CPA(T) Weda Jr
2.2K posts

CPA(T) Weda Jr
@DoziB6
IPSAS specialist. Certified Public Accountant. Tabora boys & UDSM Alumni 👨🎓Manchester Utd & Simba Sc Fan


Daah 😭🤌





#TajiriLaKihaya Naona DM zimekuwa nyingi kuhusu ratiba ya kesho – PILAU LA WAPWA SIKU YA IDDI. RATIBA itakuwa kama ifuatavyo: 🕌 Saa 1:00 – 3:00 Asubuhi Tutaanza kwa swala katika Msikiti Mkuu, Kinondoni. 🍽️ Saa 3:00 – 5:00 Asubuhi Dua na pilau vitafanyika kwenye apartments zangu mpya zilizopo Kinyerezi. (Bado zipo hatua za awali kabisa – tupo ground floor, jengo la ghorofa tatu.) Kutakuwa na dua maalum ya kuomba Allah tumalize ujenzi salama pamoja na pilau ya kutosha. 🍛 Saa 5:00 – 7:00 Mchana Pilau kwenye apartments zangu za Tabata. (Hakutakuwa na dua – ni kula tu.) 🍲 Saa 8:00 – 10:00 Jioni Pilau la kutosha kwenye apartments zangu za Mbweni. 🏠 Saa 10:00 hadi Majogoo Tutamalizia Whitehouse (nyumbani kwangu), Goba – mapumziko, burudani na kuendelea kula. Jumapili tutahamia Zanzibar kwenye Apartments zangu- ratiba kamili itatoka Kila mtu anakaribishwa 🙌 Sema karibu kwako itakua wapi- nkupe location kwenye comments… Karibuni sana tusherehekee pamoja siku ya Iddi!





















