J
64.2K posts

J
@BabJ0N
🎨Art is life | UXUI | Copywriter | Creative |🐈 & 🦁 My brain creates, my hands execute

Ukitaka ushuhudie maajabu tafuna dagaa then tafuna karanga mbichi 😂😂😂




Zaburi 27:10 Zaburi 55:22. Hata katika njia ngumu Mungu hatatuacha.. Atatuvusha 🙏🏽

Mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili nchini Tanzania, Upendo Nkone leo Aprili 23, 2026 amekabidhiwa gari jipya aina ya Toyota Harrier Jijini Dar es Salaam ikiwa ni zawadi kutoka kwa mashabiki na wapenzi wa huduma yake. Hatua hiyo imekuja baada ya kampeni maalum iliyoendeshwa na wadau mbalimbali kuchangisha fedha kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika jamii kupitia nyimbo zake zenye ujumbe wa faraja na matumaini kwa miongo kadhaa. Wakati akipokea zawadi hiyo, Upendo Nkone alishindwa kuzuia hisia zake na kujikuta akilia kwa furaha mbele ya Mashabiki wake waliojitokeza kushuhudia makabidhiano hay ambapo Akiwa anatokwa na machozi, ameeleza kuwa hakuwahi kufikiria angeonyeshwa upendo mkubwa kiasi hicho na amesisitiza kuwa muitikio wa watu waliojitokeza kumsaidia umempa nguvu mpya ya kuendelea na kazi yake ya Kumsifu Mungu. #millardayoUPDATES



























