Calv

13.8K posts

Calv banner
Calv

Calv

@Calvjuls13

Free smoke free Hennessy, more life to my enemies😎 Arsenal🔴 Yanga🟢

Ludewa, Mangalanyene Katılım Ekim 2020
693 Takip Edilen636 Takipçiler
Big_Nicky01✊️
Big_Nicky01✊️@Nicky__001·
Ladies kama wewe ni mbovu, mbaya , msimbe just admit tu hakuna mambo ya kujipa moyo duniani kuna wanawake wabaya na wazuri kimuonekano ukishajua kundi lako ni rahisi kujua unatakiwa ujipost au laaah wengine bakieni mafichoni acheni usenge kmmmk .
Indonesia
16
16
47
3.1K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Tanzania lakini tunaweza kutengeneza hata mataili ya ndege tu au bado sana?
ЄƦ30 tweet media
Indonesia
17
3
45
2.3K
Calv
Calv@Calvjuls13·
@Excess300 Hapana, ni njia tu kuyafikia hayo.
Indonesia
1
0
2
16
𝙓𝙨
𝙓𝙨@Excess300·
Je, haya ndio Maisha uliota kuwa nayo?
Filipino
11
7
24
698
Calv
Calv@Calvjuls13·
@kibaha_finest Mwanamke mzuri kama hujamvua tu baada ya hapo tabia zake ndio zitaamua awe mzuri au vipi
Suomi
0
0
0
30
kibaha_finest
kibaha_finest@kibaha_finest·
hivi unaweza kumwambia demu kama huyu let break-up surely.🤔🤔😢
kibaha_finest tweet media
Indonesia
47
18
122
5.3K
Calv
Calv@Calvjuls13·
@_blasxc_ Umelipwa dollar 700 hongera
Indonesia
1
0
1
436
blas 
blas @_blasxc_·
Zile odds 53 za sativa jana nilipewa Cashout ya 850K nika ikataa💔😭
blas  tweet media
हिन्दी
23
10
142
11.6K
Calv
Calv@Calvjuls13·
@MarekaMalili Lakin kwenye story hamna sehemu kasema dada wa watu hakuwa na taqo😀😀
Indonesia
1
0
1
293
KIPEPE RUNGU🇹🇿
KIPEPE RUNGU🇹🇿@DanfordTun96400·
Mimi ni Mkristo lkn naamini Hakuna Imani bora kuliko imani Nyingine. Huwa nawashangaa sana wanaosema Imani fulani ni ya kweli kuliko imani fulani, Huo ni Ufinyu wa Maarifa kichwani na Uvivu wa Kufikiri🚮
Indonesia
25
17
75
2K
Calv
Calv@Calvjuls13·
@Jaguar_455 Ujambazi ni vitu vya kujisifia? Ili uwe noma lazma uwe jambazi😀😀
Indonesia
0
0
1
85
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Kama ujawahi vaa hii kitu usinishauri kuhusu maisha staki.
JAGUAR. tweet media
Eesti
37
25
130
6.6K
Calv
Calv@Calvjuls13·
@Therealngassa Inapendwa au jezi zao ndio zinapendwa? Muulize huyo mdada akutajie wachezaj wawil wa Brazil currently uone maajabu😀😀
HT
1
0
1
12
NGASSA+255
NGASSA+255@Therealngassa·
Kuna timu ya taifa duniani inayopendwa na wadada kama brazil 🇧🇷
Indonesia
1
3
22
345
Calv
Calv@Calvjuls13·
@kasesco_tz Luka 15:11-32 Kuna story ya mwana mpotevu, huyo ndio mbongo pure.
Filipino
0
0
0
285
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ni Muhusika gani kwenye biblia unaona ni kama alikuwa Mtanzania...?😅
Filipino
47
30
165
9.7K
Calv
Calv@Calvjuls13·
@TravisKitengo_ Sina husiano na mke wa mtu so siwez amka hivyo
Indonesia
0
0
1
62
Travis
Travis@TravisKitengo_·
Ukiamka hivi asubuhi utafanyaje? 😁😁
Travis tweet media
Indonesia
55
39
140
7.5K
Nico O'Reilly 🩵
Nico O'Reilly 🩵@Dume_Jeuri__·
Zile odds za Macau dhidi ya Tanzania 🙌🙌 Kama taifa likiamua tu tumfilisi muhindi na kufuta deni la taifa pale inawezekana kabisaa Ni kutia mzigo tu watu wachomeshe goli moja tucheke tu sisi
Indonesia
7
12
172
18.9K
Calv
Calv@Calvjuls13·
@bontojr4 Hata kama una namba zao we post memes tu status wakuone huna malengo😀
Indonesia
1
0
1
11
𝐁𝐎𝐍𝐓𝐎 𝐉𝐑
BAKI NA HII 👉 Ukiwa unafanya kazi mahala penye watu wengi hata kama unapiga pesa nyingi ishi maisha ya chini huku unafungua mirija mingine ya kukuongezea kipato. Walio kuzunguka hawataki uwazidi na kuona unafanikiwa. Chuki,fitna huja baada ya kuona unawazidi.
Indonesia
5
5
13
155
Calv retweetledi
Teoludo-47
Teoludo-47@Teoludo47·
Kuna muda utasema nimejaribu kila namna, NIMETOA kila kitu, nimepambana vya kutosha lakini still bado hakuna kinachotokea. MAMEN, mara nyingi miujiza inakuja siku ile ambayo roho imechoka zaidi. Ukiacha, unakuwa umepoteza ushindi uliokuwa mita 2 mbele. PUSH one more time!
Indonesia
2
9
24
349
Calv
Calv@Calvjuls13·
@canivo_ Joyce Lomalisa Mutambala🙌
Filipino
1
0
3
348
Amy Mapaka
Amy Mapaka@canivo_·
Sema majina ya Players wa ki-Congo🇨🇩 yanakosha sana🔥 aura ya kutosha Jean-mark Makusu Mundende Jean Jacques Ngita kamanga Nelly Munganga Amy Mapaka 😂 Fabrice Luamba Ngoma Jesus Ducapel Fabrice Ngoy wa Ngoy
Filipino
20
15
148
6.7K