Dady Joseph

10.2K posts

Dady Joseph banner
Dady Joseph

Dady Joseph

@DadyJoseph6

humble man

Tanzania Katılım Eylül 2022
1.1K Takip Edilen340 Takipçiler
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@Sisimizi3 Sasa kama ww chawa leo umeshanga madudu aliyo fanya huyo afisa sisi manguchiro tusemaje aiseeee watu wanapo sema hawo hawastahili kuwepo hapo muwe mnaelewa aiseeee mnazidi kututia aibu ama taifa kwa vitendo vya hovyo mnazidi kufanya ndo wana wamekalia kutukana watu na kuua
Indonesia
0
0
0
81
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Rais Kagame kafika na kapokelewa na Rais Samia Ikulu, nimeshangaa wakati Marais wanasalimiana yule ADC nyuma alipiga saluti. Anapigaje saluti wakati wanaosalimiana ni wengine au mimi sijui protocol
Dr. Sisimizi tweet media
Indonesia
15
5
128
22K
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@nassor_01 Mbinguni tutaenda wachache usikute nipo peke yangu wa kwenda mbinguni
Indonesia
0
0
0
87
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Porn za kibongo bana,kila demu anayeliwa kinyeo lazima anye🚮😅
Indonesia
43
15
154
18.5K
Dady Joseph retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Nyie ambao hamna bundle la kuandika ‘Free Ninja,’ we see you! Na haina shida. Lakini shida haina adabu!🙏🏽 Free Ninja Now!!
Indonesia
5
233
549
5.5K
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@Maestrowafact Sikiza mauzo ya uoga yalisha poteaga hebu Acha kuzua taharuki aiseeee kaa kimya
Indonesia
1
0
0
194
CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI
Hivi tiktok wanaojirekodi lile goma anatukanwa mzito wa tume ni kwamba hawamjui anayetukanwa au ndo liwalo na liwe?
Indonesia
15
13
146
10.4K
PaYRoLL🗽
PaYRoLL🗽@CoolestDudeOnX·
@Captain_Josh47 1970's mlichagua siasa za Ujamaa na Kujitegemea. Hata kutumia Sabuni za Kenya tu ilikua kosa la jinai. Sembuse Internet??😅 Kuna namna na sisi tuliamua kujichelewesha tu.
Indonesia
8
4
26
1.5K
Dady Joseph retweetledi
Eng. Paimen✨️
Eng. Paimen✨️@Captain_Josh47·
USA military walikua wanatumia internet miaka ya 1970's halafu ikaletwa kwetu miaka ya 2000's. Ukiambiwa kuna vitu vimefichwa mpk sasa usivijue, ili ubaki kwenye mfumo mpk unakufa utabisha. Anyway endeleeni kubaki na umasikini wenu wa kutishiwa na wahubiri wenu🚮
Indonesia
21
28
276
17.1K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Nimeona video ya pedophiles kwenye Group. Itoshe kusema kama mtu hahusiani na mwanao usimuachie NEVER. Jamaa anakapinda kila style katoto na inaingia tu na hata hakaliii jiulize kaanza muda Gani mpaka iwe hivyo. Video ipo ila kuiweka huku siwezi X rules.
Indonesia
64
13
205
24.1K
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@PMadeleka Kwa hiyo kwa kauli yake huyo mzee kuwa anakwela na ukandamizaji wa watu yeye kama yeye analipi la kusema na ana nini cha kuamua pindi anapo ona watu wanakandamizwa tamko lake ni lipi hasa
Filipino
0
0
0
32
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mheshimiwa MWIGULU NCHEMBA ni MWANAHARAKATI na MPIGANIA HAKI ZA WATU ambaye HACHOKI kuwa MZALENDO kwa KUVAA BENDERA YA TAIFA muda wote. Mawaziri wenzako wanacho kitu cha KUIGA kutoka kwako. Pokea 🌹🥀💐🌷 yako Mheshimiwa. Sasa mpambanie NINJA aachiwe HURU.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
23
31
170
5.3K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Na huyu ndio WAZIRI wenu wa Ajira aliepata ZERO forn 4. Hana Degree ila anamiliki pHd. Amesoma vyuo vya online viwili ambavyo ukisearch HAVIPO. Huyu ndio anaenda kutatua kero za WASOMI wenye madegree waliokosa ajira. MALAYA kama hawa ndio wanasemaga wameokotwa majalalani.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
54
93
748
43.8K
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@Mziwanda98 Afu wote ni Muslims na kama tujuavyo hao jamaa na siri za mali zao daaaa bora kuwa maskini tu
Indonesia
0
0
1
21
✪'𝕤𝕓✪𝕣𝕟 𝕄𝕫𝕚𝕨✫𝕟𝕕✫
Hii ni orodha ya wafanyabiashara, mabilionea kumi wanaotajwa kuwa na ukwasi uliopindukia nchini Tanzania. Ninachoomba kuelewa: Ni kwa nini katika nchi yenye wazawa weusi zaidi, orodhi hii—Kwa sasa—haina mzawa mweusi hata mmoja? Ni malezi, aina ya elimu, ni mwamko mdogo au nini?
✪'𝕤𝕓✪𝕣𝕟 𝕄𝕫𝕚𝕨✫𝕟𝕕✫ tweet media
Indonesia
67
20
128
22.8K
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@PMadeleka Sizani kama katika hawo viongozi wa hivi vyama njaa 13 kuna kijana hata mmoja na hapo ndo utakapo jua junsi gani wazee walivyo kosa mchango katika hii nnchi,hawa dawa yao kuwa piga taking hadi wapotee kabisa
Indonesia
0
0
2
50
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Wachina wakienda nchi yoyote kufanya biashara wanafanikiwa kwa sababu hawa wangese hawana nyege kabisa. Mchina huwezi kuta ana skendo sijui za umalaya wala mambo yoyote ya kipuuzi. Mchina mwambie kuna hela iko nje nje pahala anatia timu fasta. Nyuchi zinatuangusha sana wabongo.
Indonesia
76
62
602
36.7K
Dady Joseph retweetledi
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameiongoza nchi yake kufikia hatua muhimu ya kiuchumi baada ya kukamilisha malipo yote ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola milioni 23.9, hatua inayotajwa kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuongeza uthabiti wa uchumi wa taifa hilo. Mafanikio hayo yamepokelewa kama ishara ya usimamizi mzuri wa fedha za umma chini ya uongozi wa sasa. Kukamilika kwa deni hilo kunatajwa kuipa Namibia uhuru mkubwa zaidi wa kifedha, huku serikali ikitarajiwa kuwa na nafasi pana ya kuelekeza rasilimali katika miradi ya maendeleo ya ndani. Kwa mujibu wa takwimu hadi Machi mwaka huu, malipo hayo yalifikia dola milioni 23.8875. Namibia sasa imejiunga na baadhi ya mataifa ya Afrika yaliyofanikiwa kufuta madeni yao kwa IMF, ikiwemo Msumbiji. Netumbo Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, ndiye rais wa kwanza mwanamke wa Namibia. Aliingia madarakani mwezi Disemba 2024 baada ya kushinda uchaguzi kwa asilimia 57 ya kura, huku mpinzani wake wa karibu Panduleni Itula akipata asilimia 26. Tangu akiwa na umri wa miaka 14, amekuwa mwanachama wa chama tawala cha SWAPO, hatua iliyomjengea historia ndefu ya kisiasa nchini humo. CC: BBC News; DW Kiswahili #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
47
49
705
36.7K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Wapelekeni mahakamani Polisi ina nguvu gani kisheria kujua hili ni tusia au sio tusi Mtu akiwa mjinga akiambiwa ni mjinga inakuwa tusi? Wakati serikali ilikuwa na sera ta kufuta ujinga
Think Different tweet media
Indonesia
15
31
129
4.8K
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@PMadeleka Hapa machawa walitamani habari hii aiseme mama yao hata sherehe wange fanya ila kafanya mwingine naona tu comment za kijinga wanazo comment eti haiwezekani sasa kama mtu wao anaweza kwann asifanye hivyo
Indonesia
0
0
0
114
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Wakati DENI LA TAIFA LA TANZANIA NI “HIMILIVU”😂😂😂, Namibia, HAIDAIWI. Wanawake WAKIWEZESHWA, WANAWEZA 👇
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
50
53
447
11.4K
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@ZenjiboyZnz Mkuu najuwa namba huwezi kunipa ila nipe location mi nitamalizana naye
Filipino
0
0
1
40
Dady Joseph
Dady Joseph@DadyJoseph6·
@AdoShaibu Kwa hiyo ticha wa kule ziwani anakura 500k afu huku kwetu sijui shingapi bado unajiona na ww ni mtoto wa gavo wakati hupati haki sawa na wenzako ndo mana wanatutukana kila siku mara kenge mara nguchiro mara mbwa daaaa nasi tumekaa kimya tu Acha tuendelee kutukanwa
Filipino
0
0
0
105
Ado Shaibu
Ado Shaibu@AdoShaibu·
Ni Mei Mosi ya huzuni. TUCTA, kwa kukosa madai na ‘kumhurumia’ Rais wamewasaliti wafanyakazi. Mh. Rais naye, kwa kufuata njia ya TUCTA, amejikita kwenye masuala ya kawaida ya wafanyakazi bila kuwa na ‘habari njema’ kwa wafanyakazi. Ni Mei Mosi ya huzuni, isiyo na jipya.
Indonesia
9
9
76
4K
Harry
Harry@HarryGodfirst·
Mwezi Uliopita Samia alikuja na UNAFIKI wake wa kutumia gari mbili wa mini-buses mbili ili aonekane ' anabana matumizi'. Haijapita hata mwezi , leo Mkoani NJOMBE kuna MSURURU wake wa Magari na Helikopta juu. Zile mini- buses ziko wapi ? NB:Kama mtumishi wewe vumilia ulipo.
Harry tweet mediaHarry tweet media
Indonesia
2
15
52
4K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Kenya hakuna mambo ya kubebana kwenye siasa kama sio msomi na hauna Logic wanakutema wako systematic sana😁
Filipino
22
45
371
6.5K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Ukitaka kuharibu TAIFA, Pumbaza VIJANA.
38
20
246
10.6K