Ruge

4.8K posts

Ruge banner
Ruge

Ruge

@ColMtanzania

Wise,team ♋🦀 cancer addicted with soccer ⚽.

Tanzania Katılım Mayıs 2013
391 Takip Edilen774 Takipçiler
Ruge retweetledi
𝐓𝐡𝐞 𝐏𝐫𝐞𝐬𝐞𝐫𝐯𝐞𝐫
HOW TO COMMAND RESPECT IN ANY ROOM 1) Don't say "Excuse me," say "May I have your attention?" 2) Don't say "Sorry for interrupting," say "I have something important to add." 3) Don't say "I think," say "I know" or "I strongly believe." 4) Don't say "Can I speak?" say "I'd like to share my thoughts." 5) Don't say "I hope," say "I am confident that..." 6) Don't say "I'll try," say "I will get it done." 7) Don't say "Is that okay?" say "Does that work for you?" 8) Don't say "Maybe," say "This is my decision.
English
1
124
471
21.8K
Ruge
Ruge@ColMtanzania·
@pastajoshuatz Kwa wahaya ni Ekitaterante sio Omubilizi
Indonesia
0
0
1
17
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Huu ni mmea wa ajabu unaojulikana kwa Kiingereza kama Lion’s Ear, Lion’s Tail, au Wild Dagga. Kitaalamu, unajulikana kama Leonotis nepetifolia. Katika maeneo ya hapa Tanzania unajulikana kama wasukuma nsogeti , Omubirizi kwa Wahaya , Olkiloriti kwa waarusha ,wamasai ,na Kwa Maeneo mbalimbali ya Kenya na kwingineko, una majina tofauti ya Asili kama Nyanyodhi kwa Waluo, Tsutsune kwa Waluhya, Mosibjot kwa Wakalenjin, Gichibi kwa Wameru, na mengine mengi. 》》 Hili linaloonyesha matumizi yake ni mapana na umuhimu wake wa kitamaduni. Hata kimataifa, unajulikana kama chandelier bush nchini Trinidad na ball bush nchini Barbados. 》 Huu ni mmea wenye majani mapana ambao umekuwa ukithaminiwa kwa vizazi vingi kutokana na sifa zake nyingi za kitabibu. 》 Kiasili, mmea huu Huwa nauchukulia kuwa dawa yenye nguvu kwa matatizo mbalimbali ya afya. 》 Hutumika sana kutibu matatizo ya tumbo kama maumivu ya tumbo, gesi (kujaa tumbo), kuharisha, kuhara damu (dysentery), kilimi, maambukizi ya amoeba, na bakteria wa H. pylori. Pia unaaminika kusaidia kudhibiti shinikizo la damu, matatizo ya tezi (thyroid)—iwe imezidi au imepungua na kupunguza uvimbe mwilini. 》 Kwa afya ya wanawake, mmea huu una thamani kubwa sana kwao . ☆ Hutumika kusaidia kurekebisha hedhi, kuleta hedhi iliyochelewa au kupunguza , pia kwa wenye shida ya kutokwa na damu nyingi. 》 Baadhi ya jamii wanaamini kuwa husaidia kuongeza uwezo wa kushika mimba na kusafisha mfumo wa uzazi. 》 Pia husaidia kupunguza maumivu ya hedhi na usumbufu wa tumbo. 》》 Magonjwa ya mfumo wa upumuaji kama mafua, kikohozi, homa ya mafua, pumu, na kubana kwa kifua hutibiwa kwa kutumia mmea huu. 》# Njia za matumizi ni pamoja na kuchemsha majani au mmea mzima na kunywa maji yake, au kuvuta mvuke (steam) kutoka kwenye dawa hiyo. Uta (nectar) kuvuta utamu kutoka kwenye maua yake, ambao mara nyingi hupendwa na watoto, husaidia kupunguza dalili za mafua. 》》 Mmea huu pia hutumika kwa matumizi ya nje ya mwili. Unaheshimiwa sana kwa kutibu majeraha, kuungua, maambukizi ya ngozi na vipele. Baadhi ya njia ni pamoja na kutumia majivu ya maua yaliyochomwa na kupata usila wake au kupaka majani yaliyosagwa kwenye eneo lililoathirika. 》 Pia hutumika kwa maumivu ya meno, tonsillitis (kwa kutafuna majani), maumivu ya sikio (kwa kuweka juisi ya majani), kilimi kwa kuchemsha majani na hata kusafisha macho .. 》 Aidha Faida nyingine , hutumika katika kudhibiti homa, malaria, mzio (allergies), maumivu ya mgongo, kizunguzungu, na hata matatizo kama ngiri (hernia). 》》 Utafti wangu mdogo juu ya mmea huu Baadhi ya jamii hutumia kama dawa ya minyoo na kusaidia tatizo la kufunga choo. ♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡♡ Njia za maandalizi hutofautiana. Njia ya kawaida ni kuchemsha mmea mzima au sehemu zake (majani, mizizi, au maua) na kunywa mara moja au mbili kwa siku. Majani yanaweza pia Kukaushwa na kusagwa na kisha mtu akanywa moja kwa moja na maji ya uvuguvugu, au kukaushwa na kusagwa kuwa unga na kutumika kama chai. Kwa baadhi ya matumizi, dozi ndogo na za tahadhari napendekeza, hasa unapoitumia mizizi kwa sababu ya nguvu yake. Kihistoria na kitamaduni, mmea huu una kumbukumbu nyingi za utotoni. Watu wengi hukumbuka kunyonya utamu wake kutoka kwenye maua yake au kutumia mashina yake kutengeneza vitu vya kuchezea. 》 Baadhi ya matumizi mengine ya Kiasili ni pamoja na kuvuta (kama sigara) majani au maua yaliyokaushwa kwa ajili ya kupunguza msongo au maumivu ya kichwa, ingawa inaweza kuwa na athari ndogo ndogo za kubadilisha hali ya akili (psychoactive), hivyo inapaswa kutumika kwa tahadhari.
PASTA JOSHUA tweet mediaPASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
9
21
60
6.7K
Ruge retweetledi
𝗠𝘂𝗱𝗮 | Your Car Guy
𝗠𝘂𝗱𝗮 | Your Car Guy@yourcarguytz·
HII NI KWA WANUNUZI WOTE WA MAGARI WATARAJIWA. Kununua gari sio rahisi. Watu wanasave kwa muda mrefu sana na wengine wanachukua mikopo ili kupata magari yao. Hata hivyo, sekta hii ina vikwazo vingi ambavyo mtu pekee anaeweza kumuokoa mteja ni huruma ya muuzaji wa gari. a Thread
𝗠𝘂𝗱𝗮 | Your Car Guy tweet media
Indonesia
9
75
127
53.2K
Ruge retweetledi
𝐓𝐡𝐞 𝐏𝐫𝐞𝐬𝐞𝐫𝐯𝐞𝐫
HOW TO UNDERSTAND PEOPLE IN 2 MINUTES 1) The one who is talking too much is the one who have weakest mentality. 2) The one who is always joking is often the most dangerous. 3) The one who avoids eye contact is usually hiding something. 4) The one who dresses flashily is often seeking attention. 5) The one who speaks slowly is often the most calculating.
English
12
178
1.3K
138.9K
Ruge retweetledi
Mfalme👑🇹🇿
Mfalme👑🇹🇿@MfalmewaX1·
Dear wafalme, kumbuka haya 1. Bosi wako sio rafiki yako 2. Acha umbea kazini 3. Aliyekuajiri anataka matokeo 4. Usiwe chawa wa bosi 5. Ficha maisha yako ya nyumbani 6. Kumbuka kuna mtu anakuchukia 7. Tumia lugha nzuri unapoongea 8. Fanya kazi, pokea ujira, Go HOME
Indonesia
0
21
123
1.8K
Ruge
Ruge@ColMtanzania·
@pastajoshuatz Makabiri wazi Kasulu mjini Pastor.
Indonesia
1
0
0
270
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Unachakata Mbususu ukiwa wapi muda huu?? Taja kiwanja nikupe kigoli hapo ulipo
Indonesia
29
10
139
7.8K
Side Bare
Side Bare@SideBare971039·
@ArthurGeil Hivi tatizo la moyo unadunda wakati umemaliza kukojoa mkojo kwa nguvu shida huwa nini na tiba yake ikoje
Indonesia
3
0
5
1K
Ruge retweetledi
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
HIZI MBINU 8 ZINAWEZA KUOKOA MAISHA YAKO SIKU MOJA 1. KAMA UNASHINDWA KUPUMUA VIZURI Weka mikono yako juu ya kichwa, mapafu yako yatafunguka haraka. 2. KAMA UMESHIKWA NA HOFU YA GHAFLA (PANIC ATTACK) Gusa kitu cha baridi (simu, chuma au maji). Ubongo wako hubadili hali kutoka hofu kwenda utulivu. 3. KAMA MOYO UNADUNDA KWA KASI SANA Kohoa mara 2–3 kwa nguvu. Hii husaidia kurekebisha mapigo ya moyo. 4. KAMA UNAHISI KIZUNGUZUNGU Angalia sehemu moja tu na kaza misuli ya miguu. Damu itarudi haraka kuelekea kwenye ubongo. 5. KAMA UNAWAZA SANA (OVERTHINKING) Hesabu kurudi nyuma kuanzia 100 kwa kupunguza 7 (100, 93, 86…). Akili haiwezi kuwaza kupita kiasi na kufanya hesabu kwa wakati mmoja. 6. KAMA HUPATI USINGIZI Toa pumzi taratibu zaidi kuliko unavyoivuta (mfano: sekunde 4 kuvuta, 7 kutoa). Ubongo huingia katika hali ya usingizi. 7. KAMA PUA YAKO IMEZIBA Shikilia pumzi kisha tikisa kichwa juu hadi chini taratibu. Husaidia kufungua njia ya hewa. 8. KAMA UNA WASIWASI WA GHAFLA Jimwagie maji usoni. Hii huamsha mwitikio wa mwili na kuleta utulivu. Ongeza Nyingine Tujifunze 👇
Indonesia
11
118
299
20.7K
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
@ColMtanzania Japokuwa tupo nje ya ratiba ila pt apime BP ya mchana na usiku akiwa nyumbani na kama hana mashine basi anunue. After about 5 days of measuring nitumie findings kule Dm then I'll advice from there. It’s not quite advised kutreat only one BP reading, I need home BP measurements.
Kenya 🇰🇪 English
1
0
1
18
Shakur Faith
Shakur Faith@shaks_prince·
Mnisamehe Machief(MDs)🙏🏽. Najua hakuna free consultation. Ila once a month sio mbaya. Let's have a Q&A kuhusu magonjwa ya Figo na Moyo. Kama una changamoto yoyote au swali kuhusu hayo. Tuongee niweze kukupa ushauri wa kitabibu bure. Nipo Live leo kuanzia saa 11 hadi saa 2 usiku
Kenya 🇰🇪 Filipino
61
140
641
33.1K
Ruge retweetledi
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Kwenye list ya matajiri Tanzania mara nyingi wanawake huwa hawatajwi kwenye magazeti mengi ila wapo matajiri wengine wakiwa na umri mdogo tu hao wanawake wanazo pesa nyingi sana. Mmoja wapo hao wanawake wakiwa kama wanahesabiwa kama namba moja kwa utajiri level ya wanawake 👇
𝗭𝗘𝗗 tweet media𝗭𝗘𝗗 tweet media
Indonesia
27
29
322
51.5K
Ruge retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mwanamke Anaweza akaishi na wewe akazaa nje na asikwambie. Anaweza akawa anafirwa wewe kama hautumii usijue na asikwambie. Anaweza akawa na mtoto akasema hana na asikwambie. Anaweza akawa hatosheki na unavyomla akaishi na wewe na asikwambie. Anaweza akawa na wewe mpaka ukamuoa lakini hakukubali ana mtu nje anamkubali zaidi. Anaweza kukupiga matukio kwa kujua kuwa unampenda sana. Anaweza kukupenda sana kwa kuwa unamsumbua na kumpiga matukio sana. Unaweza kuwa na pesa akaliwa na asie na pesa. Unaweza kuwa usiwe na pesa akaliwa na mwenye pesa. Unaweza kuwa na pesa akaliwa na maboss zako au wenye pesa zaidi yako. Pongezeni waliobahatisha wake walionyooka, walishabahatika wachache. Yani kuna familia za ndugu zetu na majirani unayasikia matukio ya wake zao mpaka unashika kichwa kwanza. Kumuelewa mwanamke ni kazi sana.
हिन्दी
22
53
413
22.2K
Ruge retweetledi
Paul Bonaventure
Paul Bonaventure@Phbhimself·
Hizi ni Laws 5 maarufu duniani • MURPHY LAW: Kadiri unavyokiogopa kitu, kitakutokea, na kadiri unavyokitaka, utakipata. • WILSON LAW: Kadiri unavyovipa kipaumbele maarifa na akili, pesa zitaendelea kukufuata kila siku. • FALKLAND LAW: Kama hutoweza kufanya maamuzi kwenye jambo fulani, usiamue. • KIDLIN LAW: Kama utaliandika tatizo lako kwenye karatasi vizuri kabisa, hapo utakuwa umelitatua nusu yake. • GILBERT LAW: Unapochukua kazi, kutafuta njia bora za kufikia matokeo yake ni wajibu wako
Paul Bonaventure tweet media
Indonesia
10
78
194
14.2K
Ruge
Ruge@ColMtanzania·
@shaks_prince Anakimbia sana tu,lakini Kuna muda akinywa Konyagi au bia moyo unaenda Kasi akinywa soda pia,kapima ECO,ECG,(Umeme nk hawaoni shida) unamshauri Nini huyu maana BP Bado anayo kichwa kinamuuma kila ndani ya siku 4 na kakizungungu Kwa mbali.
Indonesia
1
0
0
26
Ruge
Ruge@ColMtanzania·
@shaks_prince Mgonjwa ana shida ya presha 140/97 before hajaanza dose ya BP alistuliwa usiku wa manane moyo ukaenda mbio sana,kuanzia siku hiyo akawa akililalia upande wa kushoto anasikia maumivu kushoto,moyo unachomachoma na kubana lakini baadae anakaa fresh mpira anacheza na sex pia,anakimb
Indonesia
1
0
0
34
Ruge retweetledi
Tolulope Michael
Tolulope Michael@im_tolumichael·
How to become Irreplaceable at work 1. Own critical processes. 2. Solve problems others avoid. 3. Document everything you do. 4. Be reliable under pressure. 5. Learn the business, not just tasks. 6. Build strong internal relationships. 7. Communicate clearly and often. 8. Anticipate needs before they arise. 9. Deliver consistently. 10.Make yourself hard to ignore.
English
13
107
427
12.9K
Ruge retweetledi
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
AINA 10 ZA WANAWAKE AMBAO BIBLIA INAKUONYA UWAEPUKE Ikiwa wewe ni mwanamume mwenye maono, hatima (destiny), na kusudi, huwezi kuruhusu mwanamke asiye sahihi aharibu maisha yako. Biblia haimung’unyi maneno kuhusu hili; inakupa maonyo ya wazi na makali. Lakini wanaume wengi wanayapuuza na kuishia kufilisika, kuvunjika moyo, na kufungwa. Hizi hapa ni aina 10 za wanawake hatari ambao Maandiko na hekima ya kimungu vinakuamuru ukae nao mbali kabisa: 1️⃣ MWANAMKE MZINZI (Mithali 5:3–5) ☠️ Midomo yake inadondosha asali, maneno yake ni laini, lakini miguu yake inaelekea mauti. Ni hatari. Ataharibu hatima yako kwa tamaa za mwili. 2️⃣ MWANAMKE MGOMVI NA MWENYE KELELE (Mithali 21:9 & 25:24) ⛈️ Ni afadhali kukaa kwenye pembe ya dari au nyikani kuliko kukaa nyumba moja na mwanamke mgomvi. Atanyonya nafsi yako, atamaliza nguvu zako, na kuzika amani yako. 3️⃣ MWANAMKE MSENGENYAJI (1 Timotheo 5:13) 👅 Watu wasio na kazi, wanaozurura nyumba kwa nyumba, wakiongea mambo yasiyofaa na kupanda mbegu za fitina. Kinywa chake ni silaha ya maangamizi. Kaa naye mbali. 4️⃣ MWANAMKE WA TABIA ZA YEZEBELI (1 Wafalme 21:25) 🐍 Mwenye hila, mchuuzi wa madaraka, mshawishi, na mwasi. Hataki kutii — anataka kutawala na kumdhalilisha mwanamume. 5️⃣ MWANAMKE MPIGA KELELE NA ASIYETULIA (Mithali 7:11) 📢 Ni mwenye kelele, mkaidi, na miguu yake haitawaliki nyumbani. Huyu ni wa mitaani. Nukta. 6️⃣ MWANAMKE MPENDA MALI (Mithali 23:4–5) 💰 Anakimbilia utajiri kuliko maadili. Anapenda anasa kuliko urithi wa kudumu. Atapenda pochi yako, siyo maono yako. 7️⃣ MWANAMKE ASIYE NA HESHIMA (Esta 1:17–18) 🚫 Kama Malkia Vashti, anakataa uongozi na kuharibu nidhamu ya wanawake wengine. Mwanamke kama huyu ataharibu mfumo na heshima ya kaya yako. 8️⃣ MWANAMKE MWABUDU SANAMU (Kutoka 34:16) 🕯️ Anawaongoza wanaume mbali na Mungu kupitia ushawishi na imani zake potofu. Atakufanya utumikie matakwa yake badala ya kutumikia wito wako. 9️⃣ MWANAMKE MVIVU (Mithali 31:27) 🛌 Mwanamke wa Mithali 31 hali chakula cha uvivu. Ikiwa ni mvivu, huyo si mwanamke wa Mithali 31 — huyo ni mwanamke wa "Mithali 0". 🔟 MWANAMKE MWENYE TABIA MBAYA (Mhubiri 7:26) 🕸️ Huyu ni mchungu kuliko mauti. Mikono yake ni kama minyororo na moyo wake ni mtego. Anayempendeza Mungu atamponyoka, lakini mwenye dhambi atanaswa naye. HITIMISHO: Waepuke wanawake wa namna hii kama ugonjwa wa hatari. Mwanamke mbaya anaweza kuharibu kile ambacho Mungu amekijenga ndani yako kwa miongo kadhaa ndani ya wiki chache tu. Wewe hukuumbwa uwe mtumwa wa tamaa, hisia, au machafuko. Uliumbwa ili uongoze, ushinde, na uache urithi. Na unahitaji mwanamke ambaye atakuongezea nguvu, siyo kukuangamiza. Sheria ni Sheria 🫵 ⚠️
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
14
77
173
33.2K
Ruge
Ruge@ColMtanzania·
@IgoraIrene32964 Ila mascani Guu la Bia unalo bana tuache masikhara
Indonesia
0
0
0
389
Rastafarian_culture
Rastafarian_culture@IgoraIrene32964·
Hapa tumemaliza kushusha mafuta tumepasuka shoti kuanzia 900 nakuendelea unajiuliza utaendeshaje gari kutoka Lubumbashi kwenda dar na Nguvu huna?Hapo boss kiswahili hakipandi tena kinapanda kisomali na kizungu biashara ya Tankers ni Kamali 😂😂
Rastafarian_culture tweet media
Indonesia
69
68
693
38.6K
Rastafarian_culture
Rastafarian_culture@IgoraIrene32964·
Heri ya pasaka kutoka kwa Mascania kuja kwenu🥰🥰🥰
Rastafarian_culture tweet media
Indonesia
85
87
629
44.7K
Ruge
Ruge@ColMtanzania·
@FamWorld2025 Teh teh teh sisi tuolioa wafupi.
Slovenščina
0
0
0
54
fifi_catering_service
fifi_catering_service@FamWorld2025·
Unajiuliza mbona mtu anakutumia picha za selfie tuu kumbe ni 4'5😭💔🙌🏾
Indonesia
33
19
260
24.2K