Creed
248 posts

Creed
@Creed1198
Cryptocurrency expert, forex trader and investment advisor
Dodoma, Tanzania Katılım Ocak 2022
392 Takip Edilen58 Takipçiler

@Sirjeff_D Nchi yetu sote, kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake bila kuvunja sheria. Kwa wavunjao iko siku haki itatendeka
Filipino

@Sirjeff_D Inabidi kila nchi imiliki hizo silaha, kila nchi ina haki ya kujilinda
Indonesia

@Labella_Mafia95 Concern yangu ni mtoto wa uyo jamaa akiulizwa shule babaake hufanya kazi gani anjibuje 😁
Indonesia

@MsomiKhan18 Pia kuna kile kidude kiko mapolini mkono wa kulia kama unaenda mwisho wa lami
Filipino

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Paul James ambaye ni Mwalimu wa kujitolea katika Shule ya msingi Nyang’omango kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi wa darasa la sita (13).
Imeelezwa kuwa Mwalimu huyo anadaiwa kufanya kitendo hicho wakati Mwanafunzi huyo akijisomea masomo ya ziada katika maktaba ya shule hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP. Wilbroad Mutafungwa amesema tukio hilo limetokea December 23 2024 saa moja kasorobo asubuhi katika kijiji cha Nyang’omango Kata ya Ntende Wilaya ya Misungwi Mkoani Mwanza.
Tayari Polisi wamemkamata Mwalimu huyo kwa hatua zaidi za kisheria.
#MillardAyoUPDATES

Filipino
Creed retweetledi























