Sabitlenmiş Tweet
𝕓𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕒 𝕛𝕣
1.2K posts

𝕓𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕒 𝕛𝕣
@Bendela_Jr
#Born_In_Kilwa, Football fan Of @simbaScTanzania// @ManCityus// @FCBarcelona. Entrepreneur, critical & creative thinker 🧠
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2023
6.9K Takip Edilen3.7K Takipçiler

@cleansheet_1 Wakati wenzetu muliprint hadi t-shirt za chasambi 😁
Indonesia

@Bendela_Jr Maranyingi sana nawaambia vijana, Elimu Cheo pamoja na Akili, hivi ni vitu tofauti kabisa.. unaweza kuwa na elimu kubwa tu lakini akili yako ikawa inazidiwa na Mtu alieishia Darasa la Nne..
Indonesia

@Bendela_Jr Apotee yeye tuone kama ata ulaya watu wanapotea..
Filipino
𝕓𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕒 𝕛𝕣 retweetledi
𝕓𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕒 𝕛𝕣 retweetledi

Mwigizaji Mkongwe wa filamu Tanzania #HashimKambi amefariki dunia siku ya leo jijini Dar Es Salaam
#EATV #EARADIO Tunatoa pole kwa Familia ndugu jamaa na marafiki pamoja na Wanatasania ya filamu kwa kuondokewa na mpendwa wao.
#EastAfricaTV #HainaKuchoka #TogetherTunawakilisha

Indonesia

@anuskills3 jamaa anahakikisha anawala wote aliowalia nyeto wakati bado hajajipata 😁
Filipino
𝕓𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕒 𝕛𝕣 retweetledi
𝕓𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕒 𝕛𝕣 retweetledi
𝕓𝕖𝕟𝕕𝕖𝕝𝕒 𝕛𝕣 retweetledi

Tunapo sema hawa jamaa ni mashoga Tuna maanisha kwamba Serikali zao zinawalinda watu hao kwa sheria.
Kuunga mkono ushoga mara nyingi humaanisha serikali kutunga sheria za kulinda haki za watu wa LGBTQ+ si lazima kuhimiza, bali kulinda dhidi ya ubaguzi.
Kwahiyo ukitaka kuwatetea watu hawa kwa kusema mbona Sehemu fulani mashoga wapo Naam uko Sahihi ila Swali linakuja 👉 je! Serikali yao inawaruhusu Wafanye Ushoga?
Hapa chini Nimekuekea Orodha ya nchi ambazo zimetunga sheria zinazolinda au kuruhusu wazi mahusiano ya jinsia moja kama ndoa au haki za kiraia.
Kwahiyo unapokuja kuleta Utetezi wako kwa watu ambao wana ulinzi kutoka katika Serikali zao lazima Na wewe Tukuhesabu ni miongoni mwao hao.
Tuanze na Ulaya
👉Ujerumani
👉Ufaransa
👉Uhispania
👉Uholanzi (ndio wa kwanza duniani 2001)
👉Ubelgiji
👉Uswidi
👉Norway
👉Denmark
👉Finland
👉Ireland
👉Uingereza
👉Ureno
👉Austria
👉Switzerland
Tunakuja Nchi za Amerika Kaskazini na Kusini
👉Marekani
👉Canada
👉Mexico
👉Brazil
👉Argentina
📯Chile
👉Colombia
👉Uruguay
👉Costa Rica
Tunakwenda Nchi za Asia-Pacific
👉Australia
👉New Zealand
👉Taiwan wa kwanza Asia
👉 Israel
Tunakuja Nchi za Afrika
👉Afrika Kusini Pekee barani Afrika ndio Nchi Imeruhusu ndoa ya jinsia moja (Ushoga+ Usagaji)
PIA KUNA NCHI ZINAZO LINDA HAKI LAKINI SI NDOA KAMILI
Hapa serikali zinalinda dhidi ya ubaguzi, au kuruhusu.
Mfano
👉Italia
👉Jamhuri ya Czech
👉Hungary ina ulinzi mdogo lakini pia ina vikwazo
👉Japan baadhi ya miji.
NCHI AMBAZO SERIKALI HAZIUNGI MKONO NI KOSA AU HAZILINDI KAMA UNABISHA KUA SHOGA ALAFU TUONE KAMA UTALINDWA.
👉Tanzania
👉Kenya
👉Uganda
👉Saudi Arabia
👉Iran
👉Qatar
Na zingine zote za Kiarabu
Katika nchi hizi, Sheria zinapiga marufuku mahusiano ya jinsia moja, Hakuna ulinzi wa kisheria Dhidi ya watu hao.
Adhabu inaweza kuwa kali hata kifungo au zaidi
Naomba Niishie hapa Ila Tambua kama Wewe ni shoga au ndugu yako ni shoga katika Mataifa haya ambayo hayana Sheria za kuwalinda mashoga Basi huyo ndugu yako au wewe mwenyewe unafanya makosa kama makosa mengine kwa sababu sheria haikulindi.
Cc Chotara Mweusi

Indonesia

@Lizzie36021 uzuri kwenye shisha hawajasema ni hatari kwa afya yako 😂
Indonesia






















