Bendera za Wakamalia kwa weekend hii nzima zitapepea Nusu Mlingoti kwa Msiba Aliotuletea Portugal Leo alfajiri
Nilikuwa siamini Uchawi ila Sasa Naamini,🙌🙌. watanzania kuroga Tunajua na sio utani.
Repost 560
FACT
Pombe inachochea estrogen estrogen hii homoni ya kike
Mtu anaekunywa pombe anaweza kuwa na matako, hips, kitambi kuwa na tabia za kike ama shoga
Epuka pombe mpwa
Muhindi anaomba game Iishe namna hii
Kafunga cashout akidhani anatukomoa
Kama kawaida yetu Cash out tunaiogopa kama uchi wa mtoto
Hapa ni mpaka 90,
Hatuchukui hela Nusu
Nikupe code mwanangu Kama unapiga kimoja chali leo nakupa dawa hii kaifanye itakupa mrejesho
Kachimbe miziz ya mturatura changanya na miziz ya mkunde poli chemsha kunywa asubuhi kias cha kikombe cha kahawa na usiku kunywa tumia siku 5-7 utakuja nishukuru
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Haji Manara, amekashifu vikali kampeni ya kuchangisha fedha mitandaoni kwa ajili ya kulipa faini ya Shilingi Milioni 4 ya mlinda mlango wa Young Africans, Djigui Diarra.
Manara ameeleza kuwa kitendo cha kuanzisha michango ya "mtaani" kwa mchezaji wa hadhi ya Diarra ni kuishushia heshima klabu ya Yanga, ambayo ameiita kuwa ni taasisi kubwa yenye mifumo rasmi ya uongozi na utawala bora.
Pia Amehoji uhalali wa watu binafsi kuingilia majukumu ya klabu na kuwataka viongozi kukemea kile alichokiita "ubabaishaji" unaoweza kuharibu taswira ya klabu hiyo barani Afrika.
#MeaMswahiliUPDATES
Taarifa ya ajali ya kusombwa na maji kwa Ndg. Yusuph Mwandami aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Singida , ajali hiyo ilitokea imetokea Jana tarehe 26/03/2026 saa 1 usiku.
Gari alilokuwa amepanda yeye Mke wake mtoto na Dereva, ilitumbukia Mtoni na kusombwa na maji eneo la Mang'onyi wakitokea Sambaru. Mpakasasa hakuna alieokolewa.
Tutaendelea kujuzana kadiri taarifa zitakapokuwa zikitufikia.
Tunachoweza kama TAIFA ni;
1. KUTEKA wapinzani.
2. KUSHUGULIKA na CHADEMA.
3. KUSHUGULIKA na LISSU.
4.POLISI kuuwa wananchi kwa kupiga risasi za VICHWA.
Nchi imeoza kila kona.