Dommy Chuga.

6.4K posts

Dommy Chuga.

Dommy Chuga.

@DominicJeremy12

Katılım Aralık 2022
740 Takip Edilen208 Takipçiler
Dommy Chuga. retweetledi
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Wewe huwa...
Filipino
0
1
4
521
Dommy Chuga.
Dommy Chuga.@DominicJeremy12·
@rezam06 Kumtaja jeff hapo ndo utapelekea serikali kuzima kabisa hata data tunayotumia kutrade 🤏
0
0
0
5
Rezam Six
Rezam Six@rezam06·
Nimesikiliza episode 2 ya huyu jamaa aliyepoteza Billion 1.7, Ushauri wangu Serikali ianzishe wizara ya forex trading Waziri: Fransisco Magnetics Naibu waziri: Sir Jeff Denis Na forex ianze kufundishwa kwenye vyuo vikuu na vyuo vya kati vijana waondokane na umaskini
Rezam Six tweet media
10
17
28
1.8K
Almalik Mokiwa
Almalik Mokiwa@Almalik_Mokiiwa·
Hii ni safari ya kuanzia September mwaka jana. Tumetumia miezi kumi kutengeneza Huu msingi FROM THE SCRATCH (Yaani kutokea Beginers level). So nimemfundisha huyu From what is Forex mpaka kufikia kwenye Matokeo haya.
Almalik Mokiwa tweet mediaAlmalik Mokiwa tweet mediaAlmalik Mokiwa tweet mediaAlmalik Mokiwa tweet media
Indonesia
9
8
61
1.4K
Dommy Chuga. retweetledi
Somto Okonkwo
Somto Okonkwo@General_Somto·
Imagine Stepping Out With Your Brother… And Watching This Happen To Him Helplessly 💔😢 Be Careful Around Transformers ⚠️. Tragic💔
English
388
418
6.3K
1.2M
Dommy Chuga.
Dommy Chuga.@DominicJeremy12·
@BesteNicolas Kibanda Mpesa , watapewa namba sana ya wakala kurusha au kulipa , jaribu utanshukuru baadae cha msingi Cash iwepo wee nikupokea tu float hela inafatwa jion mda wa mahesabu, pia kuwa nadaftar kunote miamala maana watoaj au walipaj hawatokuwa hapo mda huo.
Indonesia
0
0
1
171
Dommy Chuga. retweetledi
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Hakuna picha ya marais katika historia iliyowahi kuvutia zaidi ya hii. Rais Olusegun Obasanjo wa Nigeria 🇳🇬 akiwa pamoja na Rais Jimmy Carter wa Marekani 🇺🇸 Kwa ufupi, Olusegun Obasanjo aliiongoza Nigeria katika vipindi viwili tofauti—kwanza kama kiongozi wa kijeshi (1976–1979), kisha kama rais wa kiraia (1999–2007), na alijulikana kwa juhudi zake za kuimarisha demokrasia na uchumi wa nchi hiyo. Kwa upande mwingine, Jimmy Carter alihudumu kama rais wa 39 wa Marekani (1977–1981) na baadaye akajipatia heshima kubwa duniani kupitia kazi zake za amani, haki za binadamu, na misaada ya kibinadamu kupitia Carter Center.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
1
9
119
7.1K
Dommy Chuga.
Dommy Chuga.@DominicJeremy12·
@Chizzodrama Pekee toka Mwanza asiye mnafik na mpepesa macho, asye chswa ,bad enough anazeeka dah!
HT
0
1
1
402
chizzo drama
chizzo drama@Chizzodrama·
MUDA huwa na majibu sahihi siku zote Huyu hayupo sawa Muda mrefu, fun thing ni kuwa kuna mashabiki na wadau kwa upeo wao at some point walimuona kama shujaa/Hero, NO HE'S NOT Nchi Ina vituko Sana hii bitterness , Bitterness , Wacha tuone
chizzo drama tweet media
Filipino
13
3
37
7.1K
Dommy Chuga.
Dommy Chuga.@DominicJeremy12·
@Mwaki28 Kawasagia kunguni broker , ujio wajamaa co walichotarajia.
Indonesia
0
0
0
59
Mwaki
Mwaki@Mwaki28·
Za ndani kabisa hakuna kampuni iliyofika bei kusponsor hii podcast. Unafikiri shida itakuwa wapi?
Mwaki tweet media
Indonesia
11
17
157
19.4K
Dommy Chuga.
Dommy Chuga.@DominicJeremy12·
@chapo255 Alizani forex itaiogopa apartment? Huyo jamaa kabila gan?
Dommy Chuga. tweet media
Indonesia
0
0
1
575
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Betting naiamini ila Forex hapana, ina ujanja ujanja mwingi sana🚮 Kuna kwanangu aliachaga hadi chuo akachukua appartment Masaki kwa kipindi kile ilikuwa inamlipa sana ila now amerudi zake home aanza upya!
SANUKAnaCHAPO tweet media
Filipino
46
34
585
30.7K
Dommy Chuga. retweetledi
DAVIS LUXURY
DAVIS LUXURY@davis_luxury·
This bro is just too innocent for this world 😭💔😂😂
English
248
861
12.4K
1.5M
Dommy Chuga. retweetledi
C R I A N N I C A S ♟️
Bro to bro: When it start to click, keep your mouth shut.
English
7
19
124
1.5K
Dommy Chuga. retweetledi
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Nimeona..
Euskara
1
9
34
2.1K
Dommy Chuga. retweetledi
Kipanga
Kipanga@Kipanga1986·
Baba Levo ni Genius sana Odemba na maswali yake ya mitaani anajibiwa kikubwa sana
Filipino
7
12
159
6.6K
Dommy Chuga. retweetledi
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Nchi aiendeshwi kwa kujuana bali ni kwa mujibu ya sheria na taratibu.
Indonesia
33
122
793
45.9K
Sunday Victor
Sunday Victor@sundey_fx·
Trader! Kama uki trade pair 3 tu kwa muda wote, ni pair gani unge trade?
Indonesia
4
0
15
907
Dommy Chuga.
Dommy Chuga.@DominicJeremy12·
@PolycarpMDM Hivi Kwani raisi haruhusiwi kuomba kazi nchi nyingime kama mshahara wakipandishaa??
Dommy Chuga. tweet media
Indonesia
0
0
0
43
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Nchini Rwanda, Ni Rais, Waziri Mkuu na Spika wa Seneti pekee walio na haki ya kipaumbele barabarani, yaani ruhusa ya kutumia njia maalum. Mawaziri hulipia magari wanayotumia kupita katika Barabara hizo na kukatwa kutoka kwenye mishahara yao. Waziri mmoja aliwahi kutozwa faini ya dola 50 kwa kosa la kuendesha gari kwa mwendo wa kasi kupita kiasi.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
12
22
400
38.5K
The Top P🇹🇿
The Top P🇹🇿@The_PR0F3S0R·
"Nimeshuhudia vijana wanaotengeneza pesa kwa Forex.." Anaongea Rais wa Kenya William Ruto.. Nadhani Haule akiona hii atasema ni AI🤣🤣 .. Huwezi kupigana na uhalisia hata uwe nani😂
Indonesia
3
17
68
4.1K