Sinta Cornely ,

1.3K posts

Sinta Cornely , banner
Sinta Cornely ,

Sinta Cornely ,

@CornelySinta

Dada Mzalendo Waziri Kivuli wa Maji Taifa la Wote,Maslahi ya Wote na Maji ya wote.

Katılım Nisan 2024
372 Takip Edilen84 Takipçiler
Sinta Cornely , retweetledi
Gilly Bonny Tv
Gilly Bonny Tv@GillyBonnyTv·
Waziri Kivuli wa TAMISEMI kupitia ACT-Wazalendo, Kulthumu Mchuchuli, leo Mei 16, 2025, amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Rufiji, katika hatua inayotafsiriwa kuwa mwendelezo wa mapambano ya ukombozi wa wananchi dhidi ya mfumo usiowajali. Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu wa Jimbo, Ndugu Said Matimbwa, mbele ya umati wa wafuasi wa @ACTwazalendo na wakazi wa Rufiji waliokusanyika kushuhudia tukio hilo. Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu, Mchuchuli alisisitiza kuwa ni wakati wa wananchi wa Rufiji kunufaika moja kwa moja na rasilimali zao, hasa fedha za huduma kwa jamii (CSR) kutoka mradi mkubwa wa Bwawa la Mwalimu Nyerere. “Haiingii akilini bilioni zaidi ya 260 za CSR zipotee kana kwamba si haki ya wananchi wa Rufiji. Kama nitapewa ridhaa na wananchi, nitahakikisha fedha hizi zinarejea kwa wananchi na kutumika kwa maendeleo ya kweli — shule, zahanati, maji na miundombinu ya maana,” alisema kwa msisitizo. ACT-Wazalendo kupitia uchambuzi wake wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2023/24, ilibainisha kuwa fedha hizo za CSR, ambazo zilipaswa kutolewa tangu mwaka 2019, zimeendelea kuzuiliwa bila sababu za msingi, huku serikali ya CCM ikituhumiwa kwa uzembe na kufumbia macho maslahi ya watu wa Rufiji, Kibiti na maeneo mengine yaliyo jirani na mradi huo. Kwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge, Mchuchuli amejiunga na safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo wanaoamini kuwa ushiriki wa kweli katika siasa za uchaguzi ni sehemu ya mapambano dhidi ya mfumo wa kifisadi na ubabe wa CCM. “Ni wakati wetu. Ni wakati wa Wanarufiji kuamka na kuchukua hatima yao mikononi mwao. Hatuhitaji huruma, tunahitaji haki,” alihitimisha Mchuchuli.
Gilly Bonny Tv tweet mediaGilly Bonny Tv tweet media
Indonesia
0
11
16
1.9K
Sinta Cornely , retweetledi
Kassala
Kassala@Vicent_Kassala·
"Wakati adui wa kwanza akidhihirisha dhahiri uhasama wake, ACT walibaki kujitathmini namna gani itashughulika na maadui wawili waliobaki – Dola na Siasa za Kitaasisi." @JasperKido thechanzo.com/2025/05/08/act…
Indonesia
0
6
6
157
Sinta Cornely , retweetledi
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
Aliyekua Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema yuko tayari kurudi tena Bungeni licha ya kutumikia Kigoma Mjini miaka mitano na Kigoma Kaskazini miaka 10, akieleza kuwa bado anao wajibu wa kurudi kuwasemea wana Kigoma mjini. Akijibu swali la mtangazaji wa kituo cha runinga cha Clouds TV alipoulizwa kuhusu kustaafu kugombea Ubunge, Zitto amesema kazi ya Ubunge ni uwakilishi wa wananchi ni kama ilivyo kwa Uwaziri mkuu na kwamba kazi hizo hazina muhula kama ilivyo kwa Kiongozi wa Chama, Urais au Umakamu wa Rais.
Indonesia
8
12
124
16.6K
Sinta Cornely , retweetledi
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
Leo Mei 8, 2023 Mwanachama wa @ACTwazalendo, Ndugu Martina Mturano amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kasulu Vijijini. Ndugu Martina amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Jimbo, Ndugu Jonas Abel Kaja. #MuhuniHasusiwi #OperesheniLindaDemokrasia
ACTWazalendo tweet mediaACTWazalendo tweet mediaACTWazalendo tweet media
Indonesia
2
10
13
2.2K
Sinta Cornely , retweetledi
Land Dwellers
Land Dwellers@Land_Dwellers·
Chama cha ACT Wazalendo kimetoa pole kufuatia taarifa za kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Tanzania Mh. Cleopa David Msuya kilichotokea tarehe 07 Mei, 2025. ACT wamesema Mh. Msuya atakumbukwa kwa weledi wake, uchapakazi wake na juhudi zake kwa Taifa.
Land Dwellers tweet media
Indonesia
1
15
23
1.7K