Kada Wa Chama 🇰🇪
1.7K posts

Kada Wa Chama 🇰🇪
@Baba_Ntilie
Maisha ndo haya haya Kula vizuri Duniani Vaa Vizuri Duniani Pitia aina zote Za Raha za Dunia.. Mbinguni hakuna kula😂
Kenya Katılım Eylül 2021
202 Takip Edilen159 Takipçiler

@british77boe Huyu bila shaka ni Ronaldo anapiga miguu yote
Filipino

@millardayo Hili Taifa badala watu wawekeze kwenye viwanda watu wapate Ajira, Wanawekeza kwenye kamari waendelee kuwanyonya masikini na Waziri anapongeza🤔🤔
Indonesia

Vunjabei Group chini ya Mtendaji Mkuu wake Fred Ngajiro maarufu kama Fred Vunjabei, leo imezindua rasmi jukwaa jipya la michezo ya kubahatisha lijulikanalo kama Vunjabei Bet, likianza operesheni zake hapa Nchini Tanzania, huku likiwa na mpango wa kupanuka katika Nchi saba za ukanda wa Afrika Mashariki na Kati
Akizungumza katika uzinduzi huo, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Aristides Robert Mbwasi, aliyemwakilisha Waziri wa Viwanda na Biashara Judith Kapinga, amempongeza Fred Vunjabei kwa jitihada zake za kutafuta fursa za Kimataifa na kuwekeza Nchini, akibainisha kuwa Sekta ya Ubashiri imeendelea kuwa na mchango mkubwa kiuchumi ambapo kwa mwaka 2024/2025 pekee imeingiza takribani Shilingi bilioni 260.
Jukwaa hilo jipya linatarajiwa kutoa huduma si tu ndani ya Tanzania bali pia kuvuka mipaka na kuhudumia masoko ya Nchi saba jirani, hatua inayolenga kuongeza ushindani wa kibiashara na kuboresha huduma katika sekta ya ubashiri wa michezo
Katika kufanikisha mradi huo, Vunjabei Group imeingia ubia na kampuni ya Kimataifa kutoka Nchini Italy iliyowekeza katika teknolojia ya uendeshaji wa mfumo huo, huku Kampuni hiyo ya ndani ikichukua jukumu la kuwekeza katika miundombinu, usimamizi na masoko katika Nchi zote zitakazofikiwa
Ukuaji wa sekta ya ubashiri umeendelea kuwa kichocheo muhimu cha maendeleo ya michezo Nchini, ambapo kupitia udhamini wa Ligi, Vilabu na matukio mbalimbali, Kampuni za kubashiri zimechangia kukuza Vipaji vya Vijana na kuimarisha tasnia ya michezo, huku uzinduzi wa Vunjabei Bet ukitarajiwa kuongeza ajira, fursa za uwekezaji na ushindani katika Soko la burudani Nchini na Ukanda mzima. #MilladAyoUPDATES

Indonesia

Baba yake mzazi hakupendezwa binti yake kushiriki Miss Kinondoni 2005 bila ridhaa yake, kwasababu alitaka asome kwa bidii ambapo alitakiwa kuingia chuo kikuu mwaka wa kwanza. Kwa mujibu wa Nancy mwenyewe, baba yake alifahamu kuwa anashiriki umisi baada ya kumuona gazetini lakini baadaye akamuacha ashiriki kutimiza ndoto yake na kuanza kumpa sapoti
Alifanya vizuri Miss Dar Indian Ocean na Miss Kinondoni. Katika finale za Miss Tanzania mwaka huo baba yake alisafiri kutoka Arusha kwenda Dar es salaam ili kumpa sapoti mwanae huyo. Wakati shindano likiendelea ukumbini, Nancy hakujua baba yake yuko wapi, lakini ilipotangazwa 5 bora yeye akiwa mmojawapo alimuona baba yake akisimama kwa furaha mbele ya ukumbi wanapokaa waandishi wa habari.
Baada ya Nancy kutangazwa mshindi wa taji la Miss Tanzania 2005, alimuona baba yake akirukaruka kwa furaha na kupanda jukwaani lakini alizuiwa na mabaunsa. Nancy alimfuata baba yake wakapiga picha pamoja. Anasema baba yake alikuwa na upendo sana kwa watoto wake wote watano na mwingine wa kumlea na aliwapambania wawe na maisha mazuri ikiwemo kupata elimu bora japokuwa baba yake hakuwa na elimu kubwa ila alifanikiwa kwa kupambana kimaisha
Nancy aliposhinda Miss Tanzania alizawadiwa nyumba jijini Dar e salaam na hadi sasa amebaki kuwa mshindi pekee wa taji hilo aliyezawadiwa nyumba. Pia anabaki kuwa mrembo pekee wa Miss Tanzania aliyefanya vizuri zaidi Miss World ambayo kwa mwaka huo ilifanyika Sanya nchini China. Aliingia top 6 na kutwaa taji la Miss World Africa 2005. Amekiri kushinda Miss Tanzania kulimfungulia milango ya fursa mbalimbali kimaisha
Nancy aliyezaliwa 1986 jijini Arusha na kusoma shule ya msingi na secondary nchini Kenya, baada ya kulitumikia taji Miss Tanzania alirudi chuo akahitimu degree ya kwanza ya biashara chuo kikuu cha Dar es salaam(UDSM), kisha 2023 alihitimu master's degree katika education economic and international development kutoka University College London ambacho ni moja ya vyuo vikuu bora duniani
Mrembo huyo kikazi ana majukumu mengi ikiwa ni pamoja na kuwa mjasiriamali, mwandishi wa vitabu, mdau wa maendeleo ya elimu kupitia JengaHub aliyoianzisha ili kuleta mageuzi ya kielimu kwa watoto kupitia teknolojia. Kiujumla Nancy ameonesha mfano halisi wa maana ya urembo na malengo(beauty with purpose) kwa kuweza kujisimamia vizuri kutunza heshima yake, mafanikio binafsi na kuweza kuitumikia jamii vizuri
Katika maisha binafsi, mwaka 2016 alifunga ndoa na Luca Neghesti waliyekuwa pamoja muda mrefu, mumewe ni mfanyabiashara pia mwanasiasa, wamejaaliwa mtoto mmoja wa kike. Ni miongoni mwa mahusiano na ndoa za watu maarufu zilizodumu muda mrefu, huonekana pamoja mara kwa mara ikiwemo kufanya mazoezi wakiwa wote
Mwenye suti nyeupe ni mumewe siku walipofunga ndoa, na wa upande wa kushoto ni baba yake mzazi, Abraham Sumari ambaye aliaga dunia 2024.
FOLLOW @SwahiliRealTalk KWA HISTORIA NYINGI ZAIDI

Indonesia

@mwarabu22305 @SwahiliRealTalk Waliokuwa wapenzi mbona! Sema walitemana baadae
Indonesia

@SwahiliRealTalk Mademu wako makini na future zai imagine angemkubali Mb Dog what next?
Indonesia

@DicksonHen7900 @SwahiliRealTalk We umempokea Yesu Mzee au unashauri tu😂
Indonesia

@SwahiliRealTalk Duu! Huyu Nancy kama angepata neema ya kumpokea Yesu kama mwokozi wake, hakika angefanya mambo makubwa sana.
Lakini ndo hivyo tena, maisha bila Yesu ni kama mvumo wa upepo.
Indonesia

@Budda2016 @killo_killo11 Qmmk anaweza kukununua wewe na ukoo wako huyu kaa Kwa password
Filipino

@killo_killo11 Huyo nae anapesa acheni ufala basi TIN WHITE pesa atoe wapi......😅😅😅
Filipino

@Sirajitz1 Huyu Dem hamchoki kumpiga vita wakuu? Mpumzisheni basi mtoto wa watu
Indonesia

Mwandishi 🎤 Nayce unaweza kutuambia kosa gani kimefanya ukatimuliwa TILISHO.
Nayce 🎤 Kiukweli TILISHO ni Familia yangu , naumia sana navyoona watu wananisema vibaya na kueneza uvumi
🎤 Sipo tu kwenye kitengo cha Ukondakta kwa sasa ila TILISHO bado nifamilia yangu iliyonilea na kunifungulia Fursa
🎤 Niwaombe sana wanaoendelea kueneza huu uvumi waache mara moja najua ni wivu tu unawasumbua
---------------------------------
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
SEMA HUYU DEMU KAPIGWA VITA SANA AISEEE AFU SIO KIBUNGO
DEMU ANA SURA NZURI SEMA TU NDO HIVYO

Filipino

@Baba_Ntilie Mzee Lowassa alikuwa anasisitiza sana elimu elimu elimu .. namuelewa leo
Filipino

Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Oktoba 29, Jaji Othman Chande, amesema suala la upoteaji wa Watu linaendelea kuwa miongoni mwa changamoto kubwa za Kijamii zinazolikumba Taifa pamoja na Dunia kwa ujumla akisisitiza kuwa uzito wa tatizo hilo ndiyo sababu limepewa kipaumbele maalum katika uchunguzi wa Tume hiyo.
Jaji Chande ameeleza kuwa takwimu za Kimataifa zinaonesha ukubwa wa tatizo hilo ambapo mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani umebainisha kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024 zaidi ya Watu 284,000 wameripotiwa kupotea Duniani kote hali inayodhihirisha kuwa suala hilo si la Nchi moja pekee bali ni la Kimataifa
Aidha, ameongeza kuwa hata katika Nchi zilizoendelea Barani Ulaya pamoja na Marekani bado matukio ya Watu kupotea yanaendelea kuripotiwa akitaja mifano ya Nchi kama Ubelgiji na Uholanzi, huku akibainisha kuwa sababu za upoteaji hutofautiana kulingana na mazingira ya kila Nchi jambo linalohitaji uchambuzi wa kina kabla ya kufikia hitimisho.
Akizungumza Aprili 28, 2026, katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC), Jaji Chande amesema "suala la upoteaji linatukera sana, ndiyo maana tumeweka kama moja ya vyanzo vya masuala ya Kijamii, pia ni changamoto Duniani kote, Mtandao wa Shirika la Msalaba Mwekundu Duniani unasema kuwa kati ya mwaka 2020 hadi 2024, zaidi ya watu 284,000 waliripotiwa kupotea Duniani, hata Ulaya, Watu wanapotea, Ubelgiji, Marekani, Uholanzi na Nchi nyingin, sababu zinatofautiana, hivyo kila Nchi ina vyanzo vyake, kuna viashiria takribani 74 vya aina ya Watu wanaopotea Duniani, hivyo ukitaka kuelewa kwa undani lazima ubainishe chanzo cha kila tukio.” Jaji Chande. #MillardAyoUPDATES

Indonesia

@PeteroMaina Hii nibaya masee! Kwani hii ni real ama wamecreate content?
Filipino

@Dafarida01 Tulia hivyo hivyo kuna nyingine ya Mzumbe imetoka muda huu nakutumia
Filipino



















