Bin Muhamady
3.5K posts


IRAN IMEBIDI WAWE WALPOLE TU , Elewa neno Mapendekezo ansante.
MAPENDEKEZO 10 YALIYOTOLEWA NA IRAN LEO APRILI 7, 2026 kama counter-proposal kwa mapendekezo ya kusitisha vita na Marekani/Israel.
Mwisho wa kudumu wa vita sio kusitisha kwa muda mfupi tu katika eneo lote.
Dhamana za usalama kwamba Iran haitashambuliwa tena na Marekani au Israel.
Kukomesha mashambulizi ya Israel dhidi ya Hezbollah nchini Lebanon na washirika wengine wa Iran katika eneo hilo.
Kuondolewa kabisa kwa vikwazo vyote (sanctions) vya Marekani na kimataifa dhidi ya Iran.
Kukomesha migogoro yote katika eneo pamoja na Iraq, Yemen, n.k.
Itifaki ya usalama wa kupita protocol for safe passage kupitia Strait of Hormuz, ikiruhusu Iran kudhibiti au kutoa sheria.
Kufungua tena Strait of Hormuz kwa meli, lakini kwa masharti.
Kutoza ada ya takriban $2 milioni kwa kila meli inayopita kugawanywa na Oman.
Msaada wa kujenga upya (reconstruction) wa miundombinu iliyoharibiwa na mashambulizi, kupitia mapato ya ada au fidia.
Mwisho wa uhasama na kurudi kwa mazungumzo ya amani ya kudumu, pamoja na kukubalika kwa urutubishaji wa nyuklia wa Iran na mambo mengine.
Wamekubali TRUMP SIO OBAMA AU BIDEN 😅😅😅


Indonesia

@ayubu_madenge Hata kama itapatikana cease fire ya kudumu, Iran kashavunjwa miguu, it's proxies kama Hamas, is no more, Hesbollah iko hoi, nchi imebaki magofu tu, viongozi wengi wameuawa, so what then
Indonesia

@ayubu_madenge @mackphason Sasa, regime change is in America, not Iran.
English

@Sativa255 Yaan ilo tukio liwe kubwa lakimichezo kupita world cup
Suomi

@VividProwess @Ibrahim_alFiqar How many Arab leaders you Martyr,what is the succeed
English

@Ibrahim_alFiqar Israel will live, but you will definitely get what you wish for.
English

@saloma_and_gmra @LionsOfZion_ORG We so happy when we hear bad news about jews
English

@_zolendronic @DynamicsNation_ Wazee wasix war daah kabla yamitandao jamaa walituokota hawa
Filipino

Sera ya US na Israel ni leave no one behind. One for all, all for one..
Uliona Gaza walivyochapika kwa kukaa na maiti za wayahudi? Ndo hivyo sasa, hizo ndege watatengeneza zingine in no time
Billy@BillyTronix1
Utaambiwa tu US wamefanikiwa kumuokoa F-15 pilot ila huwezi ambiwa wamepoteza ndege zingine 4 in a process Two C-130 na 2 Black Hawk helicopters
Filipino

@BinMuhamady @slegray37842 @ayubu_madenge Fanya utafiti dogo, wakutafunie na wewe umeze tu? wacha uzembe
Polski

@MugoSantin55907 @slegray37842 @ayubu_madenge Historia hiyo inapatikana ktk kitabu gan au inapatikana ktk nyaraka zipi
Indonesia

Hii ni Chinook, ni moja ya Takataka mbele ya Iran.
Tecnolojia hii ukiipeleka Iran haichukui sekunde 15
Tazama ilivyo fanywa baada ya kujaribu kuipeleka Katika mipaka ya Iraq na Iran Kumuokoa Rubani wao.
Alafu anakuja Mtoto mdogo anasema Marekani ilipeleka helikopta zao Ndani ya Iran zikamuokoa Rubani wao na kuondoka nae.
Jamani jamani Mnafichwa mengi.

Indonesia

@kamchetki @privaldinho Tunataka ufalme nao uwe wakugombea kwakila mtu usichoelewa apo nn
Filipino

@privaldinho Mango huna kazi za kufanya nini?
Sasa hapa unataka kubishana nini? Kwamba hujui UK ina ma PM wangapi?
Acha kupotezea watu muda
Indonesia

Sawa ufalme ni nini na una faida gani kwa Uingereza? Kwanini huo ufalme usifanywe kidomekrasia pia?
Ray Asel@rayasel94
@privaldinho Ufalme sio serikali, serikali ya Uingereza inaongozwa na prime minister
Filipino














