
@SportsarenatzTz Ligi kuwa bora kuna mambo mengi ya kuangalia na wala kutoka kwa vilabu vyetu haimanishi ligi imekuwa mbaya, tupo wakati wa transition.. Algeria haina timu pia ila tunisia ina timu, hiyo haimanishi Algeria league imekuwa mbovu kuliko ya Tunisia..
Indonesia


























