BOB

18.1K posts

BOB banner
BOB

BOB

@BOBmshamba

Katılım Nisan 2015
749 Takip Edilen1K Takipçiler
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Haka ka Roho ka Mauti mlifingulia wenyewe lakini.
Indonesia
14
42
410
11.8K
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Hivi viongozi mnasoma jumbe wanazotuma Watanzania kwa viongozi waliofariki? Mnatafakari na kufikiria namna ya kutatua tatizo la hasira na visasi vinavyoonyeshwa au hamuoni? Bila kuchukua hatua tatizo hili litakuwa sugu na halitaweza kutibika, Mungu atusaidie.
Indonesia
19
16
115
5.6K
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#KENYA: MIILI 33 YAFUKULIWA KUTOKA KWA KABURI LA PAMOJA KERICHO Mamlaka nchini Kenya zimefukua miili 32, ikiwemo viinitete, kutoka katika kaburi la pamoja lililopatikana katika Kaunti ya Kericho kufuatia taarifa za kuwepo kwa mazishi ya siri. Kwa mujibu wa maafisa wa serikali, miili hiyo ilipatikana katika makaburi ya eneo hilo katika Bonde la Ufa (Rift Valley) baada ya polisi kuanzisha uchunguzi kufuatia taarifa zilizotolewa mwishoni mwa wiki. Daktari bingwa wa uchunguzi wa miili wa serikali Dk. Richard Njoroge amesema miili iliyopatikana inajumuisha watu wazima saba na watoto 25, baadhi yao wakiwa watoto wachanga na viinitete. Mamlaka zimesema uchunguzi wa maiti (postmortem) utafanyika ili kubaini chanzo cha vifo hivyo na mazingira ya mazishi hayo.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
3
8
38
5.5K
BOB
BOB@BOBmshamba·
@cw_pedro Huu ukweli mchungu
Filipino
0
0
1
664
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
"Mnatakaje TBC iwe huru wakati nyie wenyewe( WATANZANIA) hamko huru"?- Dr Ayoub R. Chacha, Mkurugenzi Mstaafu, TBC, leo pale UTV.
Indonesia
21
44
445
22.7K
BOB
BOB@BOBmshamba·
@Jambotv_ Huu mwezi umechangamka sana asante Mungu
Indonesia
0
0
3
140
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kifo cha mwanasiasa mbobezi na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Vangimembe Lukuvi. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa leo, Jumatano, Machi 25, 2026, na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses M. Kusiluka, Lukuvi amefariki dunia majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma. Taarifa hiyo imebainisha kuwa Lukuvi alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali hiyo kufuatia ugonjwa wa mshtuko wa moyo uliomfika ghafla. Lukuvi amefariki akiwa bado anatumikia nafasi yake kama Mbunge wa Jimbo la Isimani na Waziri katika Baraza la Mawaziri la Rais Samia. Rais Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani, pamoja na ndugu, jamaa, na Watanzania wote waliofikiwa na msiba huu mzito.
Jambo TV tweet media
Indonesia
27
4
102
6.1K
BOB retweetledi
Living Tricks
Living Tricks@LivingTricks_·
Your body isn’t “switching off” randomly… it’s chemistry doing its job.
English
1
44
272
37.9K
BOB
BOB@BOBmshamba·
@fbuyobe Msemaji wap kipara amepotea sana siku hizi🤣🤣
Indonesia
0
0
0
180
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Hivi Mzee Spunda mbona simuoni. Wanaharakati uchwara wameipora CHAUMA kutoka kwa wanachama wa asili.
Jambo TV@Jambotv_

VIDEO: Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA @ChaummaT) kimeanza rasmi mchakato wa kuandika upya Katiba ya chama hicho, hatua inayotajwa kuchochea chama hicho kwenda sambamba na ukuaji wake huku dhamira ikiwa ni kuwa chama kikubwa zaidi kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati Katibu Mkuu wa CHAUMMA Salum Mwalimu leo, Jumanne Machi 24.2026, amezindua rasmi Kamati mahsusi iliyopewa jukumu la kuandika Katiba Mpya ya chama hicho, kamati yenye Wajumbe 11 ikiongozwa na Mwenyekiti wake Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Tanzania Bara, Akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kamati hiyo, iliyofanyika kwenye ukumbi wa makao makuu wa CHAUMMA, Kinondoni, Jijini Dar es Salaam, Mwalimu amesema mchakato huo unapaswa kukamilika katika kipindi cha miezi sita (6) ikiwa ni utekelezaji wa vikao halali vya chama hicho kuanzia Mkutano Mkuu, Halmashauri Kuu na Kamati Kuu.

Suomi
12
9
139
11.2K
BOB
BOB@BOBmshamba·
@tonyalfredk @lifeofmshaba Kama wameshindwa kwenye magari yao tu ya serikali wataweza kuwezesha wananchi wote? 🤣🤣🤣🤣sasa hivi situation kama hizi tungekua watu makini ndio tulipaswa ku leverage resources zetu tulizojaliwa yakiwemo mafuta na gas asili tupige hela mbaya yakujenga nchi
Indonesia
0
0
0
253
TONY ALFRED K
TONY ALFRED K@tonyalfredk·
Asilimia 40 ya mafuta ambayo Tanzania imeagiza inatoka kwenye viwanda vya mafuta vya India. Leo India kila kona wana crisis ya mafuta; wameitisha vikao vya dharura; foleni ni ndefu kila kona. Tutatoboa kweli? Inabidi serikali ije na mkakati wa dharura kuwezesha matumizi ya CNG.
Indonesia
18
8
89
12.9K
BOB retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Tumeweza kuanika kuwa zile amri zilikuwa zinalenga kuiabisha na kuidhalilisha mahakama. Majaji baada ya kutusikiliza wamesema wataenda kukaa chini na kuandika uamuzi wao na watatuita kuja kupokea uamuzi." Mhe. Dr. Rugemeleza Nshala
Indonesia
9
61
239
7.8K
BOB
BOB@BOBmshamba·
@Jambotv_ Hofu gani tena maafisa usafirishaji unapigwa mwingi mwa mwi🤣🤣🤣🤣
Indonesia
0
0
0
28
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
VIDEO: Kufuatia kuripotiwa kwa matukio ya kuuawa na kuporwa kwa pikipiki za maafisa usafirishaji (bodaboda) mkoani Tabora, Umoja wa Maafisa hao (UMUTA) mkoani humo umelaani vitendo hivyo huku wakiviomba vyombo vya ulinzi na usalama kuchukua hatua madhubuti kudhibiti hali hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Umoja wa Maafisa Usafirishaji Mkoa wa Tabora, Mrisho Shime, amesema kuwa wamejipanga kushirikiana kwa karibu na vyombo vya usalama ili kuhakikisha matukio hayo yanakomeshwa kabisa. Aidha, ameeleza kuwa kwa mujibu wa uchunguzi walioufanya, matukio hayo yamekuwa yakijitokeza zaidi nyakati za katikati ya mwezi. Kutokana na hali hiyo, ametoa wito kwa wananchi kuwa wazalendo kwa kufanya shughuli halali za kujiingizia kipato na kuachana na njia haramu za wizi na ukatili. Kwa upande wake, Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora, SACP Richard Abwao, amesema kuwa jeshi hilo linaendelea kuimarisha ulinzi kwa kuongeza doria za usiku na mchana. Hatua hizo zinalenga kuhakikisha usalama unarejea na kuwawezesha maafisa usafirishaji kufanya kazi zao katika mazingira salama na rafiki.
Indonesia
4
2
33
2.1K
BOB retweetledi
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Rev. Dr. Eliona Kimaro@ElionaKimaro·
Huwa unamtambua mwenye wazo pale unapotumia wazo lake?
Filipino
1
8
33
468
BOB
BOB@BOBmshamba·
@ChademaTZ2 @jjmnyika Kunakaribia kupambazuka wenye akili wanaona nani ana shida Tutashinda
Indonesia
0
0
2
349
BOB retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Mawakili wa waleta maombi Said Issa na wenzake leo wameiambia Makama ya Rufaa kwamba lile zuio la kuzuia shughuli za siasa iliwahusu Katibu Mkuu na Bodi ya Wadhamini pekee yake." Mhe. @jjmnyika
Indonesia
9
79
304
10.7K
BOB
BOB@BOBmshamba·
@INFLUENCERjr Maelezo yashakua mengi kama mikimbio ya Okelo km 10000
Indonesia
0
0
0
85
BOB
BOB@BOBmshamba·
@TweveDevota Kama kiongozi mkubwa anaweza kutoa kauli ya dhihaka juu ya maelfu ta waliouwawa kikakitili au waliopoteza ndugu zao lazima tujue jamii imeathirika kiasi gani kisaikolojia tatizo ni kubwa zaidi ya tunavyoona kwa macho
Indonesia
0
0
7
713
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Huu ni zaidi ya ushetani🥹
DevotaTweve tweet media
हिन्दी
77
38
319
23.3K
BOB retweetledi
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Rev. Dr. Eliona Kimaro@ElionaKimaro·
Kukosa nidhamu kunakuondolea watu wa maana ambao Mungu amewaleta kwa ajili yako.
Indonesia
1
11
44
483
BOB
BOB@BOBmshamba·
@MabalaMakengeza @MwanzoTvPlus Ngoja waje intarahwe wa sisiemu washambulie kama mwananchi wakawaida unaona hadi aibu sisi badala yakuuza maziwa bali yunaagiza maziwa
Indonesia
0
0
0
53
Richard Mabala
Richard Mabala@MabalaMakengeza·
@MwanzoTvPlus Ndiyo maana nimesema siku nyingi tunapaswa kuinvest in the Maasai badala ya kuwafukuza ili kuleta wawekezaji wengine. Tujiulize kwa nini hatuna dairy industry Tanzania
Indonesia
7
5
84
2.3K
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:TANZANIA YATUMIA BILIONI 23 KUAGIZA MAZIWA NJE Licha ya kuwa na idadi kubwa ya mifugo na kuzalisha takribani lita bilioni 4.1 za maziwa kwa mwaka, Tanzania bado inalazimika kuagiza maziwa kutoka nje ya nchi ili kukidhi mahitaji ya ndani. Takwimu zinaonyesha kuwa zaidi ya shilingi bilioni 23 hutumika kuagiza wastani wa lita milioni 11.6 kila mwaka. Msajili wa Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB), George Msalya, amesema changamoto kuu inayokabili sekta hiyo ni ubora wa maziwa yanayozalishwa, hususan kwa wafugaji wa vijijini ambao wengi wao hawazingatii viwango vinavyohitajika. Kwa mujibu wa Msalya, hali hiyo imechangia kuibuka kwa mtazamo miongoni mwa baadhi ya walaji kuwa maziwa ya kutoka nje ni bora zaidi. Hata hivyo, amesisitiza kuwa viwanda vya ndani vina uwezo wa kusindika maziwa yenye ubora unaokidhi viwango vya kimataifa. Kwa sasa, Tanzania ina jumla ya viwanda 188 vya kusindika maziwa, lakini ni vinane tu vinavyohesabika kuwa vya kiwango kikubwa. Hali hii inaendelea kuchangia pengo katika uzalishaji na ubora wa maziwa nchini.
MwanzoTvPlus tweet media
Filipino
4
9
45
4.4K