Aziz Hunter
1.5K posts

Aziz Hunter
@Azizdehunter
Full time father,Avo,Sweat Potato Farmer&Bee keeper Inna llah Maaswabirin
Tanzania Katılım Temmuz 2017
1.7K Takip Edilen163 Takipçiler

Kwenye hiki kiungo nani anachezesha timu?
The Touchline | 𝐓@TouchlineX
🚨 𝗢𝗙𝗙𝗜𝗖𝗜𝗔𝗟: Real Madrid's starting XI to face Bayern Munich! 💫
Filipino

@GPGVEINs @mbuya32444 @zumbekhan Hajui maana ya utajiri labda kwake ukiwa na gari na nyumba tajiri tayari
Indonesia

@EvanceJoel19 @INFLUENCERjr Nimeangalia PB zote zaid ya mara moja na BB pia nimeangalia sasa sjui ulitaka niifaham vip?
Indonesia

@Civilian_wt @LParino2002 Na nyie mkaona Willian,D luiz ndio muwabebe?
Indonesia

@LParino2002 Chelsea ni kama kariakoo, wanaagiza mzigo China, timu zingine zinachukulia pale kwa bei ya rejareja
Indonesia

@eli_njex @SportsarenatzTz Joselu hata bila kumhate anakitu gani cha kusema vibaya?
Indonesia

@SportsarenatzTz Huyu obi siku hizi ana hate kila mchezaji aliyecheza Madrid tegemeeni kesho anakuja na makala kumsema vibaya joselu
Indonesia

@Eric__Bernard Wakati huo Milner,Sergio Ramos na Thiago Silba bado wanacheza
Español

Dimarco Kazaliwa 1997 ndo kazeeka tayari? Mtu wa 97 anaitwa Kikongwe kweli? 😂😂😂
Botafogo👑@IWillLive_X
Huyu kikongwe anazeeka na utamu wake pale Inter Milan,,Full back ya Kupanda na kushuka 🔥🔥 Dimarco 🙌🙌
Filipino

Nakuelewa nakuelewa

Ray Asel@rayasel94
Fungua hii video halafu jaribu ku skip dakika yoyote unayotaka wewe utakutana na tuta 😃
Indonesia

@nastyboy_19 @INFLUENCERjr BB ni zaidi ya PB sasa hapo sjui ya kitoto ni gani?
Filipino

@INFLUENCERjr Jamaa angekuwa polisi series za kitoto kama Breaking Bad au Money heist, zingeishia episode ya kwanza. Majambazi wote angeshawakamata 😅😅😅
Indonesia

@Rainold_1 @Wakazi Kaka Ronaldo alikua ni kitu kingine na ndio maana linapokuja suala la striker ukimueka na striker mwingine yoyote hapo waliomshuhudia wanakwambia mto kwanza R9 halaf ndio debate iendelee kile kitu kingine kaka
Indonesia

@Rainold_1 @Wakazi Uliwahi muona De lima kweli? Huyo Neymar hata kwa Romario hajafika kama issue ni kua na magoli mengi kwenye team huyo Giroud ana goli nying kuliko Titi national team hapo pia utasemaje?
Filipino

Kaka, Romario, Zico & Rivaldo OVER Neymar !! anyday
Football Tweet ⚽@Footballtweet
The four BEST players in BRAZIL's history. 🇧🇷🔥
Lietuvių

@RTimilah53539 @tonymaster01 Mohammed elfayed hakua msaudia alikua mmisri
Indonesia

@tonymaster01 Hyo Diana ndo yule alikufa kwa ajali km n yule na yeye c alikuwa anadate na yule msaudi au
Indonesia

@ArafatNgumiJiwe @Sirjeff_D Alijichanganya kipindi kile alipoamua kuchagua team homeboy wake nadhan baadae alijifunza
Indonesia

Mpambazi ni brother mwenye hekima na busara sana. Ana utulivu mkubwa sana wa kupembua mambo ya kijamii, na zaidi ya yote amenyooka sana. A true gentleman that one

ProsperNow.@prossoff
MPAMBAZI amebadilika na kuvaa gwanda za ukweli. Anashuka na yeyote anaeleta ufala hatakama ni jamaa zake. Upambanaji kutoka moyoni kabisa.
Indonesia



















