Classickizito

79.6K posts

Classickizito banner
Classickizito

Classickizito

@Classickizito

Tour Guide & Photographer | Showcasing the raw beauty of nature, lodges, and travel experiences 🇹🇿 🌍 Booking 🇹🇿+255787016223 ✉️ [email protected]

Earth 🌎 Katılım Şubat 2022
1.9K Takip Edilen8.4K Takipçiler
Classickizito retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBest·
Akina mama wengi bado wanakosa huduma salama baada ya kujifungua. Kuimarisha mifumo ya afya ni kulinda maisha ya mama baada ya uzazi. Kila mama anastahili huduma bora na heshima. Tuchukue hatua sasa kuokoa maisha. #BeyondLabelsVoices
Johnbest Mwahaja tweet media
Indonesia
2
12
15
732
Njiwa🇷🇼
Njiwa🇷🇼@njiwa__·
Ni dhahiri, Bwana Yesu amenipendelea🙏🏾❤️
Indonesia
1
14
62
2.1K
🇯🇲JamaicanSweetheart🇯🇲
Hivi hizi bei za nyumba nazoziona kwa madalali mtandaoni ndio bei halisi wanazopangisha au? Mbona balaaa sasa jamani🙌🏾 uwiii ni muda wa kujitafakari nakuanza kuishi kwenye pagala😂🔥
Indonesia
16
9
91
4.8K
Classickizito retweetledi
#ElimikaWikiendi
#ElimikaWikiendi@ElimikaWikiendi·
“Usitarajie chochote kutoka kwa mtu yeyote. Hakuna uhuru mkubwa maishani kama kuishi bila kumtegemea mtu.” - Mooji, Kiongozi wa Kiroho
#ElimikaWikiendi tweet media
Indonesia
1
38
129
2.1K
DevotaTweve
DevotaTweve@TweveDevota·
Mnatusimanga hatuna nundu kumbe na wapenzi wenu sio Tv za chogo 😅😅
Indonesia
12
9
99
6K
youngshon🎳
youngshon🎳@_oung22·
Good morning early risers 😌
English
23
28
60
471