Sina
1.5K posts


@prossoff @mlinganya yani apo miaka ijayo anaokoka anakuwa church girl mwanakwaya then mm nitazama niweke home as wife😭💔
Filipino

@Rungekuta69 uskute mbari... iko usafini kbc ila ham.. haziko hadhi ya king wala usafini
Indonesia

Kwamba kvma ya Mbarikiwa ni Sawa na ya Hamisa mobeto?
Muuza viatu🌹@Agnesskanje
Kitu ni kile kile ila wanavyohangaika sasa🙌
Indonesia

@MendradMlelwa @millardayo kuna mpango wa USA na Europe kupitisha mafuta huko arctic apa wanaharibu kwa iran ili wao wahamie uko
Filipino

@millardayo Trump mbona unawageuka tena wenzako we c ulisema unayataka mafuta yao saiv tena sio wewe dunia ndio inataka
Indonesia

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametumia hotuba yake ya Jumatano kueleza kuwa Marekani haitegemei Mlango wa Bahari wa Hormuz katika usafirishaji wa mafuta na gesi, akisisitiza kuwa athari kubwa za usumbufu wa nishati na kupanda kwa bei zimeibukia zaidi kwa mataifa mengine duniani kuliko Marekani.
Trump amesema hakuna mafuta ya Marekani yanayopita katika Mlango wa Hormuz na haitahitaji kufanya hivyo siku zijazo, akieleza kuwa taifa hilo ni miongoni mwa vinara wa uzalishaji wa mafuta na gesi duniani. Amesema, “Marekani inaagiza mafuta kutoka karibu na hakuna mafuta kupitia Hormuz na haitachukua mafuta huko baadaye. Hatujahitaji njia hiyo.”
Licha ya kauli hiyo, hali ya soko imeendelea kuonyesha tofauti, huku bei ya mafuta Nchini Marekani ikipanda na kuwabana Wananchi, ambapo bei ya petroli imevuka dola 4 kwa galoni kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2022. Hali hiyo imeibua mashaka kuhusu madai ya Trump kuwa Marekani imelindwa kikamilifu dhidi ya misukosuko ya ugavi wa nishati iliyosababishwa na vita.
Kwa mujibu wa Shirika la Kimataifa la Nishati (IEA), Mlango wa Hormuz unapitia takribani asilimia 20 ya matumizi ya mafuta duniani, huku sehemu kubwa ya mafuta hayo ikiishia barani Asia, eneo linalotegemea kwa kiasi kikubwa uagizaji wa mafuta na gesi kutoka mataifa ya Ghuba.
Trump amesema mataifa yanayopokea mafuta kupitia njia hiyo yanapaswa kuongoza ulinzi wa njia hiyo, akisema, “Nchi zinazopokea mafuta kupitia Hormuz zinapaswa kulinda njia hiyo... sisi tutasaidia, lakini wao ndio wanapaswa kuongoza.”
#MillardAyoUPDATES.

Indonesia















