DUME LA NYANI
74 posts

DUME LA NYANI retweetledi
DUME LA NYANI retweetledi

@TanzaniaUpdates MWENZAKO AKINYOLEWA ZAKO TIA MAJI.
Waiting for BANDARI YA BAGAMOYO .....
Filipino
DUME LA NYANI retweetledi
DUME LA NYANI retweetledi

Fanya Maombi kisha inuka ufanye Hustler siku hizi Hakuna zali la mentali, utamiliki vitu vizuri kwa kadri ya Level ya maisha utakayo kuwa nayo, huwezi miliki nyumba kali, gari kali na huna Pesa vitakutesa tu, vyote hivi vinataka maandalizi kumiliki Inuka.
Good Morng All
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
DUME LA NYANI retweetledi

@SuphianJuma @ACTwazalendo Nchi hii HAIKALIKI Ndio Maana Kutwa Wanashinda Kwenye Nchi za Watu.
Indonesia

Naona @ACTwazalendo wamechachamaa na matangazo ya Mkutano wao wiki sasa, na hata CHADEMA wana Mkutano na waandishi leo hakuna ALIYEZUILIWA, ila bado kwenye Space kule utasikia kila aina ya MAKASIRIKO NADHARIA kutoka kwa akina Lema kwamba nchi hii HAIKALIKI, haina DEMOKRASIA.🤔
Filipino
DUME LA NYANI retweetledi
DUME LA NYANI retweetledi
DUME LA NYANI retweetledi

@masoudkipanya Karibuni sana kwa kitchen cabinet(majiko ya gesi) kwa bei nafuu sana zipo za kuanzia 50k, 70k,80k,100k,130k,140k,160k 180k, na 200k..karibuni sana tunapatikana mabibo namba ya mawasiliano ni 0623011171 kwa whtsapp na kawaida ni hiyo.hiy karibni sana rangi unachagua uapakiwe ipi

Filipino
DUME LA NYANI retweetledi
DUME LA NYANI retweetledi










