Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD

5.6K posts

Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD banner
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD

Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD

@DrAzania_PJM

On GOD | Medical Doctor | Global Health Advocate | SDGs Enthusiast | Philanthropist | Proud Dad | Aspiring Health Leader &. Manager | 🇹🇿 ❤ ( SIRACH 38: 1-3 )

Ifakara, Morogoro, Tanzania Katılım Mayıs 2021
304 Takip Edilen223 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD
Ni sala ambayo hunifufua kutoka katika mkato wa tamaa na kunirudishia matumaini mapya nikiamini Mwenyezi Mungu hajaniacha na yupo kando yangu hata pale ninapoanguka dhambini naamini bado yuko nami. Ezra 8: 22 Mathayo 26: 41 Mathayo 11: 28-30 Mathayo 7: 7-11
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD tweet media
Filipino
1
2
16
1.1K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Ntuli Kapologwe
Ntuli Kapologwe@ntulikapologwe·
HRH are just a pillar of the system, they are its heartbeat.
Ntuli Kapologwe tweet media
English
0
2
6
98
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ila madaktari wapewe heshima yao ase, Imagine mtu analetwa miguu imekatika, Kichwa hakitamaniki wamba hawaogopi wala nini wanamsaidia kwa moyo kabisa kumtibia na hapo wanakutana na watu wa hivo mamia kwa mamia. Sijui usingizi wao hua unakuaje ase💔Alaaniwe anayewadharau hawa watu
Indonesia
30
24
182
10.8K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Dr. Mercy Korir
Dr. Mercy Korir@DrMercyKorir·
After five failed surgeries on her face, Lucy Gathoni was almost at the point of despair. But, a team of more than 20 specialists in Nairobi took on one of the most complex procedures ever performed in Kenya: an 18-and-a-half-hour facial reconstruction surgery to remove tumours and rebuild her face once more. For the last 2 years, @WillowHealthKe has been on this.
English
57
509
1.8K
121.8K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Bitcoin Teddy
Bitcoin Teddy@Bitcoin_Teddy·
A father told his daughter, "Congrats on your graduation. I bought you a car a while back. I want you to have it now." Before I give it to you, take it to a car dealer in the city and sell it. See how much they offer.” The girl came back to her father & said: "They offered me $10,000 dollars because it looks very old" Father said: "Ok, now take it to the pawn shop". The girl returns to her father & said: "The pawn shop offered $1,000 dollars because it's a very old car & a lot of work done". The father told her to join a passionate car club with experts & show them the car. The girl drove to the passionate car club. She returned to her father after a few hours & told him, “Some people in the club offered me $100k because its a rare car that's in good condition.” Then the father said, "I wanted to let you know that you are not worth anything if you are not in the right place. If you are not appreciated, do not be angry, that means you are in the wrong place. Don't stay in a place where no one sees your value ." The moral of the story : Know your worth and know where you are valued. A diamond doesn't shine on the bottom of a cave.
Bitcoin Teddy tweet media
English
256
3.5K
20.4K
2.5M
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Ukiwa Focused and Locked in, kwenye vipaumbele vyako, chonde chonde usiruhusu mtu yoyote no matter how dear or loved they are kukuletea miyeyusho, distraction, au intention to bring you down. Kaa kwenye njia yako na uso wako wa mbuzi.
Filipino
11
115
448
9.7K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD
@ally_eh @_brinxinx Hii ilikuwa zamani, kwa sasa guideline inataka kama client anakubali kuwa na companion basi anachagua companion wakuwa naye katika hatua zote za labor so anaweza chagua mume, au ndugu yeyote wa karibu.
Filipino
0
0
0
42
ALLY MSANGI
ALLY MSANGI@ally_eh·
@_brinxinx There is a reason a husband is not allowed to witness this. After that, you won’t see her the same way. It creates trauma, and there’s nothing romantic about it.
English
17
4
37
56.1K
ZORO
ZORO@_brinxinx·
Different reactions of husbands in the labor room during their wife's childbirth 😂😂😂 A Thread
ZORO tweet mediaZORO tweet media
English
619
1.1K
19K
10.5M
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Pitso Mosimane
Pitso Mosimane@TheRealPitso·
Before the titles and before the recognition, there was a child with a dream. Every child has the right to imagine a future, where they are given a fair chance to try. On Human Rights Day, we are reminded that dreams alone are not enough. Let’s commit to protecting every child’s right to dream, by building systems that give them a fair chance. #HumanRightsDay #ChangingTheGameForGood #PitsoMosimane
Pitso Mosimane tweet media
English
390
2.3K
15.8K
227.4K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Usigeuze ujuzi, kipaji au taaluma ya jirani yako kama fursa kwako. Kuishi jirani na daktari, fundi, mwanasheria au mtu yoyote yule mwenye ujuzi fulani haikupi wewe uhalali wa kujiona una haki ya kupata huduma ya mtu huyo BURE tena bila KULIPIA.
Indonesia
19
58
520
12.3K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Anna Tibaijuka
Anna Tibaijuka@AnnaTibaijuka·
AFCON na Migogoro ya Uongozi Afrika: Tafsiri ya Sheria Inapochukua Nafasi ya Ukweli Haki na Busara. Uamuzi wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kuinyang’anya Senegal ubingwa wa Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 na kuutunuku Morocco utaingia katika historia kama moja ya matukio ya kutatanisha zaidi katika michezo barani Afrika. Si kwa sababu sheria imetekelezwa, bali kwa sababu katika kudai kuitekeleza, CAF imeonekana kubadili ukweli na kuuweka katika kile kinachoweza kuitwa hali ya kisheria iliyobuniwa (legal fiction). Tuwe wazi kuhusu ukweli. Senegal haikuacha mchezo kwa maana ya kawaida inayotambulika katika soka. Wachezaji wake walitoka uwanjani kwa muda mfupi kupinga uamuzi, walirejea, wakaendelea na mchezo, na wakaukamilisha. Mwamuzi aliruhusu mchezo uendelee hadi mwisho wake wa kawaida. Senegal ilifunga katika muda wa nyongeza na kushinda. Hata hivyo, CAF sasa inadai kuwa Senegal ilipoteza kwa kuacha mchezo. Hapa ndipo tatizo linaanzia. Katika sheria na michezo, dhana fulani zina maana wazi. Kupoteza kwa kuacha mchezo kunamaanisha kuwa mchezo haukukamilika, kwamba upande mmoja ulikataa kuendelea, na hivyo hakuna matokeo ya uwanjani. Lakini katika tukio hili, mchezo ulikamilika. Matokeo yalipatikana. Yalishuhudiwa na mamilioni. Senegal ikashinda uwandani. Ikapongezwa. Kwa hiyo, uamuzi wa CAF unatutaka tukubali hali mbili zinazokinzana: kwamba Senegal ilicheza na pia haikucheza, ilishinda lakini pia ilipoteza kwa kuondoka. Hii si tafsiri kali tu ya sheria. Ni uundaji wa hadithi ya kisheria, simulizi inayotofautiana na ukweli ulioshuhudiwa ili kuhalalisha uamuzi wa kiutawala. Hadithi za kisheria zina nafasi yake katika sheria. Lakini zinapotumika kubadili matokeo ya wazi na ya umma, zinahatarisha uhalali wenyewe unaokusudiwa kulindwa. Ndiyo maana suala hili linazidi mipaka ya soka. Linaakisi moja kwa moja mgogoro mpana wa uongozi Afrika. Na hata wazee limetushangaza na tukalazimika kuweka neno. Katika taasisi nyingi barani, tunaona mtindo unaojirudia: mamlaka inapopingwa, majibu hayawi ya uwiano bali ya nguvu tena za ziada. Sheria hutumika si tu kurekebisha vijana, bali kuthibitisha mamlaka juu yao. Kukomoa. Hatua ya muda mfupi ya Senegal kutoka uwanjani, iwe ilikuwa sahihi au la, ilikuwa ni changamoto kwa mamlaka. Jibu la CAF likawa si la kukosoa kwa kutoa adhabu stahiki, bali kufuta matokeo ya mchezo na kuwakomoa vijana. Kwa kufanya hivyo, jibu limevuka mstari kati ya nidhamu na kupitiliza kwa kiburi cha mamlaka. Uongozi bora haujengwi tu juu ya sheria, bali juu ya busara. Inahitajika taasisi kutofautisha kati ya kurekebisha tabia na kulinda uaminifu. Faini au adhabu zingine zingeweza kudumisha nidhamu bila kubadili matokeo ya mchezo. Badala yake, CAF imechagua hatua kali zaidi. Matokeo yake ni wazi. Imani inapotea. Kwa mashabiki wa soka Afrika, swali si tena nani alishinda AFCON. Ni kama matokeo ya uwanjani yanaweza kuaminika tena. Ikiwa yanaweza kubadilishwa baadaye kwa tafsiri za kiutawala, basi uadilifu wa mashindano wenyewe unahojiwa. Unakuwa wa mashaka. Kwa maana hii, CAF inaweza kuwa imeshinda hoja ya kisheria, lakini imepoteza kitu muhimu zaidi: Uaminifu na Uhalali wake. Na uaminifu ukipotea, si rahisi kuurudisha. Suala hili sasa litapelekwa katika Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS). Lakini bila kujali matokeo, madhara tayari yameonekana. Soka la Afrika haliwezi kustawi katika maamuzi yanayoonekana kuwa ya kiholela au yasiyo na uwiano na busara. Yanayofutwa na watawala wa taasisi kwa kisingizio cha sheria. Walioshindwa kweli katika tukio hili huenda si Senegal wala Morocco, bali ni AFCON yenyewe. Uhalali wake nahata uadilifu tayari vimetiliwa mashaka na walio wengi. Hata na wazee ambao hatufuatilii michezo kila siku, tukio hili limetugusa. Tukaweka neno. Itambulike kwamba nguvu ya mashindano yoyote iko si tu katika sheria zake, bali katika imani kwamba sheria hizo zitatumika kwa haki na kwa kuendana na ukweli na busara.
Anna Tibaijuka tweet media
Indonesia
73
123
410
25.3K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
KANEGENE
KANEGENE@kanagana_gete·
WASIFU WA KITAALUMA WA ASKOFU MTEULE PROSPER LYIMO St. Thomas Aquinas Seminary CSEE: Division I ACSEE: Division I Kibisho Major Seminary BA. Philosophy Kipalapala Major Seminary BA. Theology University of Urbaniana MA. Canon Law St. Paul University,Canada Juris Canonical Doctor
KANEGENE tweet media
Română
0
3
25
1.2K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Joseph Kalimbwe
Joseph Kalimbwe@joseph_kalimbwe·
Greetings from Lusaka, I speak on behalf of all Africans in saying Senegal are the only AFCON Champions of 2026 Africans know. Anyone claiming to be a winner is forcing a relationship. Trophies are won on a football pitch, not in a boardroom. That's it. That's the tweet !!
Joseph Kalimbwe tweet media
English
104
948
3.6K
40K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Ntuli Kapologwe
Ntuli Kapologwe@ntulikapologwe·
It all begins with primary health care.
Ntuli Kapologwe tweet media
English
0
8
14
281
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
camillao 🕊️💙
camillao 🕊️💙@Mar90490·
Your free life coach session for today: “ An archbishop told me ‘There are three types of problems. Some problems have no solution, so don’t worry too much about them. Some problems have a solution—work on them and you will find the solution and be able to move forward. And there are other problems that will resolve themselves.’ “So, to give you this philosophical perspective: don’t worry too much about problems, but look for solutions when there are solutions to be found, and you will move forward. There is therefore, I would not say a stoic sense, but a capacity to look at problems and say: ‘Well, we need to work on this. We will find different options, we will make a decision, and we will move forward.’” -Pope Leo XIV
camillao 🕊️💙 tweet media
English
9
44
262
9.5K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Veriafya
Veriafya@Veriafya·
Fahamu jinsi ya Kuokoa uhai wa Mtoto mwenye Umri zaidi ya Mwaka mmoja pindi anapokuwa kwenye hatari ya Kupoteza Maisha kutokana na kukwama kwa kitu kooni Ufafanuzi huu umetolewa na Dkt. Lilian Minzi. Kufahamu utaratibu huu kwa Mtoto mwenye umri chini ya Mwaka mmoja, tazama video yetu ijayo Credit: Dkt. Lilian Minzi
Indonesia
1
49
107
7K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Deogratias Munishi
Deogratias Munishi@DeoMunishi·
"Na wewe mama hakikisha unazuia watu wasimwage damu ya watu" Mnamwangalia nani, hamnielewi? Damu ya mtu sio mbuzi" Rev Fr Kessy 🙌🙌🙌😀
Indonesia
12
107
344
11.8K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Catholic Sat
Catholic Sat@CatholicSat·
Pope Leo XIV on Laetare Sunday: “Currently, many of our brothers and sisters in the world are suffering from violent conflicts, caused by the absurd pretense of resolving problems and disagreements through war, when we must engage in ceaseless dialogue for peace. Some even attempt to implicate God in these deadly decisions, but God cannot be enlisted by darkness. Rather, He always comes to give light, hope, and peace to humanity, and it is peace that those who invoke him must seek.”
Catholic Sat tweet media
English
43
504
1.9K
24.8K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Ntuli Kapologwe
Ntuli Kapologwe@ntulikapologwe·
Prevention will always be better and far cheaper than treatment
Ntuli Kapologwe tweet media
English
0
3
8
203
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
Pope Leo XIV
Pope Leo XIV@Pontifex·
Love and truth cannot be separated. Only by loving do we come to know the truth, and love of truth leads us to discover charity as its fulfillment.
English
511
2.7K
16.8K
933.5K
Dr. Phillip Azania Joseph Mugeta, MD retweetledi
J.4, PharmD
J.4, PharmD@MatumlaAJ·
Asanteni kwa kushiriki wataalam. Lengo limefikiwa na participants I hope wamepata walichotarajia. Until next time, à bientôt !! But, ndugu zangu watanzania pamoja na GPA kubwa basi pia tuongeze skills za kusoma emails na kuzijibu.😹😹😹 @sumaMaumba
J.4, PharmD tweet mediaJ.4, PharmD tweet media
J.4, PharmD@MatumlaAJ

Naandaa FREE online 2hrs short training kwa Wafamasia, MD, Biotechnology, Chemists on Hospital + Pharma.Industry side of: - Clinical Research - Medical Writing - Clinical Evaluation - Regulatory Affairs Interested? Tuma email (info@taphitipharma.com au DM) Mnahitajika 20+

5
4
26
1.2K