Tanzania Updates 🇹🇿

73 posts

Tanzania Updates 🇹🇿 banner
Tanzania Updates 🇹🇿

Tanzania Updates 🇹🇿

@TanzaniaUpdates

Follow kupata updates na ripoti mbalimbali za uhakika kuhusu Tanzania.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2023
20 Takip Edilen34 Takipçiler
introvert
introvert@livewithnoregrt·
what's the cheapest thing someone can get you that will make you happy?
English
1.2K
56
981
142.7K
Malafyale
Malafyale@MwansasuSnr·
Mtu anasema mbona Makamu wa Rais hashambuliwi, lini kwenye Taifa hili Makamu wa Rais amewahi kuwa anapokea spana? Mm nimepata fahamu VP akiwa Dr Omar Ali Juma akaja Shein, baadae Bilal kisha Samia, hapo ni Uongozi wa Mkapa, JK & JPM ni kipindi kipi kati hv VP alikuwa kikaangon?
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
6
4
70
1.8K
JARIDA ONLINE TV
JARIDA ONLINE TV@jaridatv·
Taarifa zinazosambaa mtandaoni kupitia ukurasa wa X wa Tanzania Leaks kuhusu madai kwamba aliyekuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, amewekwa chini ya ulinzi nyumbani kwake pamoja na aliyekuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kuwa chini ya uangalizi zinapotosha na si za kweli.
JARIDA ONLINE TV tweet mediaJARIDA ONLINE TV tweet media
Indonesia
2
0
1
1.7K
Tanzania Updates 🇹🇿 retweetledi
Rumi
Rumi@rumilyrics·
Never announce moves, confirm arrivals.
English
91
920
7.5K
153.1K
Elon Musk
Elon Musk@elonmusk·
The EU should be abolished and sovereignty returned to individual countries, so that governments can better represent their people
English
27.8K
39.5K
249.1K
39.6M
Tanzania Updates 🇹🇿 retweetledi
Fact
Fact@Fact·
Changing how you walk affects your mood.
English
2
11
39
9.5K
Uncle Fafi
Uncle Fafi@Tanganyikan·
Scenes toka Leaders Club jana
English
5
13
153
42.2K
#ChangeTanzania
#ChangeTanzania@ChangeTanzania·
Watetezi wa Samia wamlilia Nchimbi Kukaa KIMYA kutotetea mauaji
Indonesia
41
25
111
10.5K
Balyx
Balyx@Balyx_·
Imepita masaa 50 tangu Vice Prezida atajwe kwenye mbanga nzito na bado Wizara ya Ufafanuzi haijasema chochote kuhusu hili. Hii sio bahati mbaya
HT
8
30
452
12K
Tanzania Updates 🇹🇿
Tanzania Updates 🇹🇿@TanzaniaUpdates·
Treni mpya ya umeme inatarajiwa kuwasili nchini jumanne Machi 26 mwaka huu tayari kwa kuanza kazi mwezi Julai. Hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa juzi na shirika la reli nchini (TRC) #TanzaniaUpdates
Indonesia
1
0
1
270
Tanzania Updates 🇹🇿
Tanzania Updates 🇹🇿@TanzaniaUpdates·
Waziri wa elimu,sayansi na teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amesema kuwa kupitia sera ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 ambayo imeanza kutekelezwa January 2024, wenye taaluma ya ualimu wataanza kufanyiwa tathmini ya mitihani ili kupata ajira #TanzaniaUpdates
Indonesia
0
0
1
241
Tanzania Updates 🇹🇿
Tanzania Updates 🇹🇿@TanzaniaUpdates·
Waziri wa elimu, sayansi na teknolojia, Prof Adolf Mkenda amesema kuwa mitaala mipya imeanza mwaka huu ikihusisha ngazi ya darasa la kwanza na la tatu, upande wa sekondari imeanzia kidato cha kwanza na kidato cha tano pamoja na vyuo vya ualimu #TanzaniaUpdates
Filipino
0
0
1
216
Tanzania Updates 🇹🇿
Tanzania Updates 🇹🇿@TanzaniaUpdates·
Rais wa Senegal, MackySall amekubali kufanya mabadiliko ya tarehe ya uchaguzi mkuu kutoka Disemba 15, 2024 hadi Machi 24, 2024 kutokana na maandamano yanayotaka aheshimu muda wake wa kuondoka madarakani #TanzaniaUpdates
Indonesia
0
0
2
177
Tanzania Updates 🇹🇿
Tanzania Updates 🇹🇿@TanzaniaUpdates·
Kampuni ya Asas inayohusika na usambazaji wa maziwa imetunukiwa tuzo ya heshima kwa viwango na ubora kutoka Super Brand East Africa Choice. Tuzo hizo zimetolewa jijini Dar es Salaam #TanzaniaUpdates
Filipino
0
0
1
106
Tanzania Updates 🇹🇿
Tanzania Updates 🇹🇿@TanzaniaUpdates·
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetoa taarifa kwa wateja wake wanaohudumiwa na mtambo wa kuzalisha maji Ruvu chini kuwa kutakuwa na upungufu wa huduma za maji kuruhusu maboresho ya msingi kuanzia leo Jumanne jioni hadi Alhamis March 7, 2024
Filipino
0
0
1
95
Tanzania Updates 🇹🇿
Tanzania Updates 🇹🇿@TanzaniaUpdates·
Ushirikiano wa NMB na UBX inayounganisha benki 17 kupitia mtandao wa Umoja Switch umeiwezesha benki ya NMB kuunganisha benki 17 kwenye mtandao wake wa ATM lengo likiwa kuongeza wigo wa upatikanaji wa mashine za ATM na kupunguza gharama za miamala ya ATM kwa wateja wa benki.
Filipino
0
0
1
95