
Dr.Kamtu Ka Mbao™ 🇹🇿
69.2K posts

Dr.Kamtu Ka Mbao™ 🇹🇿
@Benbella_kamtu
Think Tank,master mindset, Dramatic one, { Akili siyo Kikombe cha Wageni Usiogope Kuitumia Vizuri}😂😂 . . WATUMBWAKNI MKUJE VIZURI... 😂😂😂
Dar es Salaam, Tanzania🇹🇿 Katılım Nisan 2019
3.8K Takip Edilen20.9K Takipçiler

@BrilliantMwaki @mwanibese @spana_Konki tweet siyo yako sijajibu kwenye comment yako na mimi siyo followers wako kwa nini unanitukana?!!
Acha kutafuta matatzo angali yanakukimbia, na usidhani kwamba Twitter ni mbinguni hujulukani
Indonesia

Walitaka kumchafua Shangazi Maria ila watu wameingia Chimbo. Kumbe ni Fekero 😂😂😂 #ThursdayVAR




Indonesia

@Frank_Bepari @BokilosHoney Na mimi sikutaka kubishana saana maana watu wanasikiliza ya vijiweni
Indonesia

@BokilosHoney @Benbella_kamtu Kumbe, nimefuatilia nimeona walipasuliwa Singapore. Na hakuna mahala Dr. Ben katajwa.
Filipino
Dr.Kamtu Ka Mbao™ 🇹🇿 retweetledi

@McinikaWaLamar uzuri Mungu hasomi tweet so blaablaa hazijawahi kuwa na hisia za closed
Indonesia

Haaa kumbe🤔🤔
ule mtoto wa high majestic naye chizi huyu kaungua duuh🤓🤓
Kampeni Kuu za CCM-2025@Kampeni2025
Huyu angetulia tu ajiuguze apumzike lkn namna anavyojichosha ugonjwa unazidi na atakufa mapema coz anavo tamani Tanzania iaribikiwe kamwe Haito tokea kwa namna Mh Rais anavyoongoza nchi kitaalam.
Filipino

Sasa Mungu siungemuumba tu Nawal @20qnana mganga wa kienyeji tu tujue kama ni mganga kuliko kutufanyia hivi wajameni!!!

Indonesia

@Benbella_kamtu Zinafikishwa NATO base ya Poland ndyo zinapelekwa kwa Train Ukraine.
HT

@mwanibese @spana_Konki Sasa mbona zote ni fekechee😁😁
Indonesia

Kufanya nini huko mecca!! 🤔 🤔
VOA Swahili@VOASwahili
Mahujaji wamiminika Mecca dlvr.it/STVb55
Indonesia

@Zawszeztoba @GilbertRingo aiseee mtu anaweza akakukubalia mkakulana mkiwa vijana then ukamkataa siku unakua waziri mkuu anaibuka na mashtaka ya kubakwa na kumdhihaki anaenda mahakamani kinafiki tu, bunge linashupalia bila hata huruma unashinikizwa unatoka, uingereza ni nyoko😁😁
Indonesia

@GilbertRingo @Benbella_kamtu Wanawake wana nguvu sana Kwenye ulimwengu wa kwanza aisee😂😂 Ana bahati Angekuwa room mate wake R&B
Hilliard's Cross, England 🇬🇧 Filipino

@Jmhina1 haiwezi tokea at home place maana Sina Hakika kama tunaimudu hiyo!! 😁😁
Filipino

@Benbella_kamtu Bt tusisahau Kuna msemo unasema Don't Try this At h***. 😀😀
Indonesia

@GilbertRingo @Kybalionee uingereza wamenikera Sana mimi😁😁
Indonesia

@Kybalionee @GilbertRingo ni kupigana majungu utoke mwingine atimbe, Mtu kabakwa anashurutishwa waziri mkuu utadhani yeye ndo analinda uchi za wananchi😁😁😁
Indonesia

@Benbella_kamtu @GilbertRingo Yaani kwenye mataifa yaliyoendelea miswada yao ni ya hovyo sana maana hawana masuala ya Afya, Maji, Nishati na mambo ya miundo mbinu kwa hiyo wamebaki na mambo ya hovyo tuu.
Indonesia

@Kybalionee @GilbertRingo naye atajiuzulu tu ndo mtindo wamekuja nao saa hizi ukinyima wabunge posho wanajiunga kukushinikiza utoke
Indonesia

@Benbella_kamtu @GilbertRingo Wanavurugana halafu inakuwa hivyo. Tusubiri anaetarajiwa nae tusikie yake
Indonesia







