Che Jumoo
20K posts

Che Jumoo
@Bdam24Adam
Student /Muslim by nature/Thinker/I have mission/ant-extreme



Imām Aḥmad did not permit the blood of the Shīʿah and the Rāfiḍah, even though they are in misguidance. For he said regarding one who insults the Companions: “as for killing, he refrained from it, but he would strike him as a punishment.” [¹] I [the author] mention this to prevent tribulation and killing among Muslims, not to downplay the misguidance of the Shīʿah. 𒆜━━━✤༺𒆜༻✤━━━𒆜 ¹) See: 📖 Fatāwā of al-Imām al-Subkī | 5802. And in a narration, whoever insults a Companion is to be flogged ten lashes; this is his ruling according to Aḥmad.


@Rahim_Meghji tukisema kwamba acheni mambo ya Hamasa na Ushabiki kwenye Dini ni kama hivi matokeo yake!!!!!!! Ukisoma Dini utaijua Njia!!!! Na mahala sahihi pa Kusoma Dini yako ili iwe salama ni kwa Masalafi pekee karibu!!!! Wanachuoni walishawakataa Hamasi kitambo sana.



Ibn al-Jawzī said in al-Radd ʿalā al-Mutaʿaṣṣib al-ʿAnīd al-Māniʿ min Dhamm Yazīd (p. 87): The opponent said: “Why did you not remain silent about [speaking against] Yazīd out of respect for his father [Sayyidunā Muʿāwiyah صلى الله عليه وسلم]?”



#TajiriLaKihaya Hizi ni dalili 3 kubwa kwamba video ya Benjamin Netanyahu akinywa kahawa imetengenezwa na AI. Angalieni kwa makini picha, still images kutoka kwenye video hiyo. 1.Mkono unaoshika kikombe Umeachana saana. huu sio mkao wa kawaida wala anatomy wa mkono wa binadamu unaposhika glasi. Upotoshaji kati ya vidole unaonekana wazi,mara nyingi AI ndiyo hufanya makosa ya aina hii. 2.hizo Chupa mpangilio wake ulivyowekwa kwenye shelf,Hii pia ni ishara ya AI. Vinaonekana kama copy(clones), vimepangwa kwa ukamilifu kupita kiasi na vinafanana sana. AI mara nyingi hutengeneza mifumo ya kurudia rudia ya aina hii. 3.Macho ya mwanamke – “Macho ya mdoli ” ni kasoro nyingine ya kawaida ya AI. Macho yanaonekana kuwa mbali sana na Pupils ya macho. Haya yote ni mbali na lile suala lililoonekana tayari la kahawa kutomwagika. Ukichunguza mambo haya kwenye zana yoyote ya AI, nyingi zitathibitisha hoja hizo. Sasa swali ni hili: kwa nini video zilizotengenezwa na AI za Benjamin Netanyahu zinachapishwa kutoka akaunti rasmi za Israeli,Kama sio kwamba jamaa kakata moto ? 🤖☕






Iran will not target Kenya - Iranian Ambassador to Kenya Ali Gholampour


Iranian Foreign Ministry: We are not responsible for the bombing of Saudi oil fields and have informed the Kingdom of this.





Waandamanaji wakusanyika nje ya ubalozi wa Iran London kuunga mkono mashambulizi ya Marekani na Israel bbc.in/4sgt9r8












