mzeenyokozimaoraimo

3.6K posts

mzeenyokozimaoraimo

mzeenyokozimaoraimo

@AkonAnord

Lengo kutimiza ndoto na sio mashindano 🙏

Katılım Ekim 2021
300 Takip Edilen86 Takipçiler
Muuza viatu🌹
Muuza viatu🌹@Agnesskanje·
Naona ukishaoa lazima kitambi kitoke
13
12
124
5.7K
Mwanaharakati
Mwanaharakati@MfiaNchi255·
Hii ni true story! Kuna mwana mmoja mitaa ya Chanika waliuza nyumba alafu kwenye mgao akala 30M yake swaafi kabisa. Baada ya mwezi jamaa alibakiwa na million 2 ikabidi anunue pikipiki used apige bodaboda Wakuu pesa ni silaha ila ikifika kwenye mikono ya mtu weak it slips away.
Indonesia
31
37
354
19.2K
JAPHET MATARRA
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra·
NI KWANGU PEKEE TOYOTA VANGUARD 🔥🔥 REG" #DPH ▪️Cc. 2360 ▪️Full Ac 🌨 ▪️Engine-2Az ▪️Sport Rims 🛞 ▪️Android Tv 🖥 🎶 ▪️Full Documents ✅️ #BEI - TZS 16M IPO DAR CALL/WHATSAPP-0719542184
JAPHET MATARRA tweet mediaJAPHET MATARRA tweet mediaJAPHET MATARRA tweet media
English
3
7
40
2.3K
Martin
Martin@likimatanio7·
@AkonAnord @MfiaNchi255 Ombea sana unacho kishika kwa mikono yako kisipotee bure na MUNGU wa mbingunu hukilinda"kaka mimi ni shuhuda wa aya yote"
Filipino
1
0
0
21
Madenge
Madenge@rollymsouth·
Sina huo muda..na mambo mengi binafsi ya kufanya na familia...am sorry✌️..next time labda
Big@Zephania_Ndaki

Kaka Angu @rollymsouth Njoo Kwa Speed Tutakulinda Kwa Wivu Mkubwa Mnoo!! Bora Wewe Ni Tetesi Za Maneno. Wao Tumewashudia Wanaenda Kwenye Event Zao, Tumewashudia Wameingia Studio Na Wasanii Hao Hao, Tumewashudia Wanafanya Promo Kwenye Medea. Alafu Wanasema Wanatafuta Ugali😁

Indonesia
27
4
174
29.4K
mzeenyokozimaoraimo
mzeenyokozimaoraimo@AkonAnord·
@likimatanio7 @MfiaNchi255 Hii ni kawaida maana maboss wengi uwa wanawaza mambo makubwa mno na bahati mbaya kuna muda wanakufaga hawajayatimiza ila kama kuishi uwa wanaishi sana na hao wenye maslahi madogo ukikuta kafanya jambo jua kajinyima sana
Indonesia
1
0
2
35
Martin
Martin@likimatanio7·
@MfiaNchi255 Mnafanya kazi na mtu ofisi 1,we unapokea mshahara mara 3 zaidi yake ila jamaa anakiwanja,anabiashara ndogo,pia ndan kwake ukiingia kuko vzuri ila weww mwenye mshahara x3 zaidi huna lolote,,bro M/MUNGU akiibariki hela inayopitia mikonon mwako itakushangaza sana hatakama ni 5k
Indonesia
2
1
19
456
mtumwa.
mtumwa.@AmonAmon292048·
@MfiaNchi255 Ukiuza mali ya familia moja moja mnagawana laana you won't survive.
Filipino
1
0
4
575
RasoulHK🍁
RasoulHK🍁@rasoulHK·
@MfiaNchi255 Mzee kuna jamaa huku waliuza nyumba zao zote za urithi kila mtu akapewa 120M wote sahivi wamepanga huko vingunguti
Filipino
3
0
26
1.3K
Big
Big@Zephania_Ndaki·
@mTusiOriginal Kaka niweke namba nipate chochote kitu waone salio lililobaki😁
Filipino
3
1
5
1.2K
OB
OB@OUTTHEINBOX·
@MarekaMalili Kwanza lami iliyowekwa hapo ni substandard
Filipino
2
1
1
404
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Hapa Mkuyuni Mkandarasi ame flood kila kitu mpaka soko 🙌🏼
Indonesia
5
7
183
6.3K
mzeenyokozimaoraimo
mzeenyokozimaoraimo@AkonAnord·
@BillyTronix1 Ukiona mwanaume kutumia pesa zako vizuri mpaka utumie akili ya mwanamke ujue.......................
Indonesia
0
0
0
8
Billy
Billy@BillyTronix1·
Babe ina miaka 20 tu Ila in Mwezi mmoja na nusu tu kwa relationship kuna unafuu mkubwa wa maisha na akili umenijia Amenifanya nijue kuna hela nyingi sana huwa natumia kijinga
Billy@BillyTronix1

Soon naoa!

Filipino
22
12
227
19.9K
The Kyejo
The Kyejo@OfficialKyejo·
@chapo255 Pombe nzuri ila ikikukataaa ndo unakuwa mfano angalia yule chura cjui mhm
Filipino
2
0
1
839
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kuna muda unaimiss Nyagi ila ukimkumbuka DJ Choka unakuwa mpole!
Filipino
42
46
765
49.7K
Eng Msaki
Eng Msaki@Aloycemsaki·
@chapo255 Kama unaweza acha matumizi ya pombe achana nayo. Pombe haina faida kwa mwanadamu, hapa nilipo mimi napitia maumivu makubwa na makali kila siku namuomba Mungu anivushe kwenye hili.🙏 Pombe fake mtaani ni nyingi viwanda vimekaa kimya huku tunaendelea kufa taratibu🥺🙌
Filipino
11
2
42
2.8K
joe joh
joe joh@JohgenesisJohn·
@chapo255 @MoshiMwilwa kaka visiwani hasa visiwa vya lake victoria kuna watu wamefanya matukio ya kustisha wamejichimbia huko no one cares kwanza ukitaka kushuhudia ukatili kaa huko visiwani ndio utajua anachosema mwamba hapo..kuna dhambi zipo huko unaeza hisi hakuna Mungu.
Filipino
1
0
0
39
JA TZ
JA TZ@winani_herman·
@Dr_Labaan @chapo255 Acha kabisa kaka Kweru, Goziba, Sizu, Irugwa, Kerebe Dar ikasome
1
0
1
208