MgangaMeno

5.8K posts

MgangaMeno banner
MgangaMeno

MgangaMeno

@Choga_Innocent1

Dental Surgeon| Academician former-Prime Minister @MUHASSO |concerned Citizen URT|🕋|Oral health in simple language| Husband

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2021
1.8K Takip Edilen2.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
MgangaMeno
MgangaMeno@Choga_Innocent1·
Hivi kwanini tunajenga utaratibu wa kumkwepa Daktari? Yaani mtu anatoka nyumbani, anaenda maabara, anapima halafu moja kwa moja anaamua kwenda Pharmacy kununua dawa. au ndo tumeamua kuishi hivi🥺
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
104
30
406
37.6K
MgangaMeno retweetledi
SA
SA@SalumAwadh·
JINSI YA KUANZA KUWEKEZA NA HALI YA MASOKO YA FEDHA AFRIKA MASHARIKI Jisajili na ushiriki Semina hii imeandalia kwa wale ambao wanataka kuanza kuwekeza lakini hawajui waanzie wapi. Maswali yamekuwa mengi. Tumeandaa hii bila malipo 2026 uwe mwaka wako wa mabadiliko. Jisajili us06web.zoom.us/meeting/regist…
SA tweet media
Indonesia
0
9
25
1.6K
MgangaMeno retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hapa ni Mwenge kwenye mataa. Lakini mimi sio mteja. Niliwahi kumwambia Ummy Mwalimu wakati ule alipokuwa Waziri wa Afya kuhusu hatari ya hizi dawa za kuongeza nguvu za kiume zinazouzwa hovyo mitaani kama karanga. Ni jambo hatari sana. Si ajabu siku hizi magonjwa kama figo na shinikizo la damu yamekuwa mengi hata kwa vijana wadogo. Afya ya uzazi inahitaji elimu na nidhamu, ngono ni sanaa, si fujo. Tuache kuendeshwa na stori za vijiweni, tujali afya zetu kabla haijawa too late.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
73
148
1.3K
100.5K
MgangaMeno retweetledi
SA
SA@SalumAwadh·
The six (6) halal stocks we are tracking on East African stock markets Year-To-Date Performance Tanzania 1. Twiga cement: 66.11% 2. Swissport: 43.64% Kenya 1. Safaricom: 69.50% 2. Africa Mega Agricorp: 2.86% Uganda 1. MTN: 13.45% 2. QCIL: 81.10%
SA tweet mediaSA tweet mediaSA tweet mediaSA tweet media
English
1
7
26
2.2K
MgangaMeno
MgangaMeno@Choga_Innocent1·
uchafu wa aina hii(ugaga/calculus) HAUWEZI kutoka kwa kupiga mswaki kwa nguvu, nenda ukasafishwe kwa vifaa maalum na Daktari wa Kinywa na meno. #Jivunie_Kinywa_Chako
MgangaMeno tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
4
11
45
4.2K
Ja Leto
Ja Leto@_falsi1ke·
Bro to bro: If you're studying a degree course and you notice they're a lot of women in your classes, that is a useless degree.
English
466
1.3K
18K
557K
MgangaMeno retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Mteja akikuuliza bei MJIBU usimwambie njoo DM Mteja akiuliza duka lilipo Toa location exactly acha kusema tupo Kariakoo. Mteja akiomba punguzo MPE PUNGUZO acha kusema bei ni hiyo hiyo mtolee hata 100 ndio punguzo lenyewe. Mteja akitaka mawasiliano mpe namba inayopatikana..
M.D (🅨) tweet media
Filipino
32
95
597
28K
MgangaMeno
MgangaMeno@Choga_Innocent1·
@MangiwaMoshi 😁😁😁 hadi ifike huku kwetu tutakua tushastaafu au tumekufa
Indonesia
1
1
1
11
MgangaMeno retweetledi
Abdalah Mohamedi 🦷
Abdalah Mohamedi 🦷@Dr_Alwatan_DDS·
The 40th Tanzania dental Association @dental_tda with the theme "Harnessing technological innovations to advance Oral health in Tanzania" It's happening now at City council hall,Mtumba,Dodoma.
Abdalah Mohamedi 🦷 tweet media
Tanzania 🇹🇿 English
0
2
4
71
Salés Nicco
Salés Nicco@OnlineDentistTz·
Rais wa majabali apunguze kuongea. He is exposing himself sana.
Indonesia
2
2
7
558
MgangaMeno
MgangaMeno@Choga_Innocent1·
@OnlineDentistTz 😜😜😜😜 ujasiri wote wa kukata tumor hausaidii hapa Daktar?
Indonesia
0
0
0
37
MgangaMeno retweetledi
Salés Nicco
Salés Nicco@OnlineDentistTz·
HAIWEZEKANI, bali tu kukikwa na hitilafu katika kifaa/namna ya upimaji. Lakini, Ukizingatia masharti ya matibabu mtu anaweza kufika kiwango ambacho kiasi cha virusi hakipimiki (undetectable viral load). Hatua hii, hua ni salama kujamiiana na kupata watoto bila kupeana maambukizi
kasesco☆@kasesco_tz

Hivi kuna ukweli hapa..?👇🏾

Indonesia
0
3
13
1.3K
MgangaMeno retweetledi
Mturi, C. ✨
Mturi, C. ✨@ChachaWegelo·
Leo nimetunukiwa Shahada ya awali ya Udaktari binadamu kutoka UDSM-@UdsmOfficial. Nikiianza safari yangu kama daktari, haki na afya za Watanzania vitabaki kipaumbele changu. Shukrani kwa kodi na rasilimali zenu—hakika mnanidai.
Mturi, C. ✨ tweet media
Indonesia
27
25
154
8.8K