Snipes Clack

424 posts

Snipes Clack

Snipes Clack

@ClackSnipe71263

United States Katılım Kasım 2025
113 Takip Edilen17 Takipçiler
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Ni nadra sana mwanaume mwenye gari kukataliwa na demu anapomtongoza😀hata kama ameoa🙌
Filipino
14
14
254
15.5K
Snipes Clack
Snipes Clack@ClackSnipe71263·
@therealrigoh Duu aisee. Niwe tu mvumilivu humu bolt siku nitapata mshangazi ununulie v8 nitambe 😂😂😂
Indonesia
1
0
0
62
Joker
Joker@CryptoMonstertz·
@bajabiri Refined inaagizwa kwa tone ila Crude ndio inapimwa kwa Barel.... na tz tunaagiza refined. wengi hawana knowledge ya bulky procurement ya mafuta refined
Filipino
2
0
2
1.2K
The SPECIAL ONE ™️
Asante kwa ufafanuzi. Binafsi ndo nimejua leo kuwa MAFUTA HUUZWA KWA TANI kama Maharage ya Mbinga. We learn everyday
Gerson Msigwa@MsigwaGerson

#UfafanuziMuhimu // Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani. Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo; 1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026. 2. ⁠Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026. 3. ⁠Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026. Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine. Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.

Indonesia
44
38
332
23.4K
Snipes Clack
Snipes Clack@ClackSnipe71263·
@GraceNguo Finally i got service i can book you. I should get the appointment now 🤣🤣
English
1
0
1
173
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
X wataalam pixel 6a ukitaka ku FACTORY RESET inaandika hivo shida nini..?
Real Nigger tweet media
Indonesia
11
2
39
8.7K
Snipes Clack
Snipes Clack@ClackSnipe71263·
@Twaha_Mwaipaya Ndio anajua magraph ya uchumi huyu. Hajui kuhesabu matofati 😂🤣🤣🤣
Indonesia
0
0
0
746
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
Tulieni Tanzania MAFUTA bei ipo chini huko Europ mafuta ni Euro 6000 marekani Dollar elfu 8, humu hamna MTU.
Indonesia
153
153
938
31K
Snipes Clack
Snipes Clack@ClackSnipe71263·
@XMusk04 @AnthonyEme27082 Atajua hajui. Unaachaje mali inayohamishika wewe uende ughaibuni. Akomae na waarabu huko atuachie sisi Locals 😂😂😂
हिन्दी
0
0
0
23
Msambinungwa😍😂
Msambinungwa😍😂@AnthonyEme27082·
Unajua tulipofikia now hii kimara suka ijengwe daraja kama la kimara mwisho waenda kwa miguu tupate nafuu, aiseeh this is to much waah💔yani leo nimekoswa koswa na boda boda hadi saa hii bado natetemeka 🙌🙌
Indonesia
6
3
27
2.3K
Snipes Clack
Snipes Clack@ClackSnipe71263·
@JoseTillya @Rydx_017 Itabidi niijaribu hii pia. Nilikuwa naamini Total ndio wazuri. Ila kwa sasa naona ni michezo tu hamna kitu
Indonesia
2
0
1
83
✨𝟚 𝟘 𝟚 𝟞✨
Kuna watu wana pesa kweli mtu anaweza kwenda bar akatumia hadi 12M, na sio tukio la mara moja; wiki inayofuata anarudi tena kama kawaida. Hela mnazitoa wapi wakuu? 🤨
✨𝟚 𝟘 𝟚 𝟞✨ tweet media
Indonesia
44
16
149
20.1K
Snipes Clack
Snipes Clack@ClackSnipe71263·
@GraceNguo Tuma ukirudi tuwe na After birthday part 😂😂😂
Filipino
0
0
0
19
Dada Kucha💅🏽
Dada Kucha💅🏽@GraceNguo·
Ni mwendo wa kupanda daladala tu hela za Uber zishaniishia😂😂
Polski
5
4
43
1.5K
Snipes Clack
Snipes Clack@ClackSnipe71263·
@MarekaMalili Suala la VPN tuko pamoja wote. Ila naona kwenye mafuta wanatuacha mbali sana
Filipino
0
0
1
581
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Hivi na wao wanatumia VPN humu?
Indonesia
8
1
47
12.7K