DON👁️🎯

4.3K posts

DON👁️🎯

DON👁️🎯

@DonboscoStephe1

ChaJaChe

Katılım Haziran 2019
869 Takip Edilen310 Takipçiler
DON👁️🎯 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Mtu pekee ambae anaweza kutuliza Taifa la Tanzania kwasasa ni Tundu Lissu, muachieni”-; Bongo Zozo
Indonesia
17
402
1.6K
18.6K
DON👁️🎯 retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Hizi salamu zifike mpaka Ukonga "We Love You, Respect You and Appreciate You"✌️🫡
The mandevu tweet media
HT
30
360
2.4K
19.7K
DON👁️🎯 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Watu wasiojulikana wamechoma moto Showroom ya MAGARI ya Abdul mtoto wa Samia usiku wa kuamkia leo mikocheni Dar es salaam. Mashuhuda wa tukio hilo wanasema magari yote ya kifahari yaliyokuwa hapo yameteketea kwa Moto.
Indonesia
103
186
1.2K
68.8K
DON👁️🎯 retweetledi
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Usiseme chochote hapa Repost 970
English
25
821
2.2K
23.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Huyu jamaa alikua huko nchi za Scandinavia. Ni chawa wa Idd Amin Mama ni miongoni mwa Diaspora machawa ambao walikuwa wanaongea kejeli nyingi kuhusu Watanganyika wenzetu waliouwawa October 29. Leo amepata ajali na kupoteza maisha yake huko Dodoma ila aliyokuwa anakejeli waliouwawa Oktoba 29 nilidhan yeye ataishi milele. NB. Mnakumbuka Ndugai akiwa spika alivoenda Sweden kwenye ile party ilifanyika ndani ya Meli basi ile siku huyu jamaa alikuwa mmoja wa machawa ambao walitoa ahadi ya kujenga daraja kutoka Dar hadi Zenji.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
69
89
628
57.9K
Mponzi Sports
Mponzi Sports@Mponzisports·
Ila Simba Sema tumetoka mbali sana 🤣🤣🤣🫵
Mponzi Sports tweet media
Filipino
5
0
11
313
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
"Malengo yetu yapo wazi, tupo hapa kwaajili ya kucheza mpira, kukusanya points nyingi iwezekanavyo na kubeba ubingwa" 🎙️ Libasse Gueye 🇸🇳 - winga wa Simba.
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
2
6
569
7K
DON👁️🎯
DON👁️🎯@DonboscoStephe1·
@matdental Maradhi yenyewe ni ukimwi, kisonono, kaswende, gono na kichocho ndo utapewa mapema kabisa
Indonesia
0
0
0
22
polito keni
polito keni@matdental·
Wanangu nipo makambako ila nimepata kazi Dar mshahara 150k kwa mwezi maradhi na chakula ni juu yangu mwenyewe Mliopo Dar huo mshahara unatosha kweli kuweka balance yangu na kuendesha maisha yangu?
Indonesia
97
29
257
19.4K
Akinyi🧺
Akinyi🧺@IamMadamAkinyi·
@Iamfelixtz Presha juu utadhani mnaenda kucheza fainali ya CAF, hamtulii kutwa kwa waganga kunduchi , ili mumfunge simba tu?? ila kuloga kutinga robo CAF ndo mganga anaona giza giza. Mxiuuu
Filipino
1
0
2
215
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
Rais wa Young Africans 🇹🇿 Eng Hersi Said pamoja na Pacome Zouzoua 🇨🇮 kwenye mazoezi ya leo Ijumaa kuelekea kwenye mechi yao ya Kariakoo Derby Jumapili hii Machi 1, 2026 dhidi ya Simba Sc.
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
HT
5
19
579
10.7K
DON👁️🎯
DON👁️🎯@DonboscoStephe1·
@HildaNewton21 Hao polisi ni malaika wakajua mnaongea uhaini wakafika chap na kufanikiwa kukukamata ww tu ulieingia YouTube? Mbona hii nchi tulishatoka kwenye janga la ujinga mnalazimisha turudi huko jamani. Mnaonekana hamna akili hata kidogo
Indonesia
0
0
5
338
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo February 18, 2026 Jana tuliishia Part 191 so leo tunaendelea na-; Part 192 Kesi inaanza muda huu Majaji na Mshitakiwa wamefika. Mawakili wa Serikali pia wapo tayari. Hali ya hewa ilikuwa ya mvua kwahiyo mahudhurio sio makubwa ya watu hapa Mahakamani. Tupo hapa kuwaletea updates kama kawaida. Anasimama Renatus Mkude anasema wanae shahidi mmoja lakini shahidi mwingine anayefuata amefiwa na Mkwe wake kwahiyo leo tunae shahidi mmoja. Anasimama Lissu anasema kama amepata msiba ni wazi hawezi akaja. Mimi niko tayari kuendelea na shahidi aliyepo lakini tulikubaliana angalau waje mashahidi watatu kwa siku. Nasema hayo sio kwasababu sitaki watu waende msibani ila nasema ili tujue ni muhimu tukatumia muda vizuri ili wasio kwenda msibani tubaki nao kufanya kesi. Anasimama Renatus Mkude anasema hili ni jambo la kibinadamu tunaomba na sisi mawakili wa serikali twende pale kumcomfort mwenzetu. Jaji Mshitakiwa unasemaje? Mhe. Tundu Lissu sijawahi kuwa na roho mbaya kiwango hicho kukataza watu wasiende msibani, kama wao wameona kuna umuhimu huo wa kwenda. Jaji anasema basi tuendelee. Renatus anasema shahidi tuliyenae ni P7 na ataongozwa na Thawabu Issa Wakili wa Serikali. Shahidi analetwa anaingizwa kwenye kibox chenye joto. 😂 Jaji anauliza una miaka mingapi? 26 ninayo. Dini yako? Mkristo. Anaapishwa hapa Shahidi. Wakili wa Serikali Thawabu Issa anaanza kumuhoji shahidi hapa. Wakili: unajishughulisha na nini? Shahidi wa kificho P7 : Dereva bajaji nafanyia kwa Morombo kule Arusha toka 2023 nafanya kazi hiyo. Wakili: Hapo kwa morombo pakoje? Shahidi wa kificho : Kuna watu wengi sana. Kuna maduka na watu wanafanya biashara hapo. Ikiwemo maduka ya mahitaji ya nyumbani. Wakili: Tarehe 03/04/2025 kuna nini kilitokea? Shahidi wa kificho : hiyo tarehe majira ya jioni nilikuwa kijiwe cha kwa morombo Arusha. Tulikuwa hapo kijiweni na tunafanya mazungumzo ya kawaida. Wakili: Ikawaje? Shahidi wa kificho : Kuna mwenzetu akasema hamjasikia Chadema wamesema watazuia Uchaguzi wa Mwaka huu. Wamesema watakinukisha mbaya. Alikuwa anatuelezea huyo mtu. Wakili: kingine ni nini? Shahidi wa kificho : Akasema kuwa Polisi wanaiba kura hata ukienda Mahakamani hautapata haki. Wakili: Kikaendelea baada ya mtu huyo kusema? Shahidi wa kificho : Akasema pia Majaji ni vibaraka wa CCM, akasema pia mwaka 2024 tume ya Uchaguzi ilipewa maelekezo ya kukata wajumbe wa Chadema. Tukiwa tunaendelea na hayo mazungumzo nilipata hamasa kupitia hayo maneno niliyosikia akisema yule Bajaji mwenzangu. Wakili: Sasa weka vizuri, wewe ulifanya nini? Shahidi wa kificho : Niliingia kwenye mtandao wa youtube na mimi niweze kujionea hayo maneno. Nilitumia simu yangu na kuingia channel inaitwa Jambo. Simu ya janja. Wakili: Nini kiliendelea? Shahidi wa kificho : Nikafungua channel ya Jambo na kukuta yale maneno kama nilivyoambiwa hapo kijiweni. Wakili: Nini kikaendelea? Shahidi wa kificho : Baada ya dakika chache kuna watu wakaja wakajitambulisha kama wao ni maaskari na baadae watu walikimbia tukakamatwa mimi na P4. Wakili: kilichoendelea hapo? Shahidi wa kificho : Tukapelekwa kituo cha Polisi Murieti. Tulikaa kama Dakika 45 tukapelekwa kituo cha Polisi Central Mjini. Wakili: baada ya kuwa umepelekwa Central ikawaje? Shahidi wa kificho : Tukaingizwa Ofisi ya RCO nikaambiwa nashitakiwa kwa kosa la kutaka kufanya fujo, niliandikwa maelezo na kuingizwa Mahabusu na asubuhi yake ndugu zangu walinifuata nikazaminiwa na kupewa tarehe za kuwa naenda kuripoti kwenye hicho kituo cha Polisi. Wakili: Nini kilifuata? Shahidi wa kificho : Nikawa naripoti kwa mujibu mpangilio wa hiyo ratiba na ilipofika Tar. 17/04 2025 baada ya kufika kuripoti kama kawaida, nikaambiwa naandikwa maelezo upya. Part 193 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba repost yako.
Indonesia
39
385
1K
33.6K
DON👁️🎯
DON👁️🎯@DonboscoStephe1·
@HildaNewton21 Nipo kwa mrombo hapa naangalia nani hajafika kijiweni leo sioni, wote wapo. Usikute shahidi ni mmoja anabadilishwa tu jina au ukute wanaokota machokoraa buguruni wanawakaririsha tu ilimeadi kupoteza mda
Indonesia
0
0
7
395
DON👁️🎯 retweetledi
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
Mhe. Lissu: Nani aliyekwambia unaweza kujiandikia maelezo? ASP Geofrey Lutufye : Amekaa kimya. Mhe. Lissu: waheshimiwa amekaa kimya. Sema nani aliyekwambia unaweza kujipa onyo? ASP Geofrey Lutufye : Kakaa kimya Repost bila kuchoka ✌️
Indonesia
8
71
319
7.1K
Michael
Michael@MichaelM78097·
@HildaNewton21 Inaonekana hao mawakili hawana mashaidi 30. Wanafanya kuwa rotate hao wachache. Nadhani ndiyo maana wanafanya kila mbinu mashaidi wasiwe zaidi ya 2 kwa siku.
हिन्दी
1
1
12
1.7K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 191 Jaji Ndunguru anawaita upande wa Serikali kwa ajili ya Re-Examination Wakili wa Serikali anasema hawatakuwa na maswali. Jaji Ndunguru : Shahidi sasa uende tumemalizana. Shahidi anasepa. Renatus Mkude: Tunae shahidi P7 tunaomba yeye aendeleee kesho asubuhi. Majaji wanaandika kidogo pale juu. Kesi inaahirishwa hadi kesho asubuhi maana muda umeisha inakaribia saa 11 jioni. So tutaendelea kesho, Mungu akitujalia uzima. Naomba repost yako.
Indonesia
31
413
1.1K
36.1K
DON👁️🎯 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 187 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi ASP Geofrey Lutufye. Mhe. Lissu: Mnajifanya mapolisi mnawasingizia watu vitu vya bure haya itakushangaza hao mliowakamata baada ya kesi yao kuisha ni mashahidi wa kesi hii? ASP Geofrey Lutufye : Hainishangazi. Mhe. Lissu: haikushangazi kwasababu huo ndio utaratibu wenu mapolisi wa Tanzania. Mhe. Lissu: Au unabisha nikufungulie ripoti ya Jaji Mkuu Othman Chande amesema mnawafungulia watu makosa ya uongo. Sasa nikuulize swali lingine, umewahi kuona video mimi nikiwa nazungumza habari za huo uchaguzi mkuu? ASP Geofrey Lutufye : amekaa kimya Mhe. Lissu: Unajua kwanini nimeshitakiwa kwa Uhaini ASP geofrey lutufye? Unajua sababu. ASP Geofrey Lutufye : Sababu ya ile kauli uliyotoa. Mhe. Lissu: Ipi hiyo? ASP Geofrey Lutufye : Ulisema utazuia uchaguzi wa mwaka 2025. Mhe. Lissu: Ndio nakuuliza uliiona hiyo video? ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki. Mhe. Lissu: Hawa ndio kesho watakuwa ma RPC siku inayofuata utashangaa anakuwa IGP, Sina maswali mengine Waheshimiwa majaji. Watu wanasonya tu hapa. Anasimama Wakili wa Serikali Renatus Mkude kwa ajili ya Re-examination Maelezo yako uliandika kama nani? ASP Geofrey Lutufye : Kama shahidi. Wakili: Unalizungumziaje kuhusu kujiandika mwenyewe? ASP Geofrey Lutufye : naweza kujiandika mwenyewe au kuandikwa. Renatus Mkude: Sina swali lingine. Re Examination imeishia hapo. Jaji anamruhusu Shahidi. Shahidi anatoka akiwa ameshika kipaza sauti. Jaji Ndunguru: Unasahau maji yako hapo. Shahidi: Hapana siyataki tena. Jaji: Basi turudishie hiyo MIC tafadhali. Anairudisha na kutoka nje akiwa anatikisa kichwa. Watu wanacheka.😂😂😂 Kesi inaahirishwa watu wakale. Tutaendelea baada ya lisaa limoja. Naomba repost yako.
Indonesia
82
488
1.3K
50.6K
DON👁️🎯
DON👁️🎯@DonboscoStephe1·
Huyu ataenda kujuta sana kutoa ushahidi wa mchongo
Hilda Newton@HildaNewton21

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 187 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia cross examination Shahidi ASP Geofrey Lutufye. Mhe. Lissu: Mnajifanya mapolisi mnawasingizia watu vitu vya bure haya itakushangaza hao mliowakamata baada ya kesi yao kuisha ni mashahidi wa kesi hii? ASP Geofrey Lutufye : Hainishangazi. Mhe. Lissu: haikushangazi kwasababu huo ndio utaratibu wenu mapolisi wa Tanzania. Mhe. Lissu: Au unabisha nikufungulie ripoti ya Jaji Mkuu Othman Chande amesema mnawafungulia watu makosa ya uongo. Sasa nikuulize swali lingine, umewahi kuona video mimi nikiwa nazungumza habari za huo uchaguzi mkuu? ASP Geofrey Lutufye : amekaa kimya Mhe. Lissu: Unajua kwanini nimeshitakiwa kwa Uhaini ASP geofrey lutufye? Unajua sababu. ASP Geofrey Lutufye : Sababu ya ile kauli uliyotoa. Mhe. Lissu: Ipi hiyo? ASP Geofrey Lutufye : Ulisema utazuia uchaguzi wa mwaka 2025. Mhe. Lissu: Ndio nakuuliza uliiona hiyo video? ASP Geofrey Lutufye : Sikumbuki. Mhe. Lissu: Hawa ndio kesho watakuwa ma RPC siku inayofuata utashangaa anakuwa IGP, Sina maswali mengine Waheshimiwa majaji. Watu wanasonya tu hapa. Anasimama Wakili wa Serikali Renatus Mkude kwa ajili ya Re-examination Maelezo yako uliandika kama nani? ASP Geofrey Lutufye : Kama shahidi. Wakili: Unalizungumziaje kuhusu kujiandika mwenyewe? ASP Geofrey Lutufye : naweza kujiandika mwenyewe au kuandikwa. Renatus Mkude: Sina swali lingine. Re Examination imeishia hapo. Jaji anamruhusu Shahidi. Shahidi anatoka akiwa ameshika kipaza sauti. Jaji Ndunguru: Unasahau maji yako hapo. Shahidi: Hapana siyataki tena. Jaji: Basi turudishie hiyo MIC tafadhali. Anairudisha na kutoka nje akiwa anatikisa kichwa. Watu wanacheka.😂😂😂 Kesi inaahirishwa watu wakale. Tutaendelea baada ya lisaa limoja. Naomba repost yako.

Indonesia
0
0
0
14