TECHNICIAN 🇹🇿

2.4K posts

TECHNICIAN 🇹🇿 banner
TECHNICIAN 🇹🇿

TECHNICIAN 🇹🇿

@Avitusherman

Pharmaceutical personel 💊||Entrepreneur 🤵🏾‍♂️ || @Chelsea || @simbascTanzania ||Graphic designer 🎨

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2020
2.5K Takip Edilen1K Takipçiler
Tirvo
Tirvo@tirvo_·
Salah and Sterling excluded, name a player that played for both Liverpool and Chelsea 97% will fail Level: Very Hard 🥷
Tirvo tweet media
English
2.8K
152
1.6K
223.4K
THE CHELSEA FORUM
THE CHELSEA FORUM@TheChelseaForum·
Jude Bellingham after scoring England 3rd goal against Argentina tomorrow. 😃 Be there. 🤝
THE CHELSEA FORUM tweet media
English
16
13
123
3.9K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Kwa hiki kikosi France ikizubaa itapigwa nyingi…. Sijaona MIDO ya kumzuia SPAIN ASICHEZE MPIRA WAKE!
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya Nimeangalia karibu kila mechi ya World Cup hadi sasa. Na kuna kitu nimekigundua… France ndio timu tishio zaidi kwenye mashindano haya. Watu wengi wanaangalia vipaji vyao, lakini kinachowafanya wawe hatari pamoja na majina makubwa walionayo … mfumo pia unachangia… France hawalazimishi kumiliki mpira. Wanakuruhusu uufurahie, halafu wanakusubiri ufanye kosa moja tu. Ukipoteza mpira sehemu mbaya, ndani ya sekunde chache unakuwa umefungwa. Hiyo ndiyo silaha yao kubwa: transitions na counter attacks. Kwa maoni yangu, kuna timu mbili tu ambazo zinaweza kuwadhibiti wakikutana nazo. 1. Spain 🇪🇸 Ingawa siwapendi (wanapenda kuwaweka wachezaji wetu wa Arsenal benchi 😂), lakini kisoka ni lazima niwape heshima. Spain wanacheza positional football. Short passes, movement ya hali ya juu na control ya tempo ya mchezo. Wanapoteza mpira mara chache sana, hivyo wanaipokonya France nafasi ya kutumia silaha yao kubwa ya counter attack. Kwa kifupi… France ni kama Real Madrid. Hawahitaji kutawala mchezo ili washinde. Spain ni kama Barcelona. Wanakunyima mpira, wanakuchosha na wanakuzuia kabisa usicheze mchezo wako. Ila barcelona inawapiga madrid mkono kila wakikutana na Mbappe wao🤣 MFUMO 2. England 🏴 Watu wengi wanawabeza, lakini England wana kila kitu cha kwenda sawa na France. Nguvu, kasi, depth ya kikosi, aerial threat na uwezo wa kushambulia kwa pande zote. Pia wanaweza kupress juu au kushuka chini kutegemeana na mchezo unavyotaka. Na kwa utani kidogo… France wanafanana na PSG. Lakini PSG wakikutana na Arsenal huwa hawaonekani wale wale. 😅 AKINA dembele walipigwa hadi Sub… bila Gabriel kupaisha penalty kombe lilikua letu lile😂 England wana wachezaji wengi wanaocheza pamoja Premier League, chemistry yao ni kubwa kuliko watu wanavyodhani. Kwa hiyo, kwangu mimi… 🥇 France bado ndio favorites. 🥈 Spain ndiye matchup mbaya zaidi kwao. 🥉 England ndiye timu inayoweza kuwapa vita ya kweli. Mpira hauna hesabu za moja kwa moja, lakini styles make fights. Si kila timu bora ndiyo inayoweza kuifunga timu bora zaidi. Wakati mwingine mfumo mmoja ndiyo unaua mfumo mwingine. Haya ni maoni yangu baada ya kuangalia karibu mechi zote za World Cup hadi sasa… Je, wewe unaona ni timu gani inaweza kuisimamisha France? Au unaamini hakuna wa kuwazuia mwaka huu?

Suomi
38
18
184
13.3K
TECHNICIAN 🇹🇿
TECHNICIAN 🇹🇿@Avitusherman·
Bado dakika kadhaa tu team Spain tumalizane na team mbape
Indonesia
0
0
2
115
TECHNICIAN 🇹🇿
TECHNICIAN 🇹🇿@Avitusherman·
Sikua na shaka kabisa juu ya uwezo wa timu ya mpira wa miguu ya spain
Indonesia
0
0
2
86
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Huyu Lil wayne ni mbegu ya wapi kumbe kajamaa kadogo hivi😁😁🫵
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
79
47
743
47.6K
OscarOscar
OscarOscar@mzeewakaliua·
Tatizo la South Africa kipindi cha kwanza chote wamecheza na Mchezaji mmoja tu, Ronwen Williams.
HT
6
3
70
4.8K
PeePee🎀
PeePee🎀@peegzy1·
if sęx started at 8:00pm then at what time should it end?????
English
123
48
244
53K
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Kukiendeelea hivi lazima nizamie canada
Polski
5
6
28
738
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Aiseeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Eesti
45
7
337
57.7K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mwana likamkuta jambo😁😂
ProsperNow. tweet media
Indonesia
40
6
93
7.2K
Moon
Moon@moondailys·
How do you say Moon in your language?
Moon tweet media
English
6.1K
1.7K
21.6K
1M
𝐌𝐚𝐱𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚𝐧 👑
Ikiwa inakugharimu pesa kila unapo onana nae, hiyo ni prostitution sio Mahusiano. Wewe na wale wanao enda kununua malaya hamtofautiani.📌
Indonesia
18
29
106
2K