Deo Ryoba

21.2K posts

Deo Ryoba banner
Deo Ryoba

Deo Ryoba

@DRyoba

Katılım Şubat 2012
260 Takip Edilen507 Takipçiler
Deo Ryoba
Deo Ryoba@DRyoba·
@DorothNengai Aliesema yeye bado ni amiri jeshi, hakutakua na nywinywinywi
Indonesia
0
0
1
19
DorothNengai
DorothNengai@DorothNengai·
Who gave the Shoot to kill Order?!
English
17
74
414
18.4K
Deo Ryoba
Deo Ryoba@DRyoba·
@PolycarpMDM Kuna bwawa la Nyerere walisema watauza umeme nje, lkn linazalisha 40% tu
Indonesia
0
0
1
335
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Ule usemi wenu wa "Treni ikikamilika tutakua tunafanya kazi DSM jioni tunarudi Moro kila siku" uliishia wapi? Mlikua mnawaza ujinga tunawachora tu.
Indonesia
16
20
318
15.2K
Farm With Fred
Farm With Fred@Fredmunene_·
There is a lady who told me if I want to get married, I need to dress this way . Gumboots and dirty jeans won’t get me a wife. 😟
Farm With Fred tweet media
English
11
10
127
2.3K
Deo Ryoba
Deo Ryoba@DRyoba·
@joeselasini Amepenyezewa kama aliyemteua, Alipenyezewa $800 kwa lita na sio $8000
HT
0
0
0
34
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Neno moja kwa Jaji Chande..?
Hilda Newton tweet media
HT
196
47
375
42K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Jeshi la Polisi limemtaka Hilda Newton kufika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai ili kuwasilisha ushahidi aliodai anao, unaohusiana na madai yake kuwa serikali imepanga kumuua kwa risasi Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu.
Swahili Times tweet media
Indonesia
11
4
124
9.3K
Deo Ryoba
Deo Ryoba@DRyoba·
@MariaSTsehai @tanpol Isitoshe Lisu alishambuliwa kwa risasi 2017 mpaka leo hakuna kinachoendelea sbb ni wao wahusika, tumeona hata ktk Mo29
Indonesia
0
2
3
1.5K
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Wapendwa! Hawa wauaji wamekuja na hii kujaribu kubadili upepo maana wameona kuna upepo wa kusulisuli unavuma kabla ya ripoti kutolewa - wanataka kututoa kwenye reli! Ni hivi @tanpol ushahidi unapelekwa mahakamani siyo polisi! Hilda kaweka hii taarifa katimiza wajibu Nyie fanyeni uchunguzi wenu ndo maana mna wapelelezi! Kama hamjapata kitu puuzeni maneno ya Hilda! Shida iko wapi? Msituchoshe! Mbona hawa wauaji hamtuambii ni akina nani na tuna taarifa ni askari polisi! Haya ndo mambo ya kuchunguza! Haya wapendwa turudi kwenye mauaji haliki #TanzaniaMassacre
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
23
91
335
20.4K
Deo Ryoba
Deo Ryoba@DRyoba·
@eastafricatv Jeshi la WAJINGA, Lisu alipigwa risasi 2017 mpaka leo hakuna mliemkama sbb ni nyie wenyewe wahusika,
Indonesia
0
0
6
1.9K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Jeshi la Polisi limesema linaendelea na uchunguzi wa kukusanya ushahidi kutokana na taarifa ya Hilda Newton aliyochapisha na kusambaza katika Mitandao ya Kijamii tarehe 10.4.2026. Taarifa hiyo ya Hilda ilikuwa inasema kuwa, Serikali imepanga kumuua Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa risasi hivyo Ili kukamilisha uchunguzi, Jeshi la Polisi limemwelekeza Hilda Newton afike katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai iliyopo katika Jengo la Makao Makuu Ndogo ya Polisi iliyopo Mtaa wa Ohio Jijini Dar es Salaam tarehe 24.4.2026 saa nne (4) asubuhi ili aweze kuwasilisha ushahidi aliosema na kutangazia umma kuwa anao. Jeshi la polisi limesema hatua hiyoni kwa mujibu wa kifungu cha 11 (2) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2023. #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Filipino
51
21
362
69.1K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Mtangazaji wa Zamani wa CloudMedia Masoud Kipanya Akizungumza na Stanslaus Lambati Chanzo Cha Yeye Kuondoka Clouds Media. 🎥 BongoFM👊 #MeaMswahiliUPDATES
HT
9
41
385
38K
Farm With Fred
Farm With Fred@Fredmunene_·
5 stars treatment at the farm
Farm With Fred tweet media
English
12
24
320
6.6K
Berni Lux 🤍
Berni Lux 🤍@FCBerni_Lux·
What sets these two buttons apart?🤔
Berni Lux 🤍 tweet media
English
144
19
119
24.8K
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
Muulize mdau wako huyo kama anajua chama cha SIASA ni nini na majukumu yake.
BarakaWambura@barakawamb

Naomba kuungana na mdau mmoja aliehoji Hivi @ChademaTZ2 tangu kuanzishwa kwake 1992 kwenye taifa letu letu ni nini cha maana wamewahi kukifanya kwenye jamii? maana hata ofisi tu zimewashinda kujenga 1.hatujawahi kusikia wala kuona wamejenga hata choo shuleni 2.hatujawahi kusikia wala kuona wametoa msaada kwa makundi maalum. 3.hatujawahi kusikia wala kuona wakitoa elimu wala uwezeshaji kwa vijana yani hata kwa kushirikiana na sponsors wao ili wawape vijana exposure. 4.hatujawai kusikia wala kuona wakiunga mkono lolote lenye manufaa kwa Taifa. Anauliza Mdau (Mwisho wa kunukuu)

Filipino
1
0
10
426
Juma Wickama
Juma Wickama@wickama·
Ngombe angezaa hivi tungekuwa mabilionea. Umehesabu vitoto vingapi?
Juma Wickama tweet media
Indonesia
9
5
73
3.3K
Deo Ryoba
Deo Ryoba@DRyoba·
@HildaNewton21 Project ili fail, watakua wanakuja kimkakati kua chanzo cha mizozo ya ndani,, wawe wanachama wa kawaida tu huku camera zikiwamulika 24/7
Indonesia
0
0
0
354
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
ONCE A TRAITOR, ALWAYS A TRAITOR. Waliondoka kwa mbwembwe nyingi wakakitukana sana Chama pamoja na Viongozi wetu matusi ya kila aina. Wengine wakaenda mbali zaidi wakaanza kusema #NoReformsNoElection ni uhaini, wakawa wanasema wanashangaa inakuaje Serikali haimkamati Mhe. Lissu wakati anahamasisha UHAINI hata haikuchukua muda Mhe. Lissu akakamatwa na kupewa kesi ya Uwongo mpaka leo ni zaidi ya Mwaka mmoja yupo jela. Walisema CHADEMA imepoteza mwelekeo mara sijui CHADEMA ishajifia bora waende huko wakatimize ndoto zao kisa waliambia watapewa majimbo 20 na Viti maalum 25. Mungu alivofundi walikula kofi la uso wakaangukia pua sasa baada ya kukosa Ubunge kama walivoahidiwa leo wanajifanya wameweka mikono nyuma, wanaomba kurudi kwenye CHAMA as if sio wao waliokua wanatukana mitusi na kudhalilisha Viongozi wetu. Hawa watu sio wakuwachekea maana msaliti ni msaliti, kama waliweza kutusaliti jana unadhan nini ambacho kitamzua kutusaliti leo/kesho..?
Indonesia
106
196
1.1K
112.6K
Deo Ryoba
Deo Ryoba@DRyoba·
@Aruatani Inafanana na sifuri hata "I" pia eti ni kama 1
Indonesia
0
0
2
1.1K