Topherz Patrice @🇹🇿
616 posts


@kaji_sijo Hakuna Siri yoyote inayovuja kutoka kwa makardinal wewe endelea na Uzi wako kupotosha wasio na Imani, hakuna kardinal anaweza kutoka nje na akakuambia story hii
Indonesia

Kulingana na taarifa zilizovuja kutoka kwa kardinali mmoja aliyeshiriki katika uchaguzi huu.
Inasemekana wakati Moshi mweusi umevuka hiyo siku ni kwamba jamaa kutoka Guinea alipata kura 10 katika raundi ya kwanza, 35 katika ya pili, na 40 katika ya tatu, kabla ya idadi hiyo kushuka hadi 26 katika raundi ya nne.
Ambapo huyu jamaa kutoka Marekani alipata kura 84 na kuchaguliwa kuwa kiongozi wa 267 akirithi mikoba ya aliyekuwa kiongozi tulempoteza juzi kati.
Unaambiwa kulikuwa na mvutano mkubwa kuandaa kiongozi mpya wa kwanza kutoka Marekani kuliko kuandaa kiongozi mweusi yaani kutoka Guinea.
Endelea Na Uzi 🧵⤵️


Indonesia

@AMARYAMARY9 Hakuna mwanajeshi wa JWTZ anaechukua mshahara chini ya milioni moja acha uongo mzee
Filipino
Topherz Patrice @🇹🇿 retweetledi

@nyuki_malkia Kipindi Cha ramadhani wateja wanapungua sana 😃😃
हिन्दी

@YoungAfricansSC Viongozi wetu wa Yanga mjitafakari sana,,, Simba SC yupo nafasi ya 4 Klabu bora Africa sisi tunacheza Ndondo za NBc kweli?
Mkiendelea hivi mimi nahamia Simba SC siwezi kuvumilia kuteswa na Watani
Indonesia

@hans_kejo @Mzeewajambia Asiporidhika na jibu hili basi apigwe mawe
हिन्दी

@Mzeewajambia Negativity ideology unayoijenga against Yanga inapunguza uwezo wako wa kufikiria sahihi.. Nxt match is vs Azam, you need your best player to take a rest kabla hawaja knock. Na with the intensity angeweza akamaliza dk 90 asifunge..why achoshwe zaidi.!? Think
Indonesia

#FansMVP Πολυτιμότερος κόντρα στον ΟΦΗ ο #Samatta! #StoiximanSuperLeague #stoiximan #slgr #PAOK #OurWay
➡️ paokfc.gr/nea/20250213-f…

Ελληνικά
Topherz Patrice @🇹🇿 retweetledi
































