THE1withNOname

30.7K posts

THE1withNOname banner
THE1withNOname

THE1withNOname

@De_Cyola

Life is music learn to listen⚽️ The home Of Great Thinker

Katılım Mayıs 2021
974 Takip Edilen795 Takipçiler
THE1withNOname retweetledi
Kumbusho Dawson Kagine
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson·
Fikiria mtu mwema kama Lissu analindwa na maaskari magereza zaidi ya 20. Mtu aliyepigwa risasi zaidi ya 16 mwilini. Just imagine?!
Indonesia
31
85
432
13.3K
THE1withNOname retweetledi
Mr. 𝙇𝙚𝙖𝙙 🦏
@Sativa255 YEYOTE ANAYEUNGANA NA WANAOSHUKIWA KUUA NA KUPOTEZA NDUGU ZETU NI ADUI TUUU... HATA KAMA ANA MAJUMBA BUKUU 💯...
Indonesia
1
2
51
5.8K
THE1withNOname retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Huyu mama amejiweka madarakani kwa nguvu za mtutu wa bunduki kwa kuua watu wengi, hajachaguliwa na wananchi." Mhe. @HecheJohn
Indonesia
11
88
454
9.3K
THE1withNOname retweetledi
NYANI MZEE
NYANI MZEE@jwise017·
Unapokemea matendo ya hovyo kutoka kwenye gavamenti na kusimama upande wa HAKI huhitaji validation ya mtu yeyoye. Dhamira yako ndio ikusukume kuona kwamba hili ni sawa na hili hapana. Usiwe “mtumwa” wa mawazo ya wengine kiasi kwamba siku wakiyumba na wewe unabaki huna msimamo.
Filipino
6
30
92
1.9K
THE1withNOname retweetledi
New Direction AFRICA
New Direction AFRICA@Its_ereko·
🇿🇲 Zambia just told the US: No. $1 billion in health aid. An April 30 deadline. Repeated "outreach" from Washington. Zambia said nothing. Signed nothing. Didn't flinch. And now the US is complaining to Reuters. Here's what they won't tell you: That billion comes with conditions. Conditions on policy. Conditions on procurement. Conditions on who gets to decide what Zambian health looks like. Zambia remembered what happened to other countries that took the check without reading the fine print. No more. Africa is no longer a clinic where the West writes the prescription and the patient just opens their mouth. Congratulations, Zambia. That's not defiance. That's sovereignty.
New Direction AFRICA tweet media
English
128
1.8K
4.3K
65.7K
THE1withNOname retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Tutashinda na haki itapatikana
Think Different tweet media
Indonesia
0
41
113
1.1K
THE1withNOname retweetledi
Danny
Danny@Danny45405967·
Huyu bongo zozo amepeperusha sana bendera ya tanzania na kuitangaza nchi kwa nguvu nyingi mno. Yalipo tokea mauaji 29 october akaamua kuacha kazi yake ya ubalozi wa utalii na kusimama na walio uliwa ndugu zao. Kuna uzalendo zaidi ya huo? Ila sasa ccm na serekali hawamtaki tena.
Danny tweet media
Indonesia
22
91
649
8.6K
THE1withNOname retweetledi
husseinkhalid
husseinkhalid@husskhalid·
We call on Tanzanians to reject the recently released report on election violence. The report lacks truth and justice. It does not reflect what truly happened.
English
29
202
658
14.8K
THE1withNOname retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Kesho usipange kukosa!..
Hilda Newton tweet media
Indonesia
7
100
427
4.5K
THE1withNOname retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tupate REPOST 200. Kesho CHAMA CHETU WANANCHI KINAONGEA.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
20
329
980
7.6K
THE1withNOname retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Popote heshima ilipo hapo ndipo napenda niwepo.
The mandevu tweet media
Filipino
34
123
1.4K
11K
THE1withNOname retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Maelfu wamesaini wito kulitaka Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu kumfuta kazi Jaji Chande. Chande ni sehemu ya washauri wa Baraza kuhusu haki za binadamu Sudan. Alitumia turufu hiyo kujaribu kumsafisha muuwaji Samia huko UN. Kwa ripoti ile, hana tena uhalali.
Indonesia
34
285
1.4K
22.1K
THE1withNOname retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Mtu pekee ambae anaweza kutuliza Taifa la Tanzania kwasasa ni Tundu Lissu, muachieni”-; Bongo Zozo
Indonesia
15
352
1.3K
14.9K
THE1withNOname retweetledi
Fanuel Arsene
Fanuel Arsene@ArseneFanuel·
@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
Indonesia
13
192
344
11.7K
THE1withNOname retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
@joeselasini Huyo ni malaya wa kisiasa no one give a f about his prostitution 🚮🚮
Filipino
3
4
57
1.7K
THE1withNOname retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Ni kweli kabisa kuwa Chadema ndiyo kiongozi wa Ukombozi wa Pili wa Tanzania kutoka katika mikono ya serikali haramu na ya majahili ya CCM.
Indonesia
9
65
219
3.9K
THE1withNOname retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
#cobssid=s&sv=CAMSZBoyKhBlLWw0VDU2OGVhR1R5eHlNMg5sNFQ1NjhlYUdUeXh5TToOYjBBNjV0amV2aWN5WE0gBCokCg56ZnN1dVJIdGw4NWtZTRIQZS1sNFQ1NjhlYUdUeXh5TRgAMAFKBAgBEAIYByC669SCBEoIEAIYASACKAE" target="_blank" rel="nofollow noopener">google.com/imgres?imgurl=… Leo tarehe 30 Aprili 2026 ni Mwaka Mmoja tangu jaribio la mauaji ya Padri Charles Kitima lilipofanyika. Mungu Wetu Ashukuriwe kwa kumuokoa na kumponya. Ajabu yake hadi leo hakuna uchunguzi juu ya watu waliofanya unyama huo kwake uliofanywa na vyombo vya dola vyenye dhamana hiyo. Kukataa kuchunguza ili kuwabaini waliotenda unyama huu ni ishara tosha ya kutokuheshimika kwa haki ya kuishi na ulinzi wa uhai wa watu nchini. Halafu ndio tujifanye kushitushwa na mauaji ya maelfu ya Watanzania wenzetu Oktoba 29, 2025 na siku zilizofuata kulikofanywa na vyombo vya dola?
Indonesia
4
55
201
5.6K
THE1withNOname retweetledi
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
TUTAKUWEPO🫵
Taivina James tweet media
Indonesia
59
139
1.3K
47.6K
THE1withNOname retweetledi
Rugemeleza Nshala
Rugemeleza Nshala@rugemeleza·
Uungwaji mkono wa Chadema na wananchi wa nchi yetu upo ni wazi kabisa na hiki ndicho kinachowafanya viongozi wa serikali haramu ya CCM kukataa kuwepo na mfumo wa haki na wazi wa uchaguzi nchini. Watanzania tuiunge mkono Chadema na tuchangie fedha na rasilimali nyingine ili iwang'oe majahili hawa madarakani.
Indonesia
25
211
819
12.6K