent Mtoto wakiume unakulaje mchana kwani unanyonyesha?😂
Indonesia

























