mkaanani

4.6K posts

mkaanani banner
mkaanani

mkaanani

@BenjaminiKeneth

send message link unaweza kunitumia story,connection,tangazo,kupitia link belowa https://t.co/xXEa1hOxvc

Vvvv Katılım Ocak 2016
1.7K Takip Edilen720 Takipçiler
mkaanani
mkaanani@BenjaminiKeneth·
@EsirEid @godbless_lema Kwenye kipengele cha tajiri kuiona pepo ni bora ngamia kupenya tundu la sindano....wangewaongeza wanasiasa,na watawala....kuiona pepo ni bora ngamia kupenya tundu la sindano
Indonesia
0
0
1
20
mkaanani
mkaanani@BenjaminiKeneth·
@EsirEid @godbless_lema Yaan bongo wanasiasa ni taka taka....kuisafisha kaniki inatakiwa kujitoa ufahaamu....kaniki haisafishiki..
Indonesia
2
0
3
604
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Mgodi wa makaa ya mawe wa Tancoal Energy Limited nchini Tanzania ulikuwa na ubia wa 70% Intra Energy Tanzania Limited (IETL) na 30% Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC). Mgodi huu ni muhimu kibiashara na kitaifa, ukiathiri sekta ya viwanda, umeme, na ajira. Baada ya mradi kukamilika, Intra Energy Corporation (IEC) ya Australia iliorodhesha hisa zake kwenye Soko la Hisa la Australia. Bei ya hisa ilikuwa takriban AUD 0.006–0.008 na mtaji wa soko ulikuwa AUD 9.5 milioni (~TSh 16.2 bilioni). Baada ya IEC kutangaza kuondoka kwenye mradi, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake alinunua hisa hizo. Hisa hizo zilikuwa kwenye soko la umma, Soko la Hisa la Australia (ASX) hivyo mtu yeyote angeweza kununua hisa hizo. Sasa , ni nani anayeweza kushutumiwa? Ikiwa kuna tatizo au hoja, mdau namba moja anayepaswa kushutumiwa ni Serikali (NDC) , kwa kuwa waliweka asilimia 30 ya HISA lakini hawakuongeza HISA zao wakati zilikuwa listed ktk soko la HISA la Australia. Kama walijua mradi huu ulikuwa na maslahi makubwa kwa umma!! Kwa nini hawakuchukua nafasi ya kibiashara ya kununua HISA zaidi, na hata pale Intra Energy walipoamua kujitoa kabisa kwenye uwekezaji huu , habari hii ilikuwa ndani kwanza kwa wamiliki wote Intra Energy yenye 70% na NDC wenye 30% na ktk vyombo vya habari vya Kimataifa kwa muda sana mpaka pale Rostam alipojitokeza kununua HISA hizo. Hii inaonyesha changamoto si kwa wafanyabiashara wa nje, bali katika uwezo wa wadau ndani ya Serikali kuona na kushiriki kwenye uwekezaji kwa mtazamo wa kibiashara. Rostam Aziz hakutenda uhalifu , aidha alitumia fursa halali ya kibiashara. Ambayo mfanyabiashara ambaye hawezi kuiona na kuipuuza ikiwa ana interest , aidha atakuwa hajui namba na mbele sana ya biashara hii , basi , kama ni kukoroga basi Intra Energy ndio wamekorogwa na changamoto zaidi ni kwa NDC na sera zao za uwekezaji na uwezo wao mdogo ktk FIKRA ya uwekezaji. Kumbukeni , Serikali imeshindwa kuendesha biashara ya dala dala hapo Dar , itakuwa haya mambo yenye Kiingreza kingi na graph mingi ? Tufikiri kibiashara kabla hatujahukumu sana.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
202
180
1.2K
161.7K
mkaanani retweetledi
Hasta La Victoria Siempre
Lt Denis Urio, hakuchagua ahadi zenu alichagua taifa mana ana familia akafollow order, badae mkamsaliti. Ulio alikuwa kizuizini 671, badae mkampa ahadi nyingi awe soft. Urio alichagua taifa na familia. Mpeni haki zake
Hasta La Victoria Siempre tweet media
Indonesia
4
38
240
8.2K
mkaanani retweetledi
Dullah_theKing🎧
Dullah_theKing🎧@DullahTheking2·
ABDUL alipoletewa HOJA ya watu KUTEKWA na KUPORWA ROHO, yeye alijibu 👇🏽 "Tupo Busy na MIRADI" Na bado kuna WAJUAJI wanathubutu kumponda STAMINA MKUMBO MKUMBO MKUMBO
Indonesia
21
30
397
9.7K
mkaanani
mkaanani@BenjaminiKeneth·
@Adventure_36 Inabidi nikapange huko nile papuchi kwa bei kitonga
Filipino
0
0
0
9
mkaanani retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 11, Anaendelea Mhe. Lissu Sasa naomba nizungumzie kesi yenyewe sasa. Kwa kuanzia baada ya kusikiliza information ilivyosomwa yote baada ya kusoma haya maelezo yote. Cha kwanza ninachoweza kusema ni kwamba Hapa hakuna uhaini. Pili hapa hakuna kosa lolote la jinai. Hakuna uhaini na hakuna kosa lolote la jinai. Mashitaka yanasema nimefanya kosa la uhaini. Kifungu cha 39(2) (d) cha penal code kinatengeneza kosa la aina gani? Ni kweli mimi ni raia wa Tanzania lakini nia ya kufanya uhaini ni kuzuia uchaguzi, kuvuruga uchaguzi, imesemwa imerudiwa imerudiwa. Je kuzuia uchaguzi ni kosa la uhaini? Au wanasema wakiyatoa wapi? Kifungu cha 39 kinasemaa uhaini ni kutishia Bunge, Serikali na Bunge. Kuzuia Uchaguzi sio uhaini. Kwa sheria za Tanzania kuhamasisha kuzuia Uchaguzi sio uhaini labda wawe na sheria zao binafsi huko sirini. Sheria ya Uchaguzi imetengeneza makosa ya Uchaguzi imeandikwa kiswahili. Hakuna kosa linaloitwa kuzuia uchaguzi. Hakuna kosa la kuvuruga uchaguzi. Sio jinai kwa mujibu wa sheria. Nashangaaa inakuwaje uhaini kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi? Hebu nyie mawakili wa serikali mseme inakuwaje uhaini? Mheshimiwa utakumbuka tangu mapema kabisa kwamba hii kesi sio kesi ya kwanza ya uhaini Tanzania ni kesi ya nne. Kwahiyo tunayo Precedent ya Mahakama ya afrika mashariki na mahakama ya rufani ya Tanzania zote zinaeleza kuhusu mambo ya uhaini. Tunamuomgozo wa kesi ya uhaini inavotakiwa kuwa na Muongozo wa Mahakama ya rufani on how to frame a charge of treason. Mwongozo unasema pawe na statement of the offence, particulars and overt act hiyo nia iwe na tendo la wazi. It must be pleaded, Utekelezaji lazima uwepo na uelekezwe. Wamekoroga mashitaka hayaeleweki, haijulikani overt act ni ipi? Walichokifanya hapa ni mkorogo maana hakuna charge hapa. Jambo lingine muhimu kuhusu hii information ni kwamba maelezo Mheshimiwa Lissu alisema alisema alisema. Swali ni kwamba Je maneno peke yake yanatengeneza uhaini? Maneno matupu yanatengeneza uhaini? Kwa mujibu wa mahakama ya rufani Khatibu Gandi ilisema maneno matupu hayatengenezi uhaini isipokuwa yanatengeneza kosa la uhaini. Kuzuia uchaguzi sio kosa la uhaini na sio kosa la jinai. Hakimu anasema mimi pia leo nitapata relief wewe kuondoka kwenda mahakama kuu kwahiyo naomba naomba ujielekeze pia kwako na wewe utunze muda. Mhehsimiwa naomba niendeleee nisipotezewe muda tafadhali sana. Je Tundu Lissu peke yake anatosha kutenda kosa la uhaini? Hili kosa nimeshtakiwa peke yangu na hakuna mtu mwingine kabisa. Kwanza sheria inataka nifanye publication kwa watu wengine kuhusu huo uhaini na mipango yake. Sasa mimi hakuna mahali nimefanya publication. Wanasema JAMBO TV ndio walichapisha hayo maneno. Hakuna aliyesema kuwa Tundu Lissu amemtishia Rais, Bunge au mahakama? Hakuna hata mmoja amesema hivyo. Wote wamesema tutazuia uchaguzi tutafanya vurugu. Pia maelezo ya mashahidi hakuna aliyesema zaidi ya maneno niliyosema nilitenda kitendo kingine chochote. Hakuna aliyesema hata mmoja. Part 12, itaendelea post inayofuata. Naomba Repost yako.
Indonesia
77
575
1.3K
72K
mkaanani retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 10 Anaendelea Tundu Lissu Nilishiriki pia katika Bunge maalumu la Katiba la mwaka 2014 na 2015 nikawa mbunge pia. Nilitumikia nafasi hiyo sikumalizia Tarehe 07/09/2017 nilishambuliwa kwa risasi nyingi na kupelekwa nje kwa matibabu nikafutiwa ubunge wangu na Ndugai marehemu mwenyezi Mungu aiweke roho yake inapostahili. Pia 2017 nilikuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika na sikumalizia nafasi hiyo kwasababu nilizosema. Professionally nilipata heshima kuwa Rais wao kwahiyo tunapozungumza kuhusu treason tunauzngunza kuhsu mtu wa aina hiyo. Mimi nimekuwa mwanaharakati katika maisha yangu yote. Mwaka 2016 nilipata tuzo ya chuo kikuu huko Marekani (BrichPort University) Maelezo ya tuzo hiyo inasema TUNDU LISSU ni mtetezi wa haki za binadamu na mazingira Tanzania na Afrika. Nilipewa hiyo tuzo. Ni muhimu kusema mambo haya ilitumjue Tundu Lissu ni nani na yanamaanisha nini? Yanamaanisha kwamba huyu mtu anbae amechaguliwa na wananchi, Amepata heshima ya kuwatumikia wanataaluma wenzake, Heshima ya kutambulika na taasisi za kimataifa. Haya yote yanasema ukweli mmoja kuwa, MIMI NI MPIGANIA HAKI, DEMOKRASIA NI MTETEZI WA HAKI ndo maana nimetambuliwa hivi. Mimi sio MHAINI, Mimi sio mhalifu na sio yote hayo uliyoyasikia hapa. My contribution recognised nationally na internationally. Hii kesi ya uhaini ni kesi kweli au ni siasa tu? Mambo hayo niliyosema yanakusaidia kujibu swali hilo hapo juu. Lingine uelewe kwangu mimi ni mwendelezo wa mashitaka ambayo nimefunguliwa kwa zaidi ya miaka 23 nimefunguliwa mashitaka kwahiyo huu ni mwendelezo tu. Kesi yangu ya kwanza katika Mahakama hii katika chumba hiki siku ya Christmas mwaka 2002 mbele ya hakimu Lugulu kwenye chumba hiki hiki kosa lilikuwa uchochezi. Tulimkosoa Rais Mkapa kutokana na wachimbaji wa wadogowadogo 1996 nikapewa kesi ya Uchochezi nilikaa nayo kwa miaka 6 baada ya miaka 6 kesi hiyo ilifutwa bila maelezo. Baada ya hapo miaka 10 ya kikwete nilishtakiwa mara tatu, mara moja Tarime, nilikoenda kupinga mauaji nikashitakiwa huko kesi ya criminal trespasses, 2012 nikafunguliwa kesi mbili Arusha mjini, kesi ya kwanza kupinga mauaji ya waandamanaji 2011 tukaenda kupinga nikafunguliwa kesi. Kesi ya pili Arusha nilienda kupinga mkutano wa Chadema kupinga wanachadema kuuliwa arusha ikafutwa pia na kesi hiyo. Tulivyoingia Tanzania ya Magufuli kwenye mwaka mmoja wa Magufuli 2016 hadi 2017 kwenye mahakama hii na kwenye chumba hiki nilishatakiwa kwa kesi sita nilikuwa nikipinga mambo ya Magufuli. Nilipochaguliwa RAIS wa TLS nilitokea hapa Kisutu na kwenda kushinda uchaguzi wa TLS nilikamatwa na mapolisi mara nane. Kesi zote hizo pia zilifutwa hizo kesi zilifutwa na hakuna aliyekuja kutoa ushahidi hata mmoja. Ikaja ile habari ya risasi walitaka kuninyamazisha forever. Tangu mwaka jana hadi leo nimeshakamatwa na Polisi mara 3 nilikamatwa Mbeya, August mwaka jana, mara ya pili 13/09 nikakamatwa pia kulikuwa na mauaji ya Mzee Kibao walikuja nyumbani kunikamata. Anasimama Katuga anasema haya maelezo ya Lissu hayana umuhimu wowote, asiyaseme na ni kinyume na Sheria. LISSU Anasema yeye sheria yuko nayo na anasoma Sheria. Lissu anasema anachokisema wakili wa serikali ni non sense huwa sipendi kusema maneno haya lakini anapaswa kurudi shule huyu asome kifungu cha 53 cha sheria ya ushahidi kwaba good character is relevant to the case. Hakimu anasema maelezo yote ajielekeze kwenye charge sheet Lissu anasema mheshimiwa kazi yako wewe ni kuandika na mimi kazi yangu nitasema kama hutaki kuandika usiandike ila mimi nitasema. 🤣🤣🤣🤣 Wapendwa Leo mambo yangekuwa live vingekuwa ni vituko sana vinaendelea hapa ndan Hakimu kapanic, Mawakili wa Serikali wamepanic, Mhe. Lissu anawashona bila ganzi 😂😂😂😂😂 Part 11, itaendelea post inayofuata, Naomba Repost yako.
Filipino
81
533
1.4K
72.7K
GuardianRec | Asset Recovery Experts
CHADEMA jitokezeni hadharani muoimbe msamaha club ya Yanga SC na mfute yale mashtaka FIFA uhasama wenu na CCM msiulete kwetu Mkubwa hakosei yanga ni wakubwa sana kuliko nyinyi Viongozi wa CHADEMA itakeni radhi Club ya Yanga SC
GuardianRec | Asset Recovery Experts tweet media
Indonesia
36
8
66
2.6K
mkaanani
mkaanani@BenjaminiKeneth·
@AlexKomba19 Ccm na yanga ni kulwa na dotoo tunachangia kumuunga mkono mama
Filipino
1
0
1
19
Alex debrizy
Alex debrizy@borntown2025·
Mashabiki wa YANGA ambao hawajawahi kuchangia chochote kweny timu yao hali yao muda huu 😂👇
Alex debrizy tweet media
Indonesia
7
9
21
597
mkaanani retweetledi
KIDUKU
KIDUKU@TanzaniaOneJezi·
Upo Sahihi Kabisa
KIDUKU tweet media
Filipino
2
6
59
1.4K
mkaanani
mkaanani@BenjaminiKeneth·
@fintanjr_ Kama katika mpira wa sasa bado unamtegemea ngungu boy unategemea kufanikiwa c ujinga mwingne...mwanasiasa kuingia kwenye mpira ni hatari nyngne
Indonesia
1
0
0
23
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Wanapotuzidi Yanga now ni sehemu moja tu, walikubali na wakaamua kuwa na mabadiliko hasa transformation kutoka kwa wazee na kuwa na vijana wanaotazama mpira katika ulimwengu wa kisasa,. Ila huku kwetu ni kama vizee vya TREI hata kutumia komputa walikuwa hawataki😂💔
The champ👑 tweet media
Indonesia
6
13
29
621
mkaanani retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Watamalizana nyumbani😅😂
Indonesia
3
10
31
1.8K
mkaanani retweetledi
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
TAFAKARI YETU 📌 Tulipokuwa tunasema Bashe na kundi lake wanajenga mtandao kama waliojenga wakati wa Lowassa wengi wenu hamkuwa mnasikia na kuelewa. Bashe na kundi lake la Lowassa waliapa kuwa awamu hii hawatafanya makosa na lazima wachukue uongozi wa nchi hii sasa na 2030 wengi hamkuwa mnaelewa. Tuliposema Bashe anapigia simu makatibu wa CCM wilaya na mkoa na kusema ametumwa na viongozi wa juu wa chama akimaanisha Katibu Mkuu na Mwenyekiti wengi hawakuwa wanaelewa. Alitumia mwanya huo kutishia vikao vya maamuzi huko chini kupitisha watu wao akina Mwambe,Katani na kukata majina ya wale ambao ni kikwazo kwao na wanaoana siyo wana mtandao wenzao! Bashe ametumia muda mwingi kukusanya mabilioni ya fedha kwa mafisadi wa nchi hii wakiwemo akina Ahmed Huwell na kampuni yao ya Mkwawa Tobacco Processing iliyompa Bashe 10bn TZS kwa ajili ya kampeni yao hii ya kutwaa uongozi wa nchi hii ikiwemo uwaziri mkuu ambao Bashe anaota kuupata!. Kutosikiliza na kushughulikia mambo haya leo yamekitia chama kizima kwenye mkwamo wa kihistoria kwa vikao vya uteuzi kukwama kwa sababu madudu ni mengi na mtandao wa Bashe na kundi lake la Lowassa umetambaa nchi nzima na wagombea wao wa mchongo wamepitishwa karibia 95%. Malalamiko ni mengi na rushwa imetembea safari hii ni kubwa kuliko maelezo na imekifikisha chama kikongwe CCM hapa kilipo leo kimeshindwa kwenda mbele kwa sababu madudu yapo kila mahali na uchaguzi uliofanywa hauwezi kusafishika kwa haraka zaidi ya kufuta vikao hivi ili kwenda kujipanga upya.! Tunapokuwa tunasema haya mambo ni kwa kuwa tunaipenda sana hii nchi na tunataka kuipatia viongozi safi na bora kwa sababu hii ni nchi yetu lakini kwa kuwa mnathamini wasomali na watutsi na wanyamulenge matokeo yake ndiyo haya sasa wanajaribu nchi. Haya mambo ndiyo yanafanya watu kama akina Polepole wanafikia mahali kuongea maneno ya kejeli kuwa Tanzania ni kama nyumba iliyokosa mwenyewe!. Kama taifa na nchi tuko sehemu ngumu sana na tukichukulia mambo haya ni marahisi kuna siku nchi itaingia kwenye mtanziko mkubwa sana wa kisiasa na kiuongozi.. Narudia tena kundi la Lowassa likiongozwa na Bashe na wenzake ni kundi hatari sana kutuhusiwa kuingia tena kwenye siasa na ni kundi hatari sana kwa usalama wa hii nchi! Kama hamtaki haya! Ila majibu yake ntayapata soon haya ya sasa ni mwanzo tu mbona makubwa yanakuja huko mbele na CCM isipoangalia itapasuka vipande vipande Kwa kifupi ni kuwa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM umevurugwa na kundi la akina Bashe.!.. Kwa hiyo CCM kazi mnayo yaani. #KigogoMediaUpdates
Kigogo Media tweet media
Indonesia
0
4
14
4K
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Mh Godbless Lema na Maria Sarungi wamgaragaza Humphrey Polepole vibaya mno. Unabii wa Lema watimia.
Indonesia
18
13
30
4K
mkaanani
mkaanani@BenjaminiKeneth·
@Muwindaji Kama furaha unategemea simba na man united kaka...una safarii ndefu nunua taulo la kujifutia machozi maana kitambaa cha mkononi hakitakutosha
Indonesia
0
0
0
18
mkaanani retweetledi
Luhaga Mpina
Luhaga Mpina@LuhagaMpina·
“CCM inaweza kuongoza nchi hii hata kwa kutumia mabwege.” - Baba wa Taifa, 1995
Luhaga Mpina tweet media
Indonesia
77
195
1.3K
26.6K
mkaanani
mkaanani@BenjaminiKeneth·
@EsirEid Rizkii uwa haijalishi inatoka kwa nani na inaenda kwa nani..maana inapangwa na Mungu.
Filipino
0
0
0
24
mkaanani retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Hello ARUSHA 👋🏽 Huu ndio muda wa sisi IT GURUS kuingia kazini… KAZI Haina Chama✌️✌️ Nkiwa na Boss mwenye Project yake Mheshimiwa PAUL MAKONDA ✈️✈️✈️
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 tweet media
Filipino
200
84
1.4K
56.3K
mkaanani
mkaanani@BenjaminiKeneth·
@CharlieBihemo Kumbee bongo kila mtuu kachanganyikiwa ila wanasiasa ndio wamechanganyikiwa zaidi
Indonesia
0
0
0
47
CharlieBihemo
CharlieBihemo@CharlieBihemo·
Kumekuchaa 😃😃
CharlieBihemo tweet media
हिन्दी
5
2
18
5.1K